Author Archives: Danson Kaijage

Jiji la Dodoma kujiendesha kwa mapato ya ndani

MKURUGENZI  wa Jiji la Dodoma, Godwin Kunambi amesema kuwa jiji hilo linatarajia ifikapo mwaka 2021 jiji hilo litakuwa likijitegemea kwa mapato ya ndani. Anaripoti Dany Tibason, Dodoma … (endelea). Mbali na ...

Read More »

Serikali yaanika hali ya uchumi nchini

PAMOJA na watanzania wengi kuendelea kulalamika kwa madai kuwa wana hali mbaya ya kiuchumi serikali imesema kuwa uchumi wa taifa huko imara na ukikua kwa asilima 7.1 ikilinganishwa na miaka ...

Read More »

Waziri Mkuu aagiza wakazi wa Dodoma kulipwa fidia

WAZIRI Mkuu Kasimu Majaliwa amemuagiza Mkurugenzi Jiji la Dodoma, Godwin Kunambi kuweka utaratibu wa kuwafidia watu wanaopisha maeneo yao. Anaripoti Dany Tibason, Dodoma … (endelea). Majaliwa ametoa maagizo hayo jana ...

Read More »

Kwa heri Pascal Ndejembi, utakumbukwa kwa mengi

WINGU zito limetanda katika Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dodoma, kutokana na aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa  Chama hicho Mkoani hapa na Mwenyekiti wa Wenyeviti wa Chama hicho mkoani Dodoma, ...

Read More »

Jafo aagiza waliotafuna Bil 2.9 Ulanga wakamatwe

OFISI ya Rais Tawala za mikoa na Serikali za mitaa (Tamisemi) imebaini matumizi mabaya ya fedha za serikali Sh. 2.98 bilioni katika halmashauri ya Ulanga mkoani Morogoro na kuagiza waliohusika wote ...

Read More »

Madiwani Chamwino watakiwa kuwakumbuka walemavu

MADIWANI wa Halmashauri ya Chamwino wametakiwa kuhakikisha majengo yanayojengwa yanakuwa na miundombinu rafiki kwa ajili ya watu wenye ulemavu. Anaripoti Dany Tibason, Dodoma … (endelea). Ushauri huo umetolewa Katibu mkuu ...

Read More »

Wazazi wa darasa la saba, wawachongea M-RC, DC kwa JPM

BAADHI ya wazazi ambao watoto wao wamemaliza darasa la saba na kufaulu mitihani yao na kukosa nafasi za kujiunga na kidato cha kwanza wamemwomba Rais John Magufuli kuwafuta kazi wakuu ...

Read More »

Wakulima Dodoma wapewa somo

WAKULIMA wa Mkoa wa Dodoma wametakiwa kulima mazao ambayo yanaendana na hali ya hewa ili kuweza kupata mazao mengi. Anaripoti Dany Tibason, Dodoma … (endelea). Wito huo umetolewa na Afisa ...

Read More »

Mrema akubali muswada wa vyama vya siasa, aomba ruzuku

MKONGWE wa Siasa Nchini na Mwenyekiti wa chama cha TLP, Augustino Lyatonga Mrema, ameitaka serikali inapofanya marekebisho ya vyama vya siasa iweze kuangalia umuhimu wa kuvipatia vyama vidogo vya siasa ...

Read More »

Kikokotoo pasua kichwa kila kona

CHAMA cha Wafanyakazi wa Serikali za Mitaa Tanzania (TALGWU) wametoa tamko la kuunga mkono msimamo wa TUCTA kuhusu mkanganyiko Kikokotoo cha mafao ya pensheni yanayotolewa na mfuko wa hifadhi ya ...

Read More »

Wakulima waomba mbegu za muda mfupi

JUKWAA la Wakulima wanawake wilayani Chamwino (JUWWACHA) limeishauri serikali kutilia mkazo matumizi ya mbegu za muda mfupi ili kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi wilayani humo. Anaripoti Dany Tibason, Dodoma ...

Read More »

Viongozi wa dini watakiwa kulikomboa Taifa

KIONGOZI wa Kanisa la Jehova Mercy, lenye makao yake makuu Jijini Dodoma mtaa wa Swaswa Halisi, Prophet Richard Magenge amewataka viongozi wa Kiroho kufanya kazi ambayo inalenga kulikomboa taifa na ...

Read More »

Selikali: Tunatoa elimu inayotatua matatizo ya Mtanzania

SERIKALI imesema kuwa elimu inayostahili kutolewa nchini ni ile ambayo inajikita katika kutatua matatizo yote na ambayo ni bora na siyo bora elimu. Anaripoti Dany Tibason, Dodoma … (endelea). Hayo yalielezwa ...

Read More »

Dk. Kijaji awatahadharisha Maofisa Ugavi

SERIKALI imetangaza kuwa kuwachukulia hatua kali Maofisa Ununuzi na Ugavi ambao wamekuwa wakishindwa kufuata Sheria za manunuzi na kuisababishia serikali kupata hasara. Anaripoti Dany Tibason, Dodoma … (endelea). Hayo yalielezwa ...

Read More »

Madiwani wawashukia maafisa kilimo Chamwino

MADIWANI wa Halmashauri ya Chamwino wameitaka idara ya kilimo kuhakikisha inawahisha mbegu bora na pembejeo za kilimo kwa ujumla kwa kuendana na msimu wa kilimo. Anaripoti Dany Tibason, Chamwino … (endelea). ...

Read More »

Walemavu Dodoma kuendelea kubaki masikini

CHANGAMOTO ya vikundi vya watu wenye ulemavu katika mkoa wa Dodoma kushindwa kuchangamkia fursa ya kupata fedha za mikopo zinazitolewa na halmashauri katika mkoa huo, inaweza kuwa sababisho la vikundi ...

Read More »

Watumishi TAA walia njaa, Waziri awapotezea

MKURUGENZI Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA), Richard Mayogela, amesema wafanyakazi wa Mamlaka hiyo wanakabiliwa na njaa (ukata) licha ya kuwa wanaonekana kupendeza wanapokuwa wamevaa suti wakiwa katika ...

Read More »

Ukawa waanza kwa kususa bungeni

UMOJA wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) bungeni wamesusa kushuhudia kuapishwa kwa wabunge wanne. Anaandika Dany Tibason, Dodoma … (endelea). Leo vikao vya bunge vimeanza Jijini Dodoma ambapo baada ya dua ...

Read More »

Elimu yapunguza ukeketaji Simanjiro

KUTOKANA na juhudi zinazofanywa na wanaharakati kwa kupinga unyanyasaji na utatili kwa watoto wa kike na akina mama na kutoa elimu juu ya madhara ya ukeketaji,  juhudi hizo zimepelekea Ukeketaji kupungua ...

Read More »

Asasi za Kiraia hatarini kutakatisha fedha

IMEELEZWA kuwa Asasi za kiraia nchini zipo katika hatari ya kutumika kama sehemu ya kupitishia fedha chafu na watu wasiokuwa na nia njema. Anaripoti Dany Tibason, Dodoma … (endelea). Hayo ...

Read More »

Serikali yaja na kibano cha AZAKI

SERIKALI imezikemea baadhi ya asasi za Kiraia ambazo zimekuwa zikitumia vibaya fedha za ruzuku zinazotolewa na wadau mbalimbali kwa ajili ya maendeleo. Anaripoti Dany Tibason, Dodoma … (endelea). Hayo yameelezwa ...

Read More »

Waziri Mkuu kufungua maonyesho ya Azaki

WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa, anatarajiwa kufungua maonyesho ya wiki la Asasi za kiraia  nchini leo ambapo zaidi ya mashirika yasiyo ya kiserikali 400 yatashiriki, kuanzia Oktoba 22 hadi 26 mwaka ...

Read More »

Wahujumu miondombinu ya maji wafikia saba

BAADA ya uchunguzi  unaofanywa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) juu ya hujuma ya Maradi wa Maji wa Mtomoko uliopo katika wilaya ya Chemba na Kondoa katika ...

Read More »

Wabunge 19 Chadema kulinda kura Dodoma

VIONGOZI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wamesema watawatumia wabunge kumi na tisa wa chama hicho kulinda kura katika uchaguzi mdogo wa kata ya Kizota katika jiji la Dodoma. ...

Read More »

Lugola awasha moto NIDA, vigogo watatu mbaroni

WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola, amemwagiza Mkurugenzi wa Makosa ya Jinai Nchini kuhakikisha anawatia mbaroni wafanyakazi wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa nchini NIDA pamoja na ...

Read More »

Dodoma wala Eid leo, wawaonya wafanyabiashara

IMMAMU wa Msikiti wa Alharamain wa Chang´ombe Jijini Dodoma Shaffi Hussein ,amewaasa wafanyabiashara kuacha kupandisha bei ya vyakula hususan ya mifugo hasa katika sikukuu ya Eid Al haj ili kuwawezesha ...

Read More »

Serikali yatoa ajira mpya za walimu

SERIKALI imetoa ajira mpya za walimu 2,160 ambao wamepangwa katika shule za sekondari 1,721 nchini. Anaripoti Dany Tibason, Dodoma … (endelea). Akizungumza na waandishi wa habari leo tarehe 20, Agosti, ...

Read More »

Kondoa walia na miundombinu mibovu ya maji

WAKAZI wa kata ya Chemchem wilaya ya Kondoa mkoani Dodoma wameiomba serikali kuwatatulia kero ya muda mrefu ya uchakavu wa  miundombinu ya mabomba ya maji ambayo toka yawekwe mwaka 1961 hayajafanyiwa ...

Read More »

Shivyawata waomba walimu maalum mashuleni

SHIRIKISHO la vyama vya watu wenye ulemavu (SHIVYAWATA) mkoa wa Dodoma limeomba Wizara ya Elimu kuwapeleka walimu wenye taaluma ya elimu maalum kwenye shule zote nchini. Anaripoti Dany Tibason, Dodoma ...

Read More »

Kampuni ya Ulinzi wamwita Waziri Mhagama

WAFANYAKAZI wa kampuni ya ulinzi ya Tele Security Campan Ltd wamemuomba Waziri wa Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu, Jenista Mhagama kuingila kati mgogoro uliopo kati ya wafanyakazi hao ...

Read More »

Rais Magufuli mgeni rasmi mkutano wa ALAT

JUMUIYA ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT) intarajia kufanya mkutano wake mkuu wa 34 Desemba 24 hadi 28 mwaka huu Jijini Dodoma huku mgeni rasimi akiwa Rais John Magufuli. Anaripoti ...

Read More »

Sheria ya PSSSF yaanza kufanya kazi kesho

SHERIA ya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumsihi wa Umma (PSSSF) namba 2 ya mwaka 2018 kuanza kutumika rasmi kesho baada ya Waziri wa nchi ofisi ya Waziri Mkuu ...

Read More »

Lugola: Natenda atakacho JPM

KANGI Lugola, Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi amesema, anafanya kile atakacho Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Magufuli. Anaandika Dany Tibason, Dodoma … (endelea). Waziri ...

Read More »

Gari litakaloziisha mzigo faini Mil 34, jela miaka mitatu

SHERIA ya Udhibiti wa Uzito wa Magari ya Jumuiya ya Afrika Mashariki inatarajia kuanza kutumika nchini Januari 2019 huku ukomo wa adhabu kwa makosa ya usafirishaji utakuwa ni dola za ...

Read More »

CUF Lipumba watinga Dodoma

MBUNGE wa Mtwara Mjini, Mafutaa Nachuma (CUF) kwa kushirikiana na uongozi wa chama hicho mkoa wa Dodoma wamefungua ofisi ya mkoa mkoani Dodoma mtaa wa By Road. Anaripoti Dany Tibason ...

Read More »

RC Dodoma ataka uwekezaji wenye tija

MKUU wa Mkoa wa Dodoma Dk. Binilith Mahenge amesema kuwa ili kuwa na jiji lenye maendeleo ya haraka ni lazima wawekezaji wawekeze kwenye miradi yenye manufaa kwa jamii na kwa ...

Read More »

Tamisemi wapokea magari ya sekta ya Afya

OFISI ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi) imekabidhiwa msaada wa magari sita na shirika la USAID Global Health Supply Chain, yatakayopelekwa katika halmashauri mbalimbali nchini ili ...

Read More »

Serikali yamwaga ajira sekta ya Afya

SERIKALI imetoa ajira mpya za watumishi kada za afya katika Mamlaka za serikali za Mitaa  (TAMISEMI) 6180 kwa mwaka wa fedha 2018/19. Anaripoti Dany Tibason … (endelea). Akizungumza na vyombo ...

Read More »

SumaJKT yaokoa mamilioni ya Serikali

SERIKALI kupitia Wizara ya Madini imesaini mikataba mitatu ya ujenzi wa vituo saba vya umahiri na jengo la mafunzo kwa wachimbaji wadogo katika Chuo cha Madini Dodoma ambapo miradi hiyo ...

Read More »

Mpina atamba kuvuka malengo ya makusanyo

WAZIRI wa Mifigo na Uvuvi, Luhaga Mpina amesema wizara yake itahakikisha inavuka lengo la makusanyo kwa kukusanya kiasi cha Sh. 50 bilioni badala ya Sh. 20 bilioni ambazo ndilo lengo ...

Read More »

Tacaids watoa somo kwa wanahabari

TUME ya Taifa ya Kudhibiti Ukimwi Tanzania (TACAIDS) imeanza kutoa mafunzo kwa wanahabari wa vituo vya radio Jamii ili kuweza kusaidia kampeni ya kupambana na maambukizi mapya ya virusi vya ...

Read More »

Mavunde alia na siasa chafu

NAIBU Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Ajira na Walemavu, Anthony Mavunde, amewataka wanasiasa kuachana na siasa zenye viashiria vya uvunjifu wa amani. Anaripoti Dany Tibason … (endelea). ...

Read More »

Wanaume waoga kupima ukimwi

UTAFITI umebainisha kuwa wanaume wengi wamekuwa waoga kupima afya zao, hususani kupima Ukimwi jambo ambalo ni hatari zaidi kwa tofauti na wale ambao wanajitokeza kupima afya zao. Anaripoti Dany Tibason ...

Read More »

TFDA waonya watengenezaji bidhaa feki

MAMLAKA ya Uthibiti wa Chakula na Dawa (TFDA) imetoa angalizo kwa wauzaji, wasambazaji pamoja na watengenezaji wa bidhaa mbalimbali ambazo zipo chini ya usimamizi wa Mamlaka hiyo kutotengeneza bidhaa feki na ...

Read More »

DC apokelewa kwa mabango, awatupa rumande

MKUU wa Wilaya ya Kongwa na Kaimu Mkuu wa Wilaya ya Dodoma Mjini, Deo Ndejembi jana alijikuka katika wakati mgumu, baada wananchi wa kata ya Kikuyu Kaskazini kumpokea na mango ...

Read More »

Muswada wa Dodoma kuwa Jiji watinga Bungeni

Naibu Spika Job Ndugai

SERIKALI imewasilisha miswada mitano ukiwemo  unaopendekeza kutungwa kwa sheria ya Tamko la Makao Makuu ya mwaka 2018 kwa madhumuni ya kutangaza jiji la Dodoma kuwa Makao Makuu ya nchi. Anaripoti Dany Tibason ...

Read More »

Minyukano waipeleka Bunge mpaka usiku

BUNGE jana lililazimika kuendelea na kikao chake hadi saa 3:27 usiku baada ya wabunge kutokana na wabunge kupinga marekebisho ya sheria mbalimbali ikiwamo ya Sekta ya Korosho. Anaripoti Dany Tibason ...

Read More »

Bawacha wanunua kesi ya mwanamke kujifungua Polisi

UONGOZI wa Baraza la wanawake Chadema (Bawacha)limelaani vikali kitedendo cha udhalilishaji kilichofanywa na jeshi la polisi dhidi ya Amina Mapunda (26) mkazi wa Kiswanya kijiji cha Mgundeni, tarafa ya Mang’ula ...

Read More »

CAG amweka pabaya waziri wa JPM bungeni

 HALIMA Mdee, Mbunge wa Kawe na John Mnyika wa Kibamba (wote Chadema) wamemkaria kooni Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Philip Mpango wakitaka kujua zipo wapi fedha zilizoibuliwa na Mdhibiti ...

Read More »

Mbunge CCM aibana Serikali ubovu wa mashine za EFD’s

SERIKALI imetakiwa kutoa taarifa ya uhakika juu ya sakata la kutofanyakazi kwa Mashine za Kieletroniki (EFD’s) huku ikidaiwa kuwa kitendo cha mashine hizo kutofanya kazi na serikali kukaa kimya ni ...

Read More »
Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On Youtube