Thursday , 25 April 2024
Home danson
968 Articles60 Comments
Habari Mchanganyiko

Bodi ya Chai Rungwe kuvunjwa

MBUNGE wa Viti Maalumu, Sophia Mwakagenda ameitaka Serikali kuvunja bodi ya chai ya Wilaya ya Rungwe kwa sababu wananchi hawana imani na bodi...

Habari za Siasa

Serikali yatumia mil 768 kumtunza Faru Fausta

JUMLA ya 768 milioni zinatumika kila mwaka kwa ajili ya kumtunza Faru Fausta katika hifadhi ya ya Ngorongoro, bunge imefahamika, anaandika Dany Tibason....

Habari Mchanganyiko

TPA yatakiwa kupima mizigo kwa tani

MBUNGE wa Baraza la Wawakilishi Jaku Hashim Ayoub (CCM) ameitaka Serikali kupitia Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) kuweka utaratibu wa kupima mizigo inayoingia...

Habari Mchanganyiko

Tanroads yatenga bil 3 kujenga madaraja Masasi

WAKALA wa Barabara Tanzania (Tanroads), umekubali kutenga fedha kiasi cha Sh. 3 bilioni kwa ajili madaraja ya Halmashauri ya wilayani Masasi katika bajeti...

Habari Mchanganyiko

Kampuni ya Chai Kagera yakumbwa na ukata

WIZARA ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi, imetaja kuwa ucheleweshaji wa malipo ya wakulima na wafanyakazi katika kiwanda cha chai cha Maruku mkoani Kagera...

Habari Mchanganyiko

Busara itumie kudai michango kwa wananchi

MKUU wa wilaya ya Bahi, Dodoma, Christina Kitundu, amewataka viongozi wasiwachangishe wananchi pesa za maendeleo kwa nguvu badala yake watumie busara, anaandika Dany...

Habari za SiasaTangulizi

Meya wa CCM ang’olewa Dodoma

MADIWANI wa Manispaa ya Dodoma wamemng’oa Meya wa Manispaa hiyo, Jafary Mwanyemba (CCM) kwenye wadhifa wake baada ya kusaini mkataba wa kuchimba visima vya...

Habari za SiasaTangulizi

Mwakyembe amgwaya Makonda, aitupa ripoti ya Nape

HARRISON Mwakyembe, Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ana mambo mengi ya kufanya kwa sasa, lakini siyo ripoti ya mtangulizi wake, Nape...

Habari za Siasa

Bulembo atangaza kung’atuka CCM

ALHAJI Abdallah Bulembo, Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), ametangaza kung’atuka rasmi katika nafasi yake, kwa mdai kuwa anahitaji kuumzika, anaandika...

Habari za Siasa

DC, Mbunge Chadema waungana kupinga mradi wa maji

SAMSON Odunga Mkuu wa Wilaya ya Chemba na Mbunge wa Viti Maalum Kunti Yusufu Majala (Chadema), wamewataka wananchi wa wilaya hiyo kuukataa mradi...

Habari za Siasa

Mbunge ataka wananchi wadhibiti ufisadi

KUNTI Yusuph Majala, Mbunge wa Viti Maalum (Chadema) mkoa wa Dodoma, amewataka wananchi kujenga tabia ya kuhoji ubora na uendeshwaji wa miradi ya...

Habari Mchanganyiko

Dodoma ‘walilia’ chakula

RICHARD Kapinye, diwani wa kata ya Kibaigwa na Mwenyekiti wa kamati ya uchumi, ujenzi na mazingira ya halmashauri ya Wilaya ya Kongwa ameiomba...

Habari za SiasaTangulizi

Pinda atema ya moyoni serikali ya JPM

MIZENGO Pinda, Waziri Mkuu Mstaafu katika Serikali ya Awamu ya Nne ameeleza kuwa, ni ndoto serikali kufikia malengo yake ya ‘serikali ya viwanda’...

Habari Mchanganyiko

Watakiwa kutotumia nafaka kutengeneza pombe

MUSTAFA Rajabu Sheikh wa Mkoa wa Dodoma na Kadhi wa Mkoa huo amewaasa Watanzania kutotumia nafaka kama mahindi na mtama kwaajili ya kutengeneza...

Habari za Siasa

CCM Vyuo Vikuu walia na rushwa ya ngono

NEEMA Mfugale, Katibu wa Shirikisho la Vyuo Vikuu la Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Dodoma amesema, rushwa ya ngono ni changamoto kubwa inayokwamisha...

Habari Mchanganyiko

Magufuli na wateule wake waonywa

CHAMA cha Wafanyakazi wa Serikali za Mitaa (TALGWU) kimesema hakitamvumilia kiongozi yoyote wa kisiasa ambaye ambaye atafanya unyanyasaji dhidi ya watumishi wa umma,...

Elimu

Walimu Bahi hoi, waidai serikali 254 milioni

SERIKALI inadaiwa jumla ya Sh. 254.1 milioni na walimu wa Halmashauri ya Bahi mkoani Dodoma, ikiwa ni malimbikizo ya mishahara na posho, anaandika...

Habari Mchanganyiko

Waislam Dodoma wapewa somo

WAUMINI wa Dini ya Kiislamu Mkoa wa Dodoma wametakiwa kuzikamata fursa kutokana na Dodoma kuwa Makao Makuu ya Nchi, anaandika Dany Tibason. Mbali...

error: Content is protected !!