Author Archives: Masalu Erasto

Mwandishi TBC afariki dunia

MWANDISHI wa Habari wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), Elisha Elia amefariki dunia katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH). Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea).  Mkurugenzi Mkuu ...

Read More »

Liverpool yabanwa mbavu

BINGWA mtetezi wa Ligi Kuu nchini England klabu ya Liverpool imelazimishwa sare ya mabao 2-2 dhidi ya Everton kwenye mchezo wa Ligi nchini humo uliochezwa majira ya saa 8 mchana ...

Read More »

Kubenea amchongea Tarimba kwa wanakinondoni

SAED Kubenea, mgombea Ubunge Kinondoni jijini Dar es Salaam kupitia ACT-Wazalendo, amemchomgea Abbas Tarimba, mgombea ubunge jimbo hilo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa wananchi ili wasimchague. Anaripoti Mwandishi Wetu, ...

Read More »

Maalim Seif amuunga mkono Lissu, Membe na Zitto wasema…

CHAMA cha ACT-Wazalendo kimetangaza kumuunga mkono Tundu Lissu, Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chadema katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Jumatano tarehe 28 Oktoba 2020. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam … ...

Read More »

Magufuli avunja ukimya fedha tetemeko Kagera

MGOMBEA Urais wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais John Pombe Magufuli amezungumzia madai ya Serikali kutafuna fedha zilizochangwa na wahisani kwa ajili ya waathirika wa tetemeko la ardhi ...

Read More »

Mwanasheria Mack Boman afariki dunia

MWANASHERIA Mkuu wa kwanza Tanzania, Mark Bomani amefariki dunia usiku wa kumakia leo tarehe 11 Septemba 2020. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam … (endelea). Taarifa zilizopatikana mpaka sasa kutoka ...

Read More »

Chadema yaanza safari kutafuta uongozi Kinondoni

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Jimbo la Kinondoni, Dar es Salaam, kimeanza safari ya kusaka uongozi kata na jimbo hilo, katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Jumatano tarehe 28 Oktoba 2020. ...

Read More »

Rungwe ateuliwa kugombea urais Tanzania

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imemteua Hashim Rungwe wa chana cha Chaumma kugombea urais wa Tanzania katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Jumatano 28 Oktoba 2020. Rungwe amekuwa mgombea wa 12 ...

Read More »

Sera kabambe ya wanawake, wenye umelavu na vijana yaandaliwa

JUKWAA la Katiba Tanzania (Jukata) na Ushiriki Tanzania wanaandaa sera ya kitaifa ya ushiriki wa wanawake, wenye ulemavu na vijana kwenye siasa na uteuzi. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam…(endelea). ...

Read More »

Wanafunzi bora mtihani kidato cha sita 2020

MATOKEO ya kidato cha sita ya mtihani uliofanyika Juni/Julai 2020 yametangazwa na Baraza la Mitihani la Taifa (Necta) nchini Tanzania. Anaripoti Mwandishi Wetu, Zanzibar…(endelea). Katibu Mtendaji wa Necta, Dk. Charles ...

Read More »

Diamond kutumbuiza Simba Day, viingilio hadharani

MSANII wa kimataifa kutoka Tanzania, Naseeb Abdul maarufu Diamond Platnumz atakuwa miongoni mwa wasanii watakaotumbuiza kilele cha tamasha la mabingwa wa soka wa ligi kuu ya nchi hiyo 2019/20, Simba. ...

Read More »

Wiki ya vilio, vicheko CCM

SAFARI ya kuwania ubunge, uwakilishi (Zanzibar) na udiwani ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), kwenye uchaguzi mkuu wa tarehe 28 Oktoba 2020, itahitimishwa tarehe 22 Agosti 2020. Anaripoti Regina Mkonde, ...

Read More »

Rais Magufuli aelezea mafanikio, changamoto uenyekiti SADC

DAKTARI John Magufuli, Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) na Rais wa Tanzania amesema, katika miaka 40 tangu kuanzishwa kwa jumuiya hiyo (1980), imeimarika na kupiga hatua. ...

Read More »

Viongozi wa dini wakemea vurugu, kejeli na matusi uchaguzi mkuu 2020

VIONGOZI wa dini nchini Tanzania, wamekemea vitendo vya vurugu kuelekea Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Jumatano tarehe 28 Oktoba 2020. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam … (endelea). Salamu hizo zimetolewa leo ...

Read More »

Takukuru yamshikilia Mfanyabiashara Dodoma

TAALIB Karim Mbowe, mfanyabiashara na mmiliki wa Kampuni ya White Star Investiment jijini Dodoma anashikiliwa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) kwa tuhuma tatu ikiwemo kukwepa kodi. Anaripoti ...

Read More »

Wanawake wanavyotishia Uchaguzi Mkuu 2020

KWA mara ya kwanza, Tanzania itafanya Uchaguzi Mkuu katikati ya wiki, Jumatano tarehe 28 Oktoba 2020 tangu mfumo wa vyama vingi uliporejea tena mwaka 1992. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es ...

Read More »

Chadema yateua wagombea ubunge, uwakilishi Z’bar

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) visiwani Zanzibar, kimeteua wagombea 30 kati ya 50 wa ubunge katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Jumatano tarehe 28 Oktona 2020. Anaripoti Mwandishi Wetu, Zanzibar…(endelea) Kati ...

Read More »

Namibia yaigomea fidia ya Ujerumani

RAIS wa Namibia, Hage Geingob amekataa kupokea fidia iliyotolewa na serikali ya Ujerumani, kama fidia ya mauaji ya kimbari. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa … (endelea). Serikali ya Ujerumani inapaswa kuilipia ...

Read More »

Mradi wa maji Jet-Buza neema kwa wananchi

AWAMU ya kwanza ya Ujenzi wa Mradi wa maji wa Jeti-Buza jijini Dar es Salaam inaendelea kwa kasi ambapo mtandao wa bomba la umbali wa Kilomita 7.5 umeshatandazwa. Anaripoti Mwandishi ...

Read More »

Urais Z’bar: Maalim Seif amtumia salamu Dk. Mwinyi

MAALIM Seif Shariff Hamad, Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia chama cha ACT-Wazalendo katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2020, amemtumia salamu Dk. Hussein Mwinyi, Mgombea wa Chama cha Mapinduzi (CCM) katika ...

Read More »

Tshishimbi, Molinga, Ngassa watemwa rasmi Yanga

NAHODHA wa Yanga, Papy Kabamba Tshishimbi pamoja na mshambuliaji raia wa Congo, David Molinga wameachwa rasmi na uongozi wa klabu hiyo mara baada ya mikataba yao kumalizika. Anaripoti Kelvin Mwaipungu, ...

Read More »

Zitto, Maalim Seif na Membe walivyozungumzia ujio wa Lissu

VIGOGO wa siasa za upinzani nchini Tanzania , Maalim Seif Sharif Hamad, Zitto Kabwe na Bernard Membe wamemkaribisha nchini humo kwa maneno ya faraja Tundu Lissu, Makamu Mwenyekiti wa Chama ...

Read More »

Lissu kupokelewa kwa maandamano

WANACHAMA na wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), watamsindikiza Tundu Lissu kwa maandamano kutokea Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere hadi Makao Makuu ya chama hicho, ...

Read More »

Mpinzani wa Prof. Kitila asema mchakato haujaisha, tusubiri vikao 

MWANTUM Mgonja, aliyeshika nafasi ya pili katika kura za maoni Jimbo la Ubungo, Dar es Salaam za Chama Cha Mapinduzi (CCM), anamshukuru Mungu kwa matokeo aliyoyapata na anasubiri uamuzi wa ...

Read More »

Mbinu za China zaishtua FBI

CHRISTOPHER Wray, Mkurugenzi wa Shirika la Upelelezi la Mareani (FBI) amesema, vitendo vya Serikali ya China ni tishio kwa taifa hilo. Inaripoti mitandao ya kimataifa…(endelea). Akizungumza katika Taasisi ya Hudson ya mjini ...

Read More »

Shule 753 Tanzania zapewa vifaa vya wenye mahitaji maalum  

SERIKALI ya Tanzania imetumia Sh. 2.3 bilioni katika mwaka wa fedha 2019/20 kununua vifaa vya kielemu na saidizi kwa ajili ya wanafunzi wenye mahitaji maalum wa shule za msingi 708 ...

Read More »

JPM ateua wakurugenzi wengine 5

RAIS wa Tanzania, John Pombe Magufuli amefanya uteuzi wa Wakurugenzi watano wa Halmashauri (DED) nchi humo. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam…(endelea). Uteuzi wa wakurugenzi hao umetangazwa muda mdupi kupita ...

Read More »

Rais Magufuli ateua wakurugenzi watatu

RAIS wa Tanzania, John Pombe Magufuli amefanya uteuzi wa wakurugenzi watatu katika mikoa ya Arusha, Kilimanjaro na Mbeya. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam…(endelea) Taarifa iliyotolewa na Mkurugenzi wa Mawasiliano ...

Read More »

Wabunge wengine kuondoka Chadema

TAKRIBANI wabunge wengine watano kutoka Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), wako mbioni kukihama chama hicho. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). Taarifa zinasema, wabunge wote watano, wanaweza ...

Read More »

Zitto na wenzake waachiwa, asema…

ZITTO Kabwe, Kiongozi wa chama cha siasa cha upinzania nchini Tanzania cha ACT-Wazalendo na viongozi wengine waliokuwa wakishikiliwa na Polisi Mkoa wa Lindi wameachiwa kwa dhamana. Anaripoti Faki Sosi, Lindi ...

Read More »

Uchaguzi 2020: Vita ya ACT-Wazalendo, CUF yaanza upya

VITA baina ya Chama cha Wananchi (CUF) na Chama cha ACT-Wazalendo imeanza upya. Anaripoti Kelvin Mwaipungu, Dar es Salaam … (endelea). Vita hiyo imeanza upya baada ya wabunge 21 na ...

Read More »

Mdee amvaa Dk. Mpango bungeni, Spika Ndugai amtetea

HALIMA Mdee, Msemaji Mkuu wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni katika Wizara ya Fedha na Mipango, amemvaa Dk. Phillip Mpango, Waziri wa wizara hiyo, kufuatia kauli yake ya kwamba Serikali ...

Read More »

LHRC yataka Polisi iharakishe uchunguzi tukio la Mbowe 

TUKIO la kushambuliwa na watu wasiojulikana lililomkuta Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), usiku wa kuamkia Jumanne tarehe 9 Juni 2020, limekiibua Kituo cha Sheria na ...

Read More »

Uchaguzi Mkuu 2020: NEC yabebeshwa tuhuma mpya

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), inalaumiwa kubagua vyama vya siasa vya upinzani. Ni katika maboresho ya kanuni mbalimbali za uchaguzi. Anaripoti Faki Sosi, Dar es Salaam…(endelea). Akizungumza na waandishi ...

Read More »

Waziri Mkuu Majaliwa awanyooshea kidole waliochukua mali za mkonge

WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema, Serikali ya inayoongozwa na Rais John Pombe Magufuli, itahakikisha mali zote za wakulima wa zao la mkonge nchini humo zinarudishwa mikononi mwao na ...

Read More »

Lwakatare kutinga CUF, kupokelewa na Prof. Lipumba

WILFRED Lwakatare, Mbunge wa Bukoba Mjini kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), anatarajiwa kurejea kwenye chama chake cha awali cha CUF. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam … (endelea). ...

Read More »

Ugonjwa wa maleria wazidi kupungua

TAKWIMU za kitaifa za viashiria vya malaria kwa mwaka 2017 (Malaria Indicator Survey) inaonesha kuwa upatikanaji wa vyandarua (access) kwa wananchi kitaifa ni asilimia 63 na  matumizi ya vyandarua kwa ...

Read More »

Uchaguzi Mkuu 2020: Takukuru yamtia mbaroni Aden Rage

TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) Mkoa wa Tabora nchini Tanzania, inamshikilia Ismail Aden Rage kwa tuhuma za rushwa na kuanza kampeni kabla ya wakati za uchaguzi mkuu ...

Read More »

Wabunge wa Viti Maalum Chadema, waanza kuondoka 

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimepata pigo jingine, kufuatia hatua ya wabunge wake wawili, Suzana Maselle (Mwanza) na Joyce Sokombi (Mara), kutangaza kuondoka kwenye chama hicho. Anaripoti Mwandishi Wetu, ...

Read More »

‘Kuidhikahi picha ya Rais’ kwaendelea kumsotesha Idris Sultan

IDRIS Sultani, Msanii wa Vichekesho nchini Tanzania, leo Ijumaa tarehe 22 Mei 2020, anaweza kufikishwa mahakamani, kwa kosa la kuidhihaki picha ya Rais John Magufuli. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es ...

Read More »

Rais Trump atikisa dunia

DONALD Trump, Rais wa Marekani ameamua ‘kutangaza’ dawa ya chloroquine kuwa anaitumia kupambana na virusi vya corona (COVID-19). Inaripoti mitandao ya kimataifa … (endelea). “Nimeamua kutumia,”Trump alisema katika mkutano wake na ...

Read More »

Kasoro sheria za uchaguzi Tanzania zabainishwa 

WAKATI  michakato ya kuwapata wagombea ndani ya vyama vya siasa watakaoshiriki Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, 2020 nchini Tanzania ukiendelea, wito umetolewa kwa vyama hivyo kuzingatia usawa wa kijinsia. Anaripoti Mwandishi ...

Read More »

Brazil: Saa 24 wagonjwa 15,305 wa corona, mawaziri wajiuzulu

TAIFA la Brazil linazama, virusi vya corona vinatesa wakazi wake. Katika saa 24 zilizopita wagonjwa 15,305 wameripotiwa, vifo 824 na kufanya jumla ya waliofariki kuwa 14,817. Inaripoti mitandao ya kimataifa ...

Read More »

Mabasi 165 ya mwendokasi kuongezwa Dar

SERIKALI ya Tanzania imesema mchakato unafanyika kununua mabasi 165 ili kupunguza adha ya usafiri wa mradi wa mabasi yaendayo haraka katika Jiji la Dar es Salaam. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma ...

Read More »

Balozi Palestina aingia kwenye mapambano dhidi ya corona

KATIKA kukabiliana na maambukizi ya virusi vya corona (COVID-19), Serikali ya Palestina imepanga kuikabidhi serikali mashine ya kutakatisha mwili (sanitization machine). Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). Akizungumzia ...

Read More »

Mradi wa kuzalisha majani bora ya kulishia mifugo wazinduliwa

TAASISI ya tafiti za mbegu bora za mazao (TARI) katika kituo cha Hombolo kwa kushirikiana na Shirika la Advanta Seed International kinatekeleza mradi maalumu wa kutafiti na kuzalisha mbegu bora ...

Read More »

Shahidi kesi ya Zitto: Aeleza alivyoshuhudia maiti kijiji cha Mpeta

GERALD Serikali shahidi wa sita kwenye kesi ya uchochezo inayomkabili Zitto Kabwe Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo ameieleza mahakama kuwa alishuhudia miili ya watu kati ya 18 au 20 vichakani ...

Read More »

Wastaafu wapewa semina

WIZARA ya Elimu Sayansi na Teknolojia imeandaa mafunzo ya siku tano kwa watumishi wa Umma 150 wanaotarajia kustaafu katika Wizara hiyo katika mwaka wa fedha 2020/21. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma ...

Read More »

Simba wamtema rasmi Aussems, mwenyewe athibitisha

KOCHA wa Simba, Patrick Aussems raia wa Ubelgiji amethibitisha kuvunjwa kwa mkataba wake na klabu hiyo. Anaripoti Kelvin Mwaipungu … (endelea). Baada ya kuwepo kwa tetesi za muda mrefu pamoja ...

Read More »

Palestina walaani mauaji ya wafungwa Israel

UBALOZI wa Palestina nchini Tanzania umelaani mauaji ya wafungwa katika magereza ya Israel. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa … (endelea). Taarifa hiyo imetolewa na ubalozi huo leo tarehe 26 Novemba 2019, ...

Read More »
error: Content is protected !!