Friday , 29 March 2024
Home danson
966 Articles60 Comments
Afya

Kanisa latoa somo kuongeza kinga ya COVID-19

KUSAMBAA kwa virusi vinavyosababisha homa kali ya mapafu (COVID-19), kumebadili mwenendo wa dunia. Anaripoti Dandons Kaijage, Dodoma…(endelea). Prof. Pastor Majembe Chidachi, Mchungaji wa Kanisa...

Habari Mchanganyiko

Wastaafu watakiwa kuwa wabunifu kwenye ujasiriamali

WASTAAFU wametakiwa kubuni miradi ambayo itawawezesha kufanya shughuli ya ujasiriamali kwa lengo la kujiongezea kipato baada ya kustaafu. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma …...

Elimu

Dodoma wasaka mwarobaini ufaulu wa wanafunzi

KASIM Majaliwa, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, anatarajiwa kuwa ngeni rasmi katika uzinduzi wa Kongamano la Elimu Mkoa wa Dodoma. Anaripoti...

Habari Mchanganyiko

Askofu Anglikana: Kwaresma iwe ya toba

ASKOFU wa Kanisa la Anglikana, Jimbo la Central Tanganyinya Dk. Dickson Chilongani, amewataka waumini wa Kikristo kutumia vyema kipindi cha Kwaresma kwa kuwasaidia...

Habari za SiasaTangulizi

Mbivu, mbichi za Membe, Kinana, Makamba 

TAARIFA ya matokeo ya mahojiano yaliyowahusu Bernard Membe, Abdulrahman Kinana na Mzee Yusuph Makamba, inayosubiriwa kwa hamu kubwa nadani na nje ya Chama...

Habari za Siasa

Waziri ‘aikoromea’ Kampuni ya KEC

WAZIRI wa Nishati, Dk. Medard Kalemani amemtaka mkandarasi wa Kampuni ya KEC International Limited,  anayetekeleza mradi mkubwa wa upanuzi wa kituo cha kupoza...

Habari za Siasa

Meya Mbeya: Ushiriki wanasiasa, wananchi unahitajika

DAVID Mwashilindi, Mstahiki Meya wa Jiji la Mbeya (Chadema) amesema, katika kuhakikisha maendeleo yanawafikia wananchi, kunahitajika uwajibikaji wa pamoja kati ya wanasiasa na...

Habari Mchanganyiko

Hofu ya magonjwa ya mlipuko yatanda soko la 77

WAKAZI wa Jiji la Dodoma wamehofia kupata magonjwa ya mlipuko wa matumbo au kipindupindu kutokana na kutozingatiwa kwa kanuni za usafi hususani katika...

Habari Mchanganyiko

Mfumko wa bei washuka

MFUMKO  wa bei wa taifa kwa mwaka ulioishia Januari 2020, umepungua hadi asilimia 3.7 kutoka asilimia 3.8 kwa mwaka ulioishia Desemba 2019. Anaripoti...

Habari za Siasa

Wanawake Chadema wapewa mbinu za ushindi uchaguzi 2020

SOPHIA Mwakagenda, Mbunge viti Maalumu, amewapa mbinu za ushindi wajumbe wa Baraza la Wanawake la Chama cha Chadema (Bawacha), kwenye Uchaguzi Mkuu wa...

Habari za Siasa

Sensa kubaini wasio na ajira yaja

ANTONY Mavunde, Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Ajira na Vijana amesema serikali itaifanyia kazi hoja ya Grace Tendega, Mbunge Viti Maalumu (Chadema),...

Habari za SiasaTangulizi

Kauli ya Membe baada ya kuhojiwa

BERNARD Membe, waziri wa zamani wa Mambo ya Nje amesema, mahojiano yake na Kamati ya Kamati ya Maadili na Usalama ya Chama Cha...

Habari za Siasa

Mbowe: Majibu yenu yataleta majuto

FREEMAN Mbowe, Mwenyekiti wa Chadema Taifa, amemweleza Kasim Majaliwa, Waziri Mkuu wa Tanzania kuwa majibu mepesi yanayotolewa kuhusu Tume Huru ya Uchaguzi, yataleta...

Habari za SiasaTangulizi

Membe: Ni kikao kigumu

BERNARD Membe, waziri wa zamani wa Mambo ya Nje, leo tarehe 6 Februari 2020, anakwenda kuhojiwa na Kamati ya Kamati ya Maadili na...

Afya

Maambukizi malaria yapungua

MAAMBUKIZI mapya ya ugonjwa wa Malaria yamepungua nchini kwa asilimia 27 kutokana na kuboreka kwa takwimu ya ugonjwa huo ukilinganisha na kesi 164 mwaka...

Habari za Siasa

Kuelekea Oktoba 2020; wanasiasa waanza kutuhumiana

TUHUMA kwamba, baadhi ya vyama vya siasa vimenza kuandaa vijana kwa ajili ya vurugu, kwenye uchaguzi mkuu wa Oktoba 2020, zimetolewa bungeni. Anaripoti...

Habari za Siasa

Mbunge ataka wabakaji wahasiwe, AG amtuliza

ZAINABU Katimba, Mbunge wa Viti Maalimu (CCM), ameishauri serikali kuweka adhabu kali kwa wabakaji ikiwemo kuhasiwa. Danson Kaijage, Dodoma…(endelea). Akizungumza bungeni leo tarehe 4...

Habari za Siasa

Mbunge ang’ang’ania bangi, Ndugai aungana naye

KWA mara nyingine, Jumanne Kishimba, Mbunge wa Kahama Mjini (CCM), amesisitiza umuhimu wa kilimo cha bangi na kushauri serikali iruhusu zao hilo. Anaripoti Danson...

Habari Mchanganyiko

Mchungaji Mwamposa atuhumiwa kwa mauti, atiwa mbaroni Dar

MCHUNGAJI na Mtume Boniface Mwamposa, kiongozi wa Kanisa la Inuka Uangaze, amekamatwa na polisi Jijini Dar es Saalam, baada ya kusababisha vifo vya...

Habari za SiasaTangulizi

Zitto kuvuliwa Ubunge, zigo aachiwa AG

JOB Ndugai, Spika wa Bunge, ameanza kuchonga njia ya kumvua ubunge Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea)....

Habari za Siasa

Mkopo WB: Bunge lamuwinda Zitto

ZITTO Kabwe, Mbunge wa Kigoma Mjini (ACT-Wazalendo), anasubiriwa kwa hamu na Bunge la Jamhuri, kutokana na uamuzi wa kuiandikia barua Benki ya Dunia...

Habari za SiasaTangulizi

Waziri wa Fedha atia nchi hasara Mil 80 kila siku

KILA siku taifa linateketeza Sh. 80 milioni kulipa wakandarasi kutokana na Philip Mpango, Waziri wa Fedha kushindwa kuruhusu Shirika la Nyumba (NHC), kumalizia...

Habari za Siasa

Lugola atinga Takukuru bila ‘jezi’

KANGI Lugola, aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje ametinga katika ofisi za Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), jijini Dodoma. Anaripoti...

Habari za SiasaTangulizi

Baada TAKUKURU, Bunge lamkalia kooni Lugola

BAADA ya Kangi Lugola, kuwekwa chini ya ulinzi na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) kwa madai ya ufisadi, sasa kuwekwa...

Habari za SiasaTangulizi

Heche atibua tena, aibuka na Tril 426

JOHN Heche, Waziri Kivuli wa Wizara ya Madini, ameitaka serikali ieleze zilipo fedha kiasi cha Sh. 426 trilioni, zilizokwepwa kulipwa na kampuni ya...

ElimuHabari Mchanganyiko

UDOM yaanza kutoa msaada wa kisheria bure

KITUO cha Msaada wa Kisheria kutoka Chuo Kikuu cha Dododoma (UDOM), kimeanza kutoa huduma ya elimu ya sheria bure kwa wakazi wa jiji...

Habari za SiasaTangulizi

Bulaya ataweza kuumeza mfupa uliomshinda Selasini?

MBUNGE wa Bunda Mjini (Chadema), Ester Amos Bulaya, ametangazwa kuwa Mnadhimu wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma…(endelea). Uteuzi huo umefanywa...

Habari Mchanganyiko

Mahabusu wabebwa kwa bodaboda

UKOSEFU wa usafiri katika Gereza la Ulanga, Morogoro, imesababisha mahabusu kusafirishwa kwa bodaboda kupelekwa mahakamani. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma…(endelea). Kauli hiyo imetolewa leo tarehe 28...

Habari za Siasa

Waziri ashangaa madini kulindwa na wageni

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge Ajira Vijana na wenye Ulemavu, Jenister Mhagama amevishangaa vyombo vya ulinzi na usalama nchini,...

Habari za Siasa

Halmashauri ya Chadema yaenda kujifunza kwa CCM

HALMASHAURI ya Jiji la Mbeya, inayoongozwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) imefanya ziara ya mafunzo katika Halmashauri ya Dodoma ambayo inaongozwa...

Habari Mchanganyiko

Asasi za kiraia kuwasilisha taarifa kila robo mwaka

WAMILIKI wa Asasi zisizokuwa za kiserikali katika Jiji la Dodoma zimekubaliana kuwa zitakuwa zinawasilisha taarifa zao za kila robo ya mwaka kwa Afisa...

Habari za Siasa

Msiri wa Prof. Lipumba ajiuzulu, sababu ‘zazimwa’

MTU wa karibu na msiri wa Prof. Ibrahim Lipumba, Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Abdul Kambaya amejiuzulu nafasi ya ukurugenzi wa Idara...

Habari Mchanganyiko

Wafanyabiashara soko la kuku Dodoma wapewa angalizo

WAFANYABIASHARA wa soko la kuuza na kuchinja kuku lililopo Mwembe Tayari, jijini Dodoma wametakiwa kufanya biashara hiyo kwa kuzingatia kanuni na sheria za usafi. Anaripoti...

Habari Mchanganyiko

RC aongoza mazishi Katibu BAKWATA

MKUU wa Mkoa wa Dodoma, Mhandisi Benilth Mahenge, ameongoza mamia ya waombelezaji katika mazishi ya Twaha Mwaya, aliyekuwa Katibu wa Baraza la Waislamu...

Habari Mchanganyiko

Marufuku kuuza chakula, matunda karibu ya vyoo

MGANGA Mkuu wa Halmashauri ya Jiji la Dodoma, Dk. Gatete Mahava ametoa onyo kwa wafanyabiashara wote wanaouza chakula au matunda karibu na vyoo...

Habari Mchanganyiko

Waganga wa jadi watapeliwa Mil 5

WAGANGA 40 wa tiba asili na tiba mbadala, wametapeliwa kiasi cha Sh. 5.2 Mil na watu waliojifanya kuwa viongozi wa Baraza la Tiba...

Habari za SiasaTangulizi

Selasini ajiuzulu bungeni

JOSEPH Roman Selasini, Mbunge wa Rombo (Chadema), amejiuzulu nafasi ya unadhimu wa Kambi ya Upinzani bungeni. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma…(endelea). Selasini amechukua hatua...

Habari za Siasa

Tunakwenda kuitawala Dodoma – Chadema

CHAMA Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Kanda ya Kati kimeeleza dhamira yake ya kuongoza Jiji la Dodoma. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea). Lazaro...

Habari za Siasa

Kamati za Bunge kuanza Jan 13

KAMATI za Kudumu za Bunge la Jamhuri, zinatarajiwa kuanza Jumatatu ya tarehe 13 – 24 Januari, 2020 jijini Dodoma, kabla ya Mkutano wa Kumi...

ElimuTangulizi

Matokeo kidato cha Pili, Nne haya hapa

BARAZA la Mitihani nchini (Necta), limetangaza matokeo ya mtihani wa darasa la nne, Kidato cha Pili na Nne leo tarehe 9 Januari 2020. Anaripoti...

Habari Mchanganyiko

Wakandarasi nchini kujengewa uwezo

SERIKLI imesema, imeweka mikakati ya kuhakikisha inawawezesha na kuwajengea uwezo wakandarasi wazalendo, ili waweze kutekeleza miradi mikubwa badala ya kusubiri wakandarasi wa kigeni. Anaripoti...

Habari Mchanganyiko

Polisi watoa ufafanuzi utata wa kifo cha mmiliki wa shule

JESHI la polisi Mkoa wa Dodoma limetoa ufafanuzi juu ya kifo cha Ustadhi Rashid Ally Musa maarufu kwa jina la Rashid Ramadhani Bura...

Habari Mchanganyiko

VIGUTA wawaliza wananchi

WAKAZI zaidi ya 300 katika Mkoa wa Dodoma wametapeliwa na Umoja wa Vikundi vya Vikoba Tanzania (VIGUTA) kwa kuwachangisha fedha kwa nia ya...

Habari Mchanganyiko

Mlango ajira JKT wafunguliwa

MLANGO wa ajira umefunguliwa kwa vijana waliomaliza mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), na kufanya kazi ya kujitolea kwa miaka miwili. Anaripoti Dandon...

ElimuHabari Mchanganyiko

‘Wahadhiri walazimisha ngono vyuoni’

SERIKALI imetoa onyo kutokana na kushamiri kwa vitendo vya rushwa ya ngono katika vyuo vya elimu ya juu. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea)....

Habari za Siasa

Tanzania yahofia fedha za misaada, mikopo kupungua

WAKATI Tanzania ikielekea kwenye ujenzi wa uchumi wa kati, serikali imeonesha hofu juu ya kupungua kwa fedha za misaada kwa ajili ya miradi...

Habari Mchanganyiko

Kampuni yaingia mitini na Mil 200 za wakulima wa zabibu

ZAIDI ya wakulima 26 wa zabibu wameilalamikia kampuni ya Dane Holdings Limited ya Nkulabi Village kwa kutowalipa fedha zao zaidi ya Sh. 200...

Habari Mchanganyiko

Makosa ya jinai yapungua nchini

JESHI la polisi nchini limesema  kuwa makosa makubwa ya jinai yamepungua kwa asilimia 2.0 ambapo ni sawa na makosa 1,082 kwa kipindi  cha...

Habari Mchanganyiko

Wafanyakazi wachoshwa na wanasiasa kuwasweka rumande

CHAMA cha Wafanyakazi wa Serikali za Mitaa Tanzania (TALGWU) kimekerwa na baadhi ya wanasiasa kuwawajibisha na kuwadhalilisha watumishi wa Umma. Anaripoti Danson Kaijage,...

Habari Mchanganyiko

Maofisa ugani wapewa somo kuongeza ufanisi

WAZIRI Kilimo, Japhet Hasunga amewataka Maofisa ugani nchini kuweka mipango kazi yao itakayowawezesha kufanikisha ufanisi wa kilimo. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea)....

error: Content is protected !!