Author Archives: Danson Kaijage

Hospitali ya Dodoma yatakiwa kuimarisha wodi ya wazazi

NAIBU Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala na Serikali za Mitaa TAMISEMI, Selemani Jaffo ameuangiza uongozi wa hospital ya rufaa ya mkoa wa Dodoma kuhakikisha inaweka mfumo wa hewa ...

Read More »

Wagombea CCM ‘matumbo joto’ Dodoma

KATIKA kuelekea uchaguzi wa ndani wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), baadhi ya wanachama waliochukua fomu kugombea nafasi mbalimbali matumbo yamezidi kupata joto, anaandika Dany Tibason. Makada hao wanaonekana kujawa na ...

Read More »

Tanzania haina amani ya kweli-Askofu

ASKOFU mkuu wa Kanisa la Endtime Harvest (EHC) lenye Makao Makuu Mkoani Dodoma, Dk. Elia Mauza amesema Tanzania haina amani ya kweli badala yake watu wake wana utulivu, anaandika Dany ...

Read More »

Serikali yataka Ma  RC ,  Ma  Dc wasijione  ‘miungu watu’

WAKUU wa Mikoa pamoja na Wakuu wa Wilaya nchini wametakiwa kutumia vizuri sheria ya kwaweka ndani watu ndani ya saa 48 na wasitumie sheria hiyo kwa kuwaonea watu, anaandika Dany ...

Read More »

Naibu Waziri atoa neno kuhusu amani nchini

NAIBU  Waziri  Nchi,Ofisi ya Rais (TAMISEMI) , Selemani Jaffo amewataka viongozi wa dini kulinda amani ya nchi na kutotumia nafasi zao kutengeneza migogoro ya kisiasa, anaandika Dany Tibason. Jaffo ametoa  ...

Read More »

Kamati ya Bunge yashindwa kumhoji Kubenea, alazwa kliniki ya Bunge

KAMATI ya Haki, Kinga, Maadili na Madaraka ya Bunge, imeshindwa kumhoji mbunge wa Ubungo (Chadema), Saed Kubenea, baada ya kuona hali yake ya kiafya imezorota, anaandika Dany Tibason. Mwenyekiti wa ...

Read More »

Mchungaji atoa neno ‘watu wasiojulikana’

KANISA la Wabaptist Tanzania limewataka viongozi wa serikali pamoja na vyama vya siasa kuhakikisha wanakuwa mabalozi wa kulinda amani ya nchi, anaandika Dany Tibason. Kauli hiyo limetolewa huku kukiwa na ...

Read More »

Tanzania na Afrika Kusini zakumbushia uhusiano

SERIKALI ya Afrika Kusini imesema inatambua mchango wa nchi ya Tanzania katika harakati za kuipatia uhuru nchi hiyo kupitia program ya urithi wa ukombozi wa Bara la Afrika, anaandika Dany ...

Read More »

Bunge lafanya vioja, ripoti ya Lissu yayeyuka

TAARIFA iliyotarajiwa kuwasilishwa bungeni leo na Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ulinzi, Usalama na Mambo ya Nje, Adadi Rajabu kuhusu kushambuliwa kwa Tundu Lissu, Mbunge wa Singida ...

Read More »

Muswada wa kutambua madaktari wapitishwa

BUNGE limeridhia na kupitisha  muswada wa sheria ya madaktari, madaktari wa meno na wataalam wa afya shirikishi wa mwaka 2016, ambao utasimamia taaluma na maadili ya wanataaluma wa sekta ya ...

Read More »

Spika  Ndugai asema usalama Tanzania ni sifuri

SPIKA wa Bunge, Job Ndugai amewataka wabunge kuwa makini pindi wawapo majimboni kwao au nje ya jimbo kutokana na hali ya usalama kutokuwa shwari hapa nchini, anaandika Dany Tibason. Ndugai ...

Read More »

Biashara ya ngono yatua bungeni

WANAUME wameshauriwa kuacha kununua wanawake Makahaba ili kuua biashara hiyo haramu katika maeneo mbalimbali hapa nchini, anandika Dany Tibason. Imeelezwa bungeni kuwa kama kila mwanaume ataacha kununua ngono, biashara hiyo ...

Read More »

Mbunge ahoji hospitali za serikali kukaukiwa dawa

MBUNGE wa Siha Dk. Godwin Mollel (Chadema) ameihoji serikali na kutaka ieleze ni kwa nini hospitali zake nyingi   zinakosa dawa muhimu za binadamu wakati katika hospitali binafsi zipo, anaandika Dany ...

Read More »

JWTZ yaunda kikosi maalum kusaka silaha

WAZIRI wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dk.Husein Mwinyi ameliambia Bunge kuwa kwa sasa kimeundwa kikosi kazi kwa ajili ya kusaka silaha za kivita ambazo zinatumiwa na watu wenye ...

Read More »

Nape arusha neno vyama vya ushirika

MBUNGE  wa Jimbo la Mtama, Nape Nnauye (CCM), ametaka ubadilishwe utaratibu wa kupata viongozi wa vyama vya ushirika katika maeneo mbalimbali hapa nchini, anaandika Dany Tibason. “Kwa kuwa Naibu Waziri ...

Read More »

Profesa Mbarawa abanwa mbavu bungeni

WAKAZI   Mlimba wanatembea zaidi ya kilometa 321 kuelekea Ifaakara wilaya ya Kilombelo kwa aajili ya kufuata huduma za matibabu, mahakama na huduma za polisi, anaandika Dany Tibason. Hayo yameelezwa leo ...

Read More »

Mchengerwa alia tatizo la umeme Rufiji

MBUNGE wa Rufiji Mohammed Mchengerwa(CCM) amehoji ni lini serikali itawaunganisha wananchi wa Rufiji,Kibiti na Kilwa kwenye grid ya taifa, anaandika Dany Tibason. Akiuliza swali jana bungeni, kwa niaba ya Mchengerwa,Mbunge ...

Read More »

Jimbo la Same waahidiwa maji

SERIKALI imesema kutokana na changamoto ya upungufu wa maji katika Hifadhi ya Mkomazi inaendelea kuchimba mabwawa sita ili kukidhi mahitaji, anaandika Dany Tibason. Hayo yameelezwa leo bungeni na Naibu Waziri ...

Read More »

Mbunge Waitara ambana Naibu Spika atoe ushuhuda

MBUNGE wa Ukonga  Mwita Waitara (Chadema) amembana Naibu Spika, Dk.Tulia Akson na kumtaka atangaze kuwa anautambua uongozi wa gani wa wabunge wa CUF ndani ya Bunge, anaandika Dany Tibason. Waitara ...

Read More »

Ndugai kama Magufuli, hataki kuguswa

SPIKA wa Bunge Job Ndugai ameagiza Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ulinzi na Usalama, kuhakikisha inamsaka mbunge wa Ubungo Saed Kubenea (Chadema) na kumfikisha katika kamati hiyo kesho, anaandika ...

Read More »

Mkwara wa Lipumba wapagawisha wabunge wa CCM

HOFU ya wabunge kuvuliwa uanachama na kusababisha wapoteze nyadhifa zao za ubunge sasa imeanza kutanda ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), anaandika Dany Tibason. Wabunge wa CCM wakizungumza na Mwanahalisi ...

Read More »

CUF ya Lipumba yaunda kambi yao ya upinzani bungeni

CHAMA cha Wananchi (CUF) kinachomuunga mkono Prof. Ibrahim Lipumba wametangaza kuunda kambi yao Bungeni tofauti na Kambi Rasmi Bungeni inayoundwa na UKAWA, anaandika Dany Tibason. Imeelezwa kuwa Naibu Katibu Mkuu ...

Read More »

Kamati ya Bunge yamparura Simbachawene, Muhongo

KAMATI teule za Bunge za kuchunguza madini ya Almasi na Tanzanati leo zimewasilisha ripoti hiyo kwa Spika wa Bunge, Job Ndugai huku baadhi ya vigogo wakiwa wamekalia kuti bovu, anaandika ...

Read More »

Mbunge Kessy alia na maji Ziwa Tanganyika

IMEELEZWA kuwa tatizo la kushuka kwa kina cha maji ya Ziwa Tanganyika limesababishwa na kubomoka kwa banio la maji kwenye mto Lukuga (DRC), anaandika Dany Tibason. Waziri wa Nchi, Ofisi ...

Read More »

Uhaba wa  maji pasua kichwa kwa serikali

SERIKALI imesema imeifanya  tathmini ya miradi ya maji yote nchini na kwa sasa inawekewa mipango sahihi ya kutekelezwa ili wananchi waweze kupata huduma ya maji kama ilivyokusudiwa, anaandika Dany Tibason. ...

Read More »

HESLB: Hatutasaidia wanafunzi watakaokosea kuomba mikopo

BODI ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB), imesema haitatoa nafasi ya wanafunzi waliokosea kuomba mikopo kurekebisha makosa yao, kama ilivyoombwa na wanafunzi pamoja na wadau mbalimbali wa elimu, anaandika ...

Read More »

Walemavu wanaobaguliwa ajira wapata mtetezi bungeni 

BUNGE limeelezwa kuwa watu wenye ulemavu wanabaguliwa katika kupata ajira hapa nchini kwa madai kwamba hawawezi kufanya baadhi ya kazi, anaandika Dany Tibason. Kufuatia hali hiyo waajiri nchini wameagizwa kuzingatia ...

Read More »

Mdalasini tiba magonjwa mbalimbali ya binadamu

IMEELEZWA kuwa mimea ya mchai chai pamoja na Mdalasini inasaidia kutibu magonjwa mbalimbali ya binadamu, anaandika Dany Tibason. Hayo yameelezwa leo bungeni na Naibu Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi, ...

Read More »

Serikali imesema haina takwimu utekaji watoto

SERIKALI imesema kuwa haina takwimu za watoto waliokeketwa nchini kwa kuwa vitendo vya ukeketaji kufanyika kwa siri, anaandika Dany Tibason. Mbali na kutokuwa na takwimu sahihi za watoto waliokeketwa pia ...

Read More »

Dawa za nguvu za kiume zateka Bunge

MBUNGE wa Konde,Khatibu Haji (CUF) amedai kuwa tatizo la upungufu wa nguvu za kiume limekuwa likiwasumbua Watanzania wengi na kuihoji serikali kama kuna hatua inachukua ili kukabiliana na tatizo hilo, ...

Read More »

Ripoti ya madini kutua kwa Ndugai leo

SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tazania, Job Ndugai leo atapokea ripoti mbili za tume maalum alizounda kwa ajili ya ushauri juu ya mfumo bora wa uchimbaji, usimamizi, ...

Read More »

Wabunge waanza kubaguana waziwazi

MBUNGE wa Viti Maalum Jesca Kishoa (Chadema) ameibana serikali na kuitaka itangaze kama wabunge wa Viti Maalum bila kujali vyama vyao waondoe bendera za bunge na badala yake waweke bendera ...

Read More »

Wabunge wa Lipumba wasusiwa na wapinzani bungeni

SPIKA wa Bunge,  Job Ndugai amewapiga vijemba wapinzani muda mfupi baada ya kumalizika kazi ya kuwaapisha wabunge 8 wa viti maalum walioteuliwa na Cuf kupitia Mwenyekiti  Ibrahim Lipumba anayetambulika na ...

Read More »

Hoja ya Bombadier kupasua Bunge kesho

HOFU  imetanda kuhusu mkutano wa Bunge unaotarajia kuanza kesho kwamba unaweza kutekwa na sakata la kukamatwa ndege ya serikali aina ya Bombadier, anaandika  Dany Tibason, Dodoma.  Wabunge wa  Chama Cha ...

Read More »

Kesi ya Kubenea yazidi kupigwa kalenda

HATMA ya kesi ya mbunge wa Ubunge, Saed Kubenea (Chadema) inatarajiwa kujulikana kesho, anaandika Dany Tibason. Kesho Mahakama ya Wilaya ya Dodoma itaamua ama itaendelea kuipiga kalenda kesi hiyo, kufutwa ...

Read More »

Lisu kupamba tamasha la injili

MWIMBAJI wa nyimbo za injili, John Lisu anatarajia kutikisa katika tamasha la uamsho lililoanza ambalo litashirikisha watui wote bila kujali itikadi za dini zao, anaandika Dany Tibason. Katika mahojiano maalumu ...

Read More »

Mwenyekiti bodi ya maziwa ageuka ‘bubu’

WAJUMBE wa Baraza la Wadau wa Maziwa Tanzania wamelalamikia bodi ya maziwa kuendeshwa bila wajumbe wake kwa miaka miaka mitatu sasa, anaandika Dany Tibason. Wametoa malalamiko hayo leo muda mfupi ...

Read More »

Madudu yabainika Viwanja vya ndege

KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali imemwagiza Mkaguzi na Mthibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kufanya ukaguzi maalum kwa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege ...

Read More »

Wasioendeleza viwanja Dodoma kunyang’anywa

MKURUNGEZI wa halmashauri ya manispaa ya  Dodoma  Godwin Kunambi ametangaza vita kwa wamiliki wa viwanja vikubwa ambao wameshindwa kuviendeleza kwa zaidi ya miaka mitatu, anaandika Dany Tibason. Kunambi amesema wamiliki ...

Read More »

Wafanyabishara ‘wambeep” Rais Magufuli, wampa siku 30

UONGOZI wa wafanyabiashara wa Tanzania bara na Zanzibar wametoa siku 30 Rais John Magufuli kuhakikisha anatatua changamoto zinazowakabili katika shughuli zao vinginevyo maduka yote hata ya vichochoroni yatafungwa, anaandika Dany ...

Read More »

Askofu akemea watu kupenda kulalamika

WATANZANIA wametakiwa kuachana na tabia ya kulalamika na badala yake wafanye kazi huku wakiwa mstari wa mbele kupinga unyanyasaji na ukandamizwaji, anandika Dany Tibason. Kauli hiyo imetolewa na Makamu Askofu ...

Read More »

Waislamu washauriwa kusaidia wenye mahitaji

WAUNINI wa dini ya Kiislamu nchini wametakiwa kuisaidia jamii yenye uhitaji bila kujali itikadi za kidini, ananadika Dany Tibason. Hayo yamebainishwa na Sheikh wa Mkoa wa Dodoma, Mustafa Rajabu muda ...

Read More »

Wananchi watahadharishwa bidhaa ‘feki’

WATANZANIA wameshauriwa kutumia bidhaa zenye nembo ya Shirika la Viwango Tanzania (TBS), ili kuepukana na utitiri wa vyakula vinavyozalishwa bila viwango kwa matumizi ya mlaji, anaandika Dany Tibason. Ushauri huo ...

Read More »

Kesi ya Mbunge Kubenea kunguruma Septemba 4

MAHAKAMA ya Wilaya ya Dodoma imepiga kalenda kesi ya Mbunge wa Ubungo, Saed Kubenea (Chadema) hadi Septemba 4 mwaka huu kutokana na uchunguzi wa kesi hiyo kutokamilika, anaandika Dany Tibason. ...

Read More »

Chadema Dodoma wamtetea Lissu

CHAMA Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kanda ya kati kimelaani kitendo cha jeshi la polisi nchini kumkamata mara kwa mara, mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu (Chadema), anaandika Dany Tibason. Akizungumza ...

Read More »

Viziwi wapewa elimu ya kilimo

CHAMA cha Maendeleo ya Kilimo kwa Viziwi Tanzania (CHAMAKIVITA) kimejipanga kutoa elimu kwa viziwi ili kuwawezesha kulima kilimo cha kisasa, anaandika Dany Tibason. Kelvin Nyema ambaye ni kiongozi mtendaji wa ...

Read More »

Uhamiaji yajiandaa kutoa elimu kwa jamii

IDARA ya uhamiaji mkoa wa Dodoma imeandaa mpango maalum wa kuwafikia wananchi kuanzia ngazi ya kitongoji hadi wilaya kwa lengo la kutoa elimu ya utambuzi wa wahamiaji haramu, anaanadika Dany ...

Read More »

Wanafunzi wa kiume Z’bar hatarini

IMEELEZWA kuwa jumla ya watoto wa kiume wapatao 40 wanaosoma kati ya darasa la kwanza na la tatu kutoka visiwani Zanzibar wamefanyiwa ukatili wa kuingili kinyume na maumbile, anaandika Dany ...

Read More »

Mkapa kushuhudia Jubilei ya Mapadri Dodoma

RAIS mstaafu, Benjamin Mkapa anatarajia kuungana na Mapadri  pamoja na Maaskofu katika kusherea Jubilei ya miaka 100 ya upadri kwenye kituo cha Hija kilichopo eneo la Mbwanga kata ya Miyuji ...

Read More »

Naibu Waziri Mavunde awafunda vijana 

VIJANA nchini wametakiwa kuwa mabalozi waaminifu katika kulinda amani ya nchi, anaandika Dany Tibason Ushauri huo umetolewa na Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri ,Kazi,Vijana,Ajira na Wenye Ulemavu,Anthony Mavunde, ...

Read More »
Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On Youtube