Author Archives: Danson Kaijage

Kamati ya Bunge yaonesha huruma kwa wananchi  

WABUNGE wamejadili na kupitisha miswada miwili ukiwamo wa Sheria ya Mamlaka ya Udhibiti Usafiri wa Ardhini, huku kamati ya Bunge ikikataa kiwango cha adhabu na vifungo vikubwa kwenye sheria hiyo na kushauri vipunguzwe ...

Read More »

Mch. Msigwa amchongea Mkuu wa Mkoa kwa Lukuvi

MBUNGE wa Iringa Mjini, Mchungaji Peter Msigwa (Chadema) amemshitaki Ally Hapi, Mkuu wa Mkoa wa Iringa kwa Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Willium Lukuvi kwamba amekuwa akiwaruhusu ...

Read More »

Mkakati wa kutokomeza ukatili wa watoto waiva

SERIKALI imesema kuwa inaandaa mpango kazi wa taifa wa kutokomeza ukatili dhidi ya wanawake na watoto (2017/18-2121/22) ambao miongoni mwa shabaha zake ni kuhakikisha watoto wanaoishi katika mazingira hatarishi wakiwemo ...

Read More »

Serikali yatenga Bil 4.5 kuisaidia hospitali ya Tarime

SERIKALI imesema kuwa jumla ya wananchi 367,985 wa halmashauri ya wilaya ya Tarime wanapata huduma za afya katika hospitali ya wilaya hiyo Tarime Mjini pamoja na vituo vya afya nane, ...

Read More »

Wauaji wa watoto Njombe wabainika

SERIKALI imesema tayari vyombo vya usalama vimeshawabaini watu wanaodaiwa kutekekeza mauaji ya kikatili ya watoto 10 katika Wilaya ya Njombe ambayo yametokana na imani za kishirikina. Anaripoti Danson Kaijage, kutoka ...

Read More »

Muswada Vyama vya Siasa wapita, wazua sintofahamu

BUNGE la Jamhuri, jana tarehe 29 Januari 2019, limepitisha Muswada wa Marekebisho ya Sheria ya Vyama vya Siasa (2018), katikati ya msuguano mkali kati ya wabunge wa vyama vya upinzani ...

Read More »

Kubenea, Zitto, waisambaratisha Serikali kwenye Muswada wa Vyama vya Siasa

MBUNGE  wa Ubungo (Chadema) Saed Kubenea amewavaa vigogo watatu wanasheria kuwa wamepeleka bungeni Muswada wa Marekebisho wa Vyama vya Siasa wa mwaka 2018, unavunja Katiba. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea). ...

Read More »

Kubenea aikalia kooni Serikali Muswada wa Vyama vya Siasa

MBUNGE  wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), katika jimbo la Ubungo, Saed Kubenea, amewavaa vigogo watatu ambao ni wanasheria nguli nchini kwa kupeleka muswaada wa sheria ya vyama vya siasa ...

Read More »

CCM, UKAWA watafunana Muswada wa Vyama vya Siasa

WABUNGE kutoka chama tawala- Chama Cha Mapinduzi (CCM) na wale kutoka vyama vya upinzani wameanza kumenyana kuhusu Muswada mpya wa Vyama vya Siasa uliowasilishwa bungeni leo tarehe 29 Januari 2019. Anaripoti ...

Read More »

Wapinzani wajibu mashambulizi Muswada Vyama vya Siasa

MUSWADA wa Sheria ya Marekebisho ya Vyama vya siasa umetua bungeni leo huku Kambi Rasmi ya Upinzani ikianisha hoja zake kupinga muswada huo. Anaripoti Tibason Kaijage…(endelea) Akiwasilisha bungeni leo tarehe 29 ...

Read More »

Bundi azua taharuki bungeni, Ndugai atoa neno

NDEGE aina ya bundi amekutwa ndani ya Ukumbi wa Bunge jijini Dodoma na kuzua taharuki leo asubuhi tarehe 29 Januari 2019. Anaripoti Danson Kaijage…(endelea). Baadhi ya wabunge na wageni waliofika bungeni ...

Read More »

Korosho yamwinua Nape, Nchuma bungeni

KIKAO cha 14 cha Bunge la Jamhuri kimeanza leo tarehe 29 Januari 2019 ambapo pamoja na shughuli zingine, wabunge wameuliza maswali mbalimbali. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea). Maftaha Nachuma, ...

Read More »

Mtolea aonja jeuri ya upinzani bungeni

ABDALLAH Mtolea, Mbunge wa Temeke ameapishwa leo tarehe 29 Januari 2019 bungeni mbele ya wabunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na wa CUF Kambi ya Prof. Ibrahim Lipumba pekee. Anaripoti ...

Read More »

Kitendawili cha Muswaada wa Vyama vya Siasa kuteguliwa

LEO MKUTANO wa kumi na nne Bunge la kumi na moja linatarajiwa kuanza shughuli zake jijini Dodoma. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea). Kwa mujibu wa kitengo cha Mawasiliano na ...

Read More »

Diwani ataka ushirikiano ili kukuza elimu

DIWANI wa Kata ya Ipagala Gombo Dotto (CCM) amewataka viongozi wa kata hiyo, wazazi na walimu kushirikiana kwa ukaribu ili kuwezesha watoto wao kupata elimu bora. Anaripoti Danson Kaijage… (endelea) ...

Read More »

Vijana nyoronyoro waonywa

ASKOFU wa Kanisa la Asembless Of God,Mlima wa Moto Jimbo la Dodoma na Nyanda za Juu Kusini,Silvanus Komba amewataka vijana kufaya kazi kwa bidii na kuachana na tabia ya ulegevu ...

Read More »

Mwalimu, mhasibu wafikishwa mahakamani kwa rushwa

TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Dodoma imemfikisha mahakamani mwalimu mkuu wa shule ya mingi Msisi iliyopo jijini Dodoma, David Isaac Mdek kwa kesi ya jinai ...

Read More »

Spika Ndugai: Wakulima wanateswa na lumbesa

SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano la Tanzania, Job Ndugai amesema bado kuna tatizo kubwa katika vipimo sahihi wakati wa ununuzi wa mazao kutoka kwa wakulima licha ya kuwepo ...

Read More »

Maofisa wa madini, wakuu wa mikoa kushirikiana kulinda madini

WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa, ametoa maelekezo kwa Maofisa madini kote nchini kunakochimbwa madini kushirikiana na wakuu wa Mikoa kwa lengo la kuweka mikakati ya kuthibiti madini hayo yasitoroshwe. ...

Read More »

NECTA yatangaza matokeo ya kidato cha nne 2018

MATOKEO ya mtihani wa kidato cha nne ya watahiniwa wa shule yanaonesha kuwa idadi ya watahiniwa waliofaulu imeongezeka kwa asilimia 1.29 kutoka asilimia 77.09 ya mwaka 2017 hadi asilimia 78.38 ...

Read More »

Kada wa CCM awavaa Zitto, Lissu, amsifia JPM

MJUMBE wa Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi CCM (NEC), Mussa Mwakitinya maarufu kwa jina la ‘Mwana wa Mungu’ amewashambulia wabunge wa upinzani na kueleza kuwa wana nia mbaya na ...

Read More »

Muswaada wa Vyama vya Siasa, unavunja Katiba            

MUSWAADA wa Vyama vya Sisasa uliowasilishwa bungeni na serikali kwenye mkutano uliyopita wa Bunge na ambao umeanza kujadiliwa kwenye ngazi ya Kamati, umebeba vifungu vinavyopingana na Katiba ya Jamhuri ya ...

Read More »

Viongozi wa dini waonywa

BAADHI ya viongozi wa Dini ambao wamekuwa wakiwaaminisha na kuwataka waumini wao kupokea Baraka zitokanazo na miujiza ya Mungu bila kufanya kazi wameonywa na kusema kuwa kwa kufanya hivyo ni ...

Read More »

Watoto waishio mazingira magumu waiangukia Serikali

WATOTO wanaolelewa kwenye vituo jijini Dodoma wameiomba serikali kudhibiti taasisi,mashirika na watu binafsi wanaojihusisha na utapeli wa kivuli cha watoto yatima na kujipatia mamilioni ya fedha na misaada mbalimbali ambayo ...

Read More »

CCM waichimha mkwara MSD

KAMATI ya Siasa ya CCM mkoa wa Dodoma imeiagiza Bohari Kuu ya Dawa (MSD), kuhakikisha inapeleka vifaa tiba na dawa katika vituo vya afya vilivyokamilika. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … ...

Read More »

Bunge lamhoji Prof. Assad kwa saa nne 

PROF. Mussa Assad, mkaguzi na mdhibiti mkuu wa hesabu za serikali (CAG), amemaliza kuhojiwa na Kamati ya Haki, Kinga, Maadili na Madaraka ya Bunge. Mahojiano yalichukua takribani saa nne. Anaripoti ...

Read More »

CAG awasili bungeni, mfumo wa kumhoji ni huu

PROFESA Mussa Assad, Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) amewasili bungeni kuitikia wito uliotolewa na Job Ndugai, Spika wa Bunge la Jamhuri wa kukutana na Kamati ya ...

Read More »

Yametimia; Prof. Assad atua bungeni na ushahidi wake

MDHIBITI na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Prof. Mussa Assad, tayari yupo Dodoma “kukabiliana” na Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Haki, Kinga, Maadili na Madaraka ya Bunge, ...

Read More »

Viongozi wa Dini wapewa somo

ASKOFU wa Jimbo la Dodoma kanisa la Mlima wa Moto,Silvanusi Komba amewataka viongozi wadini kuhakikisha wanawafundisha waumini wao juu ya kufanya  kazi kwa bidii badala ya kufundisha masomo ya utoaji ...

Read More »

Zitto azidi kuwavuruga CCM, Wabunge wake waazimia kumkabili

WABUNGE wote wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wameazimia kwa pamoja kuhakikisha wanakabiliana na mbunge wa Kigoma Mjini, Zito Kabwe (ACT-Wazalendo) kwa madai kuwa amekuwa kinara wa upotoshaji Umma pamoja na ...

Read More »

Magonjwa 10 yaliyochangia vifo vingi 2018

SERIKALI imetaja magonjwa kumi yaliyochangia vifo kwa mwaka 2018 huku ugonjwa wa shinikizo la damu ukijitokeza katika magonjwa hayo na kuchangia vifo kwa asilimia 1.9 ya vifo vyote. Anaripoti Danson ...

Read More »

Waziri Mkuu awaombea ajira vijana kwa waandisi

WAZIRI Mkuu Kasim Majaliwa amewataka waandisi wanaosimamia majengo kuhakikisha wanatoa ajira kwa vijana ili waweze kunufaika na mradi wa ujenzi unaoendelea  mji wa serikali uliopo Mtumba jijini Dodoma. Anaripoti Danson ...

Read More »

Kambi ya Upinzani wajipanga kumng’oa Spika Ndugai

KAMBI rasmi ya upinzani Bungeni imepanga msimamo wa kumng’oa Spika wa Bunge, Job Ndugai iwapo hatabadilisha  msimamo wake wa kutangaza kuwa Bunge limesitisha kufanya kazi na Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu ...

Read More »

Lugola awafyeka Ma-RPC watatu, wengine wanafuata

WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola jana ametangaza kutengua uteuzi wa Wakuu wa Polisi wa Mikoa (Ma-RPC) watatu kwa sababu tofauti. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea). ...

Read More »

Wiki ya nenda kwa Usalama yafutwa

SERIKALI kupitia Baraza la taifa la usalama barabarani, limetangaza kuifuta sherehe za wiki ya nenda kwa usalama barabarani, iliyokuwa ikifanyika kila mwaka. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea). Naibu waziri wa ...

Read More »

Masauni awanyoshea kidole kampuni za Ulinzi

SERIKALI imesema kuwa inazo taarifa kuwa yapo baadhi ya makampuni binafsi ya ulinzi ambayo yanajihusisha na vitendo vya uhalifu nchini. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea). Pamoja na baadhi ya ...

Read More »

Waziri Mkuu kufungua mkutano wa walinzi

WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa anatarajiwa kufungua mkutano mkuu wa kazi wa chama cha sekta binafsi ya Ulinzi nchini (TSIA) leo jijini Dodoma unaolenga kujadili changamoto zinazokabili sekta hiyo. Anaripoti Danson ...

Read More »

Mbunge Chadema amvaa Spika Ndugai, ampa kazi ngumu

NAIBU waziri Kivuli wa Nishati na Madini na Mbunge wa Viti Maalumu, Jesca Kishoa (Chadema) amemtaka Spika wa Bunge, Job Ndigai kumuita mwanasheria mkuu wa serikali kutokana na mwanasheria huyo ...

Read More »

Mwanasiasa mkongwe awapa somo watumishi vijana

WATUMISHI wa serikali na taasisi mbalimbali nchini ambao bado ni vijana wametakiwa kufanya kazi zao kwa uhaminifu na uzalendo kwa faida ya jamii na taifa kwa ujumla. Anaripoti Danson Kaijage, ...

Read More »

52% ya Watanzania wamepima Ukimwi

SERIKALI imesema kuwa Watanzania wapatao 2,405,296 hadi kufikia tarehe Oktoba 2018 walipima VVU kupitia Kampeni ya ‘Furaha Yangu’ ambao ni sawa na asilimia 52 ya lengo la kuwapima watanzania wapatao ...

Read More »

Mfumuko wa bei waongezeka kwa 3%

MFUMUKO wa bei wa taifa kwa mwaka ulioishia mwezi Disemba 2018 umeongezeka hadi asilimia 3.3 kutoka asilimia 3.0 kwa mwaka ulioishia mwezi Novemba 2018. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea). Taarifa ...

Read More »

CCM wajipanga kumrudisha Rais Magufuli 2020

MWENYEKITI wa Jumuiya ya wazazi CCM Taifa, Dk. Edmund Mndolwa amewaagiza wajumbe wa Baraza Kuu la Wazazi kujipanga kikamilifu ili wamrudishe madarakani Rais Dk. John Magufuli 2020. Anaripoti Danson Kaijage, ...

Read More »

TUCTA wampongeza Rais Magufuli, wamkumbusha kilio cha mshahara

SHIRIKISHO la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (TUCTA) limetoa shukrani kwa Rais John Magufuli huku likiambatanisha maombi yake sita ikiwemo kuangalia upya kikokotoo cha mafao kwenye mfuko wa Shirika la Taifa ...

Read More »

Ndugai acharuka Bunge kuitwa dhaifu, ataka pingu zitumike

SPIKA wa Bunge la Jamhuri, Job Ndugai, ameagiza kufika mbele ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Haki, Kinga, Maadili na Madaraka, Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali ...

Read More »

Viwanja 14 kuuzwa kwa mnada Dodoma

HALIMASHAURI ya  Jiji la Dodoma linakusudia kuuza viwanja  maalum 14 kwa njia ya mnada utafanyika siku ya Alhamisi 10 Januari mwaka huu. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea). Mkuu wa ...

Read More »

Bil. 1.7 zakosa mkopaji Dodoma

MKURUGENZI wa Jiji la Dodoma Godwin Kunambi amewataka vijana, akina mama na watu wenye ulemavu kuanzisha vikundi na kuweza kupatiwa mikopo kwa ajili ya maendeleo. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … ...

Read More »

Mchungaji awakumbuka wanafunzi wasiojiweza

KANISA la Tanzania Asembless of God (TAG) la Swaswa halisi limewahimiza wazazi na walezi kuhakikisha wanawapeleka watoto wao shule kwa wale wenye umri wa kwenda shule. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma ...

Read More »

Hospitali ya Mkapa kufanya upasuaji wa tezi dume kisasa

KWA kipindi ya miezi nane yaani Machi hadi Desemba mwaka jana Hospitali ya Benjamini Mkapa imewatibia wagonjwa 187 wa tezi dume. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea). Hayo yameelezwa na ...

Read More »

Mchungaji: Mkristo kukwepa kodi ni dhambi kubwa

MCHUNGAJI Kiongozi wa kamisa la Evangelisim Assembless Of God Tanzania (EAGT) Ipagala, Evanci Chande amewaonya wakristo wafanyabiashara ambao wamekuwa wakikwepa kulipa kodi ya serikali. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea). ...

Read More »

Mwalimu aliyemfungia mtoto kabatini azidi kubanwa

MWALIMU ya wa shule ya msingi Medeli ya Jijini Dodoma Anita Kimako (33) mkazi wa Area ‘C’ anayedaiwa kukifungia  kabatini kichanga  cha miezi mitano na kumjeruhi binti wake wa kazi, ...

Read More »
Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On Youtube