Author Archives: Danson Kaijage

Waziri Majaliwa awekwa kitimoto Bungeni

OFISI ya Waziri Mkuu imetakiwa kueleza ni lini itaacha kuwalinda wahalifu kwenye halmashauri mbalimbali nchini. Anaandika Dany Tibason … (endelea). Kauli hiyo ilitolewa leo  bungeni na Mbunge wa Ubungo (Chadema), ...

Read More »

Vitambulisho vya taifa kutafuna bil 160

JUMLA ya Sh. Bilioni 160 zimetengwa kwa ajili ya mradi vitambulisho vya Taifa nchini. Anaandika Dany Tibason … (endelea). Aidha, hadi Machi mwaka huu Sh. 56.8 bilioni zilikwishatolewa huku kiasi ...

Read More »

Masheikh, Maaskofu waonya CCM

BAADHI ya viongozi wa madhehebu ya kidini nchini, wameapa kutomuunga mkono mgombea yeyote wa urais anayetafuta urais kwa hongo, hata kama anang’aa kama jua wakati wa mchana na mwezi nyakati za usiku. Anaandika ...

Read More »

Viti Maalum waibana serikali

MBUNGE wa Viti Maalum (CUF), Amina Abdallah Amour, ameitaka kueleza umma, ni lini itatenga bajeti ya asilimia 30 kwa ajili ya miradi ya maendeleo ambayo imekuwa ikikwama kila mwaka. Anaandika ...

Read More »

Dk. Migiro awekwa kitimoto bungeni

WAZIRI wa Katiba na Sheria na Katiba, Dk. Asha Rose Migiro, jana alijikuta katika wakati mgumu baada ya wabunge wa upinzani kuhoji juu ya Muswada wa Sheria ya kulinda watoa ...

Read More »

Serikali yajikanyaga umeme vijijini

SERIKALI imejigamba itaendelea kutekeleza ahadi yake ya kupeleka nishati ya umeme vijijini. Charles Mwaijage, naibu waziri wa nishati na madini, ameliambia bunge mjini Dodoma, kuwa serikali inaendelea kukarabati njia za ...

Read More »

Mnyika alianzisha bungeni

MBUNGE wa Ubungo, John Mnyika (Chadema) leo ametibua upya mgogoro wa upatikanaji wa mafuta katika vituo vya kuuza mafuta nchini. Anaandika Dany Tibason … (endelea). Mnyika aliibua suala hilo ikiwa ...

Read More »

Mbunge CUF aichokonoa serikali

MBUNGE wa Mji Mkongwe, Muhammad Ibrahim Sanya (CUF), ameitaka serikali kupiga marufuku unywaji wa pombe za kienyeji na za viwandani ili kuepuka ulevi uliopindikia nchini. Anaandika Dany Tibason … (endelea). ...

Read More »

‘Zahanati Potea haikufuata ramani’

UJENZI wa Zahanati ya Kijiji cha Potea, Kata ya Pahi katika Wilaya ya Kondoa mkoani Dodoma ulianzishwa kwa nguvu ya wananchi takiribani miaka 10 iliyopita. Anaandika Dany Tibason … (endelea). ...

Read More »

Serikali yaonya vituo vya malezi ya watoto

SERIKALI imesema kuwa, itaendelea kuvifungia vituo vyote vya kulelea watoto waishio katika mazingira magumu ambavyo vinaendeshwa kwa kukwepa taratibu na kanuni za uanzishwaji wake. Anaandika Dany Tibason … (endelea). Kauli ...

Read More »

Wabunge 37 wapitisha muswada bungeni

KATIKA hali inayoonesha wabunge wengi kuwa na homa ya uchaguzi, jana ni wabunge 37 pekee kati ya 354 ndio waliopitisha Mswada wa Sheria ya Masoko ya Bidhaa ya Mwaka 2015. ...

Read More »

Muswada Benki ya Posta wapita

KWA pamoja bunge limeridhia Muswada wa Sheria ya Benki ya Posta Tanzania (TPB) kwa mwaka 2015 uliolenga kufuta sheria iliyosajili benki hiyo ili sasa isajiliwe chini ya Sheria ya Makampuni. ...

Read More »

Bil 3.91 kusambaza umeme vijiji 13 Meatu

SERIKALI imesema, kiasi cha Sh. 3.91 bilioni zinatarajia kutumika kwa ajili ya kupeleka umeme kwenye vijiji 13 vilivyopo katika Jimbo la Meatu. Anaandika Dany Tibason … (endelea). Vijiji vitakavyonufaika na mradi ...

Read More »

‘Bia chupa 2-4 kwa siku basi’

SERIKALI imesema, unywaji pombe kupindukia unasababisha watoto wengi kuzaliwa katika hali isiyo ya kawaida kiafya na kiakili. Anaandika Dany Tibason … (endelea). Mbali na hilo serikali imesema, unywaji mzuri wa ...

Read More »

Wabunge waumbuana bungeni

MBUNGE wa Msoma Mjini, Vicent Nyerere (Chadema) amempa wakati mgumu Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Janeti Mbene kwa kumtaka kuthibitisha kauli yake bungeni kuwa, Serikali ya CCM imewadhulumu waliokuwa ...

Read More »

Mwelekeo Z’bar unatisha

KAMBI Rasmi ya Upinzani Bungeni imesema, hali ya kisiasa Zanzibar inatisha baada ya vikosi vya ulinzi visiwani humo kupewa silaha kisha kuwapiga wananchi wakati wa kujiandikisha kwenye Daftari la Kudumu ...

Read More »

Wasaka Urais CCM wafika 42

ZIKIWA zimebaki siku nne kabla ya kufungwa kwa pazia la kuchukua fomu na kurejesha kwa ajili ya kutafuta wadhamini katika harakati za kugombea nafasi ya kuteuliwa kuiwakilisha CCM kwenye Urais Oktoba ...

Read More »

Wabunge, waandishi wamlilia Kamukara

WAANDISHI pamoja na wabunge kwa ujumla wao wamesikitihwa na kifo cha mwandishi wa habari Edson Kamukara kilichotokea jana nyumbani kwake Mabibo jijini Dar Es Salaam. Wabunge wameonesha hisia zao juu ...

Read More »

JK mgeni rasmi vita dawa za kulevya

Rais Jakaya Kikwete

RAIS Jakaya Kikwete anatarajiwa kuwa mgeni rasm katika siku ya maadhimisho ya kupiga vita dawa za kulevya duniani. Anaandika Dany Tibason … (endelea). Maadhimisho hayo ambayo kilele chake kitakuwa Juni ...

Read More »

Bajeti 2015/16 yapita kwa kishindo

BAJETI ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2015/16 imepita kwa zaidi ya asilimia 80, hata hivyo malalamiko ya wabunge wameendelea kutawala. Anaandika Dany Tibason … (endelea). Sehemu kubwa ya malalamiko ...

Read More »

Hospitali ya Lugalo yapigiwa chapuo

MBUNGE wa Viti Maalum, Maryam Salum Msabaha (Chadema) ameitaka serikali kutoa fedha za kutosha kwa ajili ya kukarabati majengo ya Hospitali ya Jeshi ya Lugalo na kupata vifaa vipya vya ...

Read More »

Sakata la utoroshwaji wanyama hai laibuka

SAKATA la utoroshwaji wa wanyama hai katika Uwanja wa Ndege wa Kilimanjaro (KIA) limeibuka tena bungeni baada ya Mbunge wa Viti Maalum, Christowaja Mdinda (Chadema) kuliibua. Anaandika Dany Tibason … ...

Read More »

Mwenyekiti TAHLISO kuburutwa kortini

UONGOZI wa Serikali ya Wanafunzi Kitivo cha Elimu katika Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), unatarajia kumburutwa mhakamani Mwenyekiti wa Shirikisho la Serikali za Wanafunzi wa Elimu ya Juu (TAHLISO), John ...

Read More »

Tanzania kuongoza Afrika Mashariki katika mawasiliano

JUMLA ya Dola za Marekani Milioni 170 na Sh. Bil 17.71 zimetumiwa katika uwekezaji kwenye ujenzi wa mkongo wa taifa katika awamu ya kwanza na ya pili. Anaadika Dany Tibason ...

Read More »

TPA Dar yachangia Mil 209.87

MAMLAKA ya Bandari Tanzania (TPA) imechangia jumla ya Sh. Milioni 209.87 kwa ajili ya huduma za jamii na majanga kwa Mkoa wa Dar es Salaam pekee. Anaandika Dany Tibason … ...

Read More »

Mbunge akerwa na majibu ya serikali

MBUNGE wa Viti Maalum, Clara Mwatuka (CUF) amedai kuwa, mawaziri wengi wa Serikali ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), wamekuwa na tabia ya kutoa majibu yasiyoridhisha kutokana na kutojiandaa. Anaandika Dany ...

Read More »

Serikali yakiri ahadi za Kikwete kutokamilika

SERIKALI imekiri kuwepo kwa ahadi nyingi za Rais Jakaya Kikwete ambazo hazijakamilika mpaka sasa. Anaandika Dany Tibason … (endelea). Hata hivyo serikali imesema, inafanya kila liwezekanalo kuhakikisha ahadi hizo zinakamilika ...

Read More »

LHRC yaonesha njia Viti Maalum

WABUNGE wa Viti Maalum wametakiwa kuhakikisha kuwa, utaratibu wa kuwapata unawekwa kisheria ili wasidharauliwe na jamii. Anaandika Dany Tibason … (endelea). Mkurugenzi wa Utetezi wa Kituo cha Haki za Binadamu ...

Read More »

Makongoro: Mafisadi wanapora CCM

UPO uwezekano kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuporwa na mafisadi, vibaka na wezi iwapo hakitakuwa makini. Anaandika Dany Tibason … (endelea). Makongoro ambaye ni mtoto wa mwasisi wa taifa hili, ...

Read More »

UKAWA waishambulia CCM mfululizo

WABUNGE watatu kutoka vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), wameishambulia Serikali ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwamba, imechoka kufikiria wananchi. Anaripoti Dany Tibason … (endelea). Mbunge wa Kigoma ...

Read More »

Mbunge ashangaa Prof. Ndulu, Waziri Mkuya kutowajibishwa

MBUNGE wa Mpwapwa, Greogory Teu (CCM) ameshangazwa na Waziri wa Fedha, Saada Mkuya na Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Prof. Benu Ndulu kutowajibishwa kutokana na kuanguka kwa shilingi. ...

Read More »

Machali amkana Zitto

MBUNGE wa Kasulu Mjini, Mosses Machale (NCCR-Mageuzi) amesema kuwa, hana mpango wa kuhamia katika chama kipya cha ACT-Wazalendo ambacho kiongozi mkuu wake ni Zitto Kabwe.  Mbunge huyo amezungumza na gazeti ...

Read More »

Polisi watetewa bungeni

SERIKALI imesema, nyumba za askari polisi na magereza zilizopo eneo la Nshambya na Miembeni katika Manispaa ya Bukoba ni za siku nyingi na zimechakaa. Anaripoti Dany Tibason … (endelea). Kauli ...

Read More »

Serikali kusimamia ruzuku za wachimbaji

SERIKALI imesema, itahakikisha inasimamia fedha za ruzuku zinazotolewa kwa wachimbaji wadogo nchini  zinagawiwa kwa uwiano unaofanana. Anaandika Dany Tibason … (endelea). Kauli hiyo imetolewa jana bungeni na Naibu Waziri wa ...

Read More »

Wizara yalalamikia kampeni ya WHO

WIZARA ya Kilimo, Chakula na Ushirika imelalamikia kampeni zinazofanywa na Shirika la Afya Duniani (WHO) kuwa, zimesababisha kushuka kwa bei ya tumbaku nchini. Anaandika Dany Tibason … (endelea). Naibu Waziri ...

Read More »

Mbunge ahoji maji salama bungeni

SERIKALI imetakiwa kueleza lini wananchi wataruhusiwa kunywa maji ya bomba moja kwa moja bila kuchemsha. Anaandika Dany Tibason … (endelea). Kauli hiyo ilitolewa jana bungeni na Mbunge wa Viti Maalum, ...

Read More »

‘Dk. Nagu anatuangusha Urais’

WANANCHI wilayani Hanang katika Mkoa wa Manyara wanasema, wamesikitishwa na kitendo cha Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Mahusiano na Uratibu) Dk. Mery Nagu kutojitokeza kuchukua fomu ya kuwania urais ...

Read More »

Serikali yamaliza mgogoro KIU

BAADA ya wabunge wa upinzani kuvalia njuga mgogoro kati ya Wanafunzi wa Chuo Kikuu Kishiriki cha Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Kampala, Dar es Salaam (KIU-DCC) Kitivo cha Sayansi za ...

Read More »

Uhai Mgodi Mchuchuma ni miaka 100

SERIKALI imesema, uhai wa Mgodi wa Mchuchuma unakadiriwa kuwa ni miaka 100 wakati mgodi wa Liganga ni miaka 50. Anaandika Dany Tibason … (endelea). Taarifa hiyo ilitolewa bungeni jana na Naibu ...

Read More »

CUF yaipopoa serikali

MBUNGE wa Viti Maalum, Amina Amour (CUF) amesema, serikali haina nia ya dhati ya kutenga fedha kwa ajili ya Mfuko wa Maendeleo ya Wanawake. Anaandika Dany Tibason … (endelea). Akiuliza ...

Read More »

Kigoma mbioni kupewa ardhi ya kilimo

WANANCHI wa Kijiji cha Kagera, Nkanda katika Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu mkoani Kigoma, wameandaliwa utaratibu maalumu wa kupewa ardhi kwa ajili ya shughuli za kilimo, bunge lilielezwa jana. Anaandika ...

Read More »

‘Shule za Kata zinatoa ushindani’

OFISI ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) imetoa takwimu za ufaulu katika mitihani ya kitaifa ambazo zinaonesha kati ya  watahiniwa waliofaulu kwa Daraja I-III ambao ...

Read More »

Zambi: Naliona tatizo Vyama vya Ushirika

SERIKALI imesema kuwa, haungi mkono viongozi wa kisiasa kushiriki katika Vyama vya Ushirika kwa maelezo ya kuwepo kwa uwezekano wa kuwepo kwa mitazamo tofauti. Anaandika Dany Tibason … (endelea). Serikali ...

Read More »

Wakurugenzi halmashauri kukatwa mishahara

SERIKALI imesema kuwa, mkurugenzi yeyote wa halmashauri ambaye hatatenga asilimia tano ya maendeleo ya wanawake atakatwa katika mshahara wake. Anaandika Dany Tibason …. (endelea). Kauli hiyo ilitolewa jana bungeni na ...

Read More »

Mwanri alia na wakandarasi

SERIKAILI imezitaka halmashauri zote nchini kuhakikisha hawawalipi wakandarasi fedha za kukodisha vifaa  wanavyotumia katika kufanya matengenezo mbalimbali katika  miradi ya barabara. Anaandika Dany Tibason … (endelea). Haya yamebainishwa  bungeni na ...

Read More »

Kangi ataka wabunge kuwazomea mawaziri

MBUNGE wa Mwibala, Kangi Lugola (CCM), amewataka wabunge wenzake kuwazomea mawaziri ambao wamekimbia bajeti na badala yake kukimbilia kuwasaka wathamini kwa ajili ya kuomba ridhaa ya kuomba kushika nafasi ya ...

Read More »

Waliopisha ujenzi bandari kavu kulipwa fidia

WIZARA ya Uchukuzi imekiri kuwa na fedha za kulipa fidia kwa wananchi wa Manispaa ya Kigoma Ujiji lakini tatizo ni kwa wahusika kutokukamilisha taratibu za kibenki, bunge limeelezwa leo. Anaandika ...

Read More »

Serikali yasisitiza uzazi wa mpango

SERIKALI imesema kuwa elimu ya uzazi wa mipango katika jamii si kazi ya serikali pekee, bali jamii inatakiwa kutambua umuhimu kuzaa kwa mpango ili kuondokana na kuwepo kwa watoto wa ...

Read More »

Dk. Kawambwa abanwa bungeni kuhusu vyuo

MBUNGE wa Jimbo la Dodoma Mjini Dk David Malole,(CCM)  ameitaka Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi kutoa majibu ya kina ni namna gani inavyowatumia wasomi wa vyuo vikuu Dodoma ...

Read More »

Waliopisha ujenzi uwanja wa ndege Mpanda walipwa

SERIKALI imekamilisha ulipaji wa fidia kwa wananchi waliopisha upanuzi wa ujenzi wa viwanja vya ndege Mpanda katika mkoa wa Rukwa. Anaandika Dany Tibason … (endelea). Kauli hiyo ilitolewa  bungeni na ...

Read More »
error: Content is protected !!
Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On YoutubeVisit Us On Instagram