Friday , 29 March 2024
Home danson
966 Articles62 Comments
Habari za Siasa

Mbunge: Wageni hawaingii Tanzania kuhofia usalama wao

MBUNGE wa Tunduma, Frank Mwakajoka (Chadema) amesema, Serikali imeshindwa kutatua tatizo la upatikanaji wa umeme katika mpaka wa Tunduma mkoani Songwe kwa muda...

Habari za Siasa

Mabadiliko ya sheria inayowahusu mawakili wasomwa bungeni

SERIKALI ya Tanzania, imewasilisha Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria Mbalimbali wa Mwaka 2020 bungeni ambao pamoja na mambo mengine, unapendekeza mawakili wanaoteuliwa...

Habari za Siasa

Serikali: Wachimbaji Mbogwe watapatiwa leseni

SERIKALI imeeleza kwamba, pindi taratibu zitakapokamilika, wachimbaji katika Wilaya ya Mbogwe, Geita watapatiwa leseni za uchimbaji. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea). Kauli...

Habari za Siasa

Bunge laishauri Serikali kuomba msaada IMF, WB vita ya corona

KAMATI ya Bunge ya Bajeti, imeishauri Serikali ya Tanzania kuliomba Shirika la Fedha Duniani (IMF), fedha kwa ajili ya kupambana na athari za...

Afya

Saratani ya kizazi tishio Tanzania

SARATANI ya Mlango wa Kizazi ndio saratani inaoongoza nchini Tanzania kuliko nyingine zinazowakabili binadamu. Anaripoti Danson Kaijage…(endelea) Hata hivyo imeelezwa kwa pamoja na...

Habari Mchanganyiko

Wajane wapewa somo kujikinga na corona

JUMUIYA ya Wanawake wa dini ya Kiislamu (JUAKITA) mkoa wa Dodoma, imesema moja ya mkakati wake wa kuepukana na ugonjwa hatari wa maambukizi...

ElimuHabari za Siasa

Walimu 18,181 wameajiriwa 2015/20 – Serikali

SERIKALI imeeleza, kuanzia mwaka 2015 mpaka 2020, sekta ya elimu imeajiri walimu 18,181. Shule ya Msingi 10,666, sekondari 7,218 na mafundi sanifu maabara...

Habari za Siasa

Wakati gani mmiliki wa silaha akiua, anakuwa na hatia?

WIZARA ya Mambo ya Ndani nchini Tanzania imeeleza, hakuna mazingira yanayomruhusu mmilikiwa wa silaha kuua, na ikitokea hivyo, mahakama itapima. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma...

Habari za SiasaTangulizi

Spika Ndugai awapiga ‘stop’ wabunge 15 Chadema, akiwamo Mbowe 

JOB Ndugai, Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ametoa orodha ya wabunge 15 wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema)...

Habari za Siasa

Wabunge waliofukuzwa Chadema watema nyongo 

WABUNGE wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) nchini Tanzania, waliovuliwa uanachama wa chama hicho, wamekosoa uamuzi wa kufukuzwa wakisema haukuzingatia misingi ya...

Habari za SiasaTangulizi

Chadema kushushia rungu wabunge waasi

KAMATI Kuu (CC) ya Chama cha Demecrasia na Maendeleo (Chadema), imeanza kuwajadili wabunge wake 16 walioamua kuasi maelekezo ya mwenyekiti wao, Freeman Mbowe....

Habari za Siasa

Wizara Nishati yajivunia mafanikio lukuki 2015-2020

WIZARA ya Nishati na Madini imeeleza mafanikio yake kwa kipindi cha miaka mitano (2015-2020). Anaandika Danson Kaijage, Dodoma…(endelea).   Katika hotuba ya wizara...

Habari za Siasa

Waziri Kigwangalla aeleza corona ilivyoivuruga sekta ya utalii

WAZIRI wa Maliasili na Utalii nchini Tanzania, Dk. Hamisi Kigwangalla amesema madhara ya kuwepo kwa ugonjwa wa corona yanaonekana kuwa makubwa zaidi na...

Habari za Siasa

Ni kilio Wizara ya Viwanda na Biashara

SERIKALI imeshindwa kufikisha asilimia 50 ya bajeti ya Wizara ya Viwanda na Biashara, iliyoidhinishwa na Bunge la Jamhuri kwa mwaka wa fedha 2019/20. Anaripoti...

Habari Mchanganyiko

Kanisa la Mlima wa Moto watangaza wiki ya maombelezo

MCHUNGAJI Kiongozi wa Kanisa la Mlima wa Moto lililopo Sabasaba Jijini Dodoma, Slivanus Komba ametangaza maombi ya Maombolezo ya siku saba ikiwa ni...

Habari Mchanganyiko

Wanywaji pombe za kienyeji waonywa

DIWANI wa kata ya Ipagala jijini Dodoma, Doto Gombo, amewaonya wanywaji wa pombe za kienyeji kuacha tabia ya kuchangia chombo kimoja maarufu kwa...

Habari Mchanganyiko

Kaya 80 Dodoma zapokea msaada wa Mil 21

JUMLA ya kaya 80 za wakazi wa Kata ya Chamwino Jijini Dodoma wamenufaika na msaada wa chakula na mahitaji mbalimbali kutoka, taasisi ya Dar-Ul-Muslimeen...

Afya

FCS yazindua kampeni ya wanaohudumia wagonjwa wa corona

FOUNDATION for Civil Society (FCS) imezindua Kampeni ya ‘Jumanne ya Utoaji’ kuwasaidia na kuwalinda watoa huduma wa afya nchini Tanzania. Anaripoti Danson Kaijage,...

Habari Mchanganyiko

Barakoa zawa ‘deal’ jiji la Dodoma

KUTOKANA na kuwepo kwa mahitaji ya matumizi ya barakoa kwa ajili ya kujikinga na maambukizi ya virusi vya Corona kifaa hicho kimekuwa lulu...

Habari Mchanganyiko

Chavita waomba elimu kwa viziwi, barakoa tatizo kwao

CHAMA cha Viziwi Mkoa wa Dodoma (CHAVITA) kimeiomba serikali kupitia Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto kutoa elimu kwa...

Habari Mchanganyiko

TARI Hombolo waingia mkataba wa Mil 25 na TBL

KITUO cha Tafiti za mbegu bora za kilimo –TARI Hombolo, jijini Dodoma kimeingia mkataba wenye thamani ya dola za kimarekani 11,000 (zaidi ya...

Habari Mchanganyiko

Watafiti wa Kilimo: Tukizuiwa kufanya kazi, tujiandae na njaa, umaskini

WATAALAMU wa tafiti za mbegu bora za kilimo Tanzania, wametaadhalisha kuwa kuenea kwa kasi kwa virusi hatari vya ugonjwa wa Corona huenda ukaathiri...

Habari Mchanganyiko

Diwani apiga marufuku uingizwaji wa taka sokoni

DIWANI wa kata ya Chamwino, jijini Dodoma, Jumanne Ngede amepiga marufuku uingizwaji wa taka za vifungashio vinavyoletwa na bidhaa mbalimbali kwenye dampo la...

Habari za Siasa

Spika Ndugai awanyoosha wapinzani bungeni, akiilinda mahakama

JOB Ndugai, Spika wa Bunge, amezuia Hotuba ya Kambi Rasmi ya Upinzani kuhusu Wizara ya Katiba na Sheria kusomwa bungeni jijini Dodoma, kwa...

Habari za SiasaTangulizi

Spika Ndugai awaweka karantini wabunge

JOB Ndugai, Spika wa Bunge, ametoa waraka kwa wabunge wenye muongozo juu ya namna ya kujikinga na maambukizi ya Ugonjwa wa Homa ya...

Habari za Siasa

Serikali imetumia Mil 400 kukarabati Kituo cha Afya Igoma

SERIKALI imeeleza, Kituo cha Afya Igoma kilipatiwa kiasi cha Sh. 400 milioni kwa ajili ya ukarabati na upanuzi na kazi hiyo imekamilika. Anaripoti Danson...

AfyaHabari za Siasa

Ugonjwa wa figo tishio Dar, Arusha

JIJI la Dar es Salamu linaongoza kwa kuwa na wagonjwa wa figo huku Arusha ikishika namba mbili. Mkoa wa Simuyu unaongoza kwa wagonjwa...

Habari za Siasa

Aliyedai kudhurumiwa shamba amvaa Lukuvi bungeni

MKAZI wa kijiji cha Nyahanga, Wilayani Kahama, Shinyanga, Magohe Kafumu, amemfuata bungeni jijini Dodoma, Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William...

Habari Mchanganyiko

Wafanyabiashara wapewa somo la kuepuka migogoro

AFISA masoko wa Jiji la Dodoma, James Yuna ameutaka Umoja wa Wafanyabiashara waendao minadani (UWABIMIDO), kufanya vikao vya mara kwa mara ili kuhakikisha...

Habari za Siasa

Mbunge ashangaa Ranchi ya NARCO kubadilishwa matumizi

SERIKALI imetakiwa ieleze, kwanini Ranchi ya NARCO Mbarali iliyoanzishwa kwa ajili ya mifugo, imeacha matumizi yake na sasa eneo hilo linatumika kwa kilimo? Anaripoti Danson...

Habari za Siasa

Mbunge CCM aipigania zabibu

JOEL Mwaka, Mbunge wa Jimbo la Chilonwa (CCM), amehoji serikali kwamba ina mpango gani wa kuhakikisha wataalam wa kilimo cha zabibu, wanapatikana ili...

Habari Mchanganyiko

Mwijage ‘aibuka’ na parachichi bungeni

CHARLES Mwijage, waziri wa zamani wa Viwanda na Mbunge wa Kaskazini (CCM), ameitaka serikali kueleza mpango wake katika kuwezesha wakulima wa zao la parachichi mkoani Kagera. Anaripoti...

Habari za SiasaTangulizi

Serikali yapangua hoja ya mbunge Chadema

SERIKALI imesema, Mgodi wa Geita Gold Mine (GGM), ni moja ya waajiri walioandikishwa na Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF). Anaripoti...

AfyaHabari Mchanganyiko

Elimu maalum ya kujikinga na corona itolewe kwa walemavu

SERIKALI imeshauriwa kuona namna bora ya kutoa elimu kwa watu wenye walemavu wa kutosikia (viziwi) jinsi ya kujikinga na ugonjwa wa Corona. Anaripoti...

AfyaHabari Mchanganyiko

Askofu awatwisha mzigo wa Corona waandishi wa habari

ASKOFU Evance Chande wa Kanisa la EAGT Dodoma, ameviomba vyombo vya habari na waandishi wa habari kutoa elimu ya maambukizi ya corona kwa...

Makala & Uchambuzi

Huu ndiyo mpango mkakati wa miaka mitano ya EWURA

ILI UWEZE kufanikisha jambo ni lazima uweke mipango mikakati ya jambo ambalo unataka kulifanya kwa maana ya mpango wa mrefu wa kati na...

Habari Mchanganyiko

Sheikh akerwa na vinara wa migogoro Bakwata

SHEIKH wa Mkoa Dodoma, Alhajji Sheikh Mustafa Rajabu Shabani, amesema amechukizwa na baadhi ya viongozi ndani ya Baraza la Waisilamu (BAKWATA) Mkoa na Wilaya...

Habari Mchanganyiko

Jiji la Dodoma kugawa maeneo kwa mtandao, kisa Corona

KUTOKANA na tishio la ugongwa hatari wa Coroma, halmashauri ya jiji la Dodoma limetoa utaratibu wa kuomba maeneo ya biashara kwa njia ya...

Habari za SiasaTangulizi

Mbowe, Mbatia ‘bifu’ kali

JAMES Mbatia, Mwenyekiti wa Chama cha NCCR-Mageuzi amekataa kufanya kazi na Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema). Anaripoti Danson Kaijage,...

Habari za Siasa

Lukuvi amtuliza Prof. J

JOSEPH Haule (Prof. Jay) Mbunge wa Mikumi (Chadema), ametaka kujua ni lini serikali itafuta umiliki wa mashamba pori ya muda mrefu ya Mauzi...

Habari Mchanganyiko

Matapeli wa ndani ya soko waonywa

AFISA masoko wa Jiji la Dodoma, James Yuna amewaonya baadhi ya wafanyabiashara  ambao wanafanya  utapeli kwa wafanyabiashara wenzao kwa kitendo cha kuwauzia maeneo...

Habari za Siasa

Mdee, Mch. Msigwa wataka ripoti ya Corona ijadiliwe bungeni

WABUNGE wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), wameitaka serikali kuwasilisha bungeni  ripoti ya tathimini ya ugonjwa wa Homa Kali ya Mapafu, inayosabishwa...

AfyaHabari Mchanganyiko

Viongozi wa dini kutoa elimu ya ugonjwa wa Corona

MCHUNGAJI wa Kanisa la Makedonia Missions Centre-Kisasa Relini Jijini Dodoma, Chini ya Kanisa la Calvary Assemblies of God, Vicent Malendaa, amewataka watanzania kutofanya...

Habari Mchanganyiko

Baadhi wakaidi kunawa mikono, kisa watu weusi hawapati corona

PAMOJA na kutolewa kwa elimu juu ya kujikinga na virusi vinavyosababisha ugonjwa hatari duniani wa corona bado jamii imekuwa na fikra hasi kwa...

Habari Mchanganyiko

Wafanyabiashara waliojenga juu ya miundombinu ya maji wapewa saa 24

WAFANYABIASHARA katika masoko yote yaliyopo Jijini Dodoma wamepewa saa 24 kuondoa vibanda vyao vya biashara vilivyojengwa juu ya miundombinu inayopitisha maji. Anaripoti Danson...

Habari Mchanganyiko

UMACHEDO waja na tahadhari ya corona

UMOJA wa Mafundi Cherehani Mkoa wa Dodoma (UMACHEDO), umewataka mafundi wote kuchukua tahadhari katika kujikinga na virusi vya corona (COVID-19), ambavyo kwa sasa...

Habari za Siasa

Rais Magufuli: Uchaguzi Mkuu palepale

LICHA ya kuwepo kwa tishio la kusambaa kwa virusi vya corona (COVID-19) nchini, uchaguzi mkuu unaoratajiwa kuwanyika Oktoba mwaka huu, hautaahirishwa. Anaripoti Danson Kaijage,...

Habari za Siasa

Deni la Taifa lapaa tena

DENI la Taifa katika Mwaka wa Fedha wa 2018/19, limeongezeka kwa asilimia 2.18, kutoka Sh. 50.93 trilioni mwaka 2018 hadi Sh. 53.11 trilioni. Anaripoti...

Afya

Mgonjwa wa kwanza wa corona Tanzania apona

ISABELA Mwampamba (46), mgonjwa wa kwanza kupatikana na virusi vya corona (COVID-19) nchini Tanzania, amepona na yupo huru kuungana na familia yake. Anaripoti Danson...

Habari za SiasaTangulizi

Wapiga dili CCM kuhenyeshwa

ROBERT Mwinje (39) na  Nyemo Malendaa(20), wote makada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoani Dodoma wanatarajiwa kupandishwa kizimbani muda wowote kutoka sasa. Anaripoti Danson Kaijage,...

error: Content is protected !!