Friday , 29 March 2024
Home danson
966 Articles62 Comments
Habari Mchanganyiko

Viongozi wa dini watakiwa kulikomboa Taifa

KIONGOZI wa Kanisa la Jehova Mercy, lenye makao yake makuu Jijini Dodoma mtaa wa Swaswa Halisi, Prophet Richard Magenge amewataka viongozi wa Kiroho...

Elimu

Selikali: Tunatoa elimu inayotatua matatizo ya Mtanzania

SERIKALI imesema kuwa elimu inayostahili kutolewa nchini ni ile ambayo inajikita katika kutatua matatizo yote na ambayo ni bora na siyo bora elimu. Anaripoti...

Habari za Siasa

Dk. Kijaji awatahadharisha Maofisa Ugavi

SERIKALI imetangaza kuwa kuwachukulia hatua kali Maofisa Ununuzi na Ugavi ambao wamekuwa wakishindwa kufuata Sheria za manunuzi na kuisababishia serikali kupata hasara. Anaripoti...

Habari Mchanganyiko

Madiwani wawashukia maafisa kilimo Chamwino

MADIWANI wa Halmashauri ya Chamwino wameitaka idara ya kilimo kuhakikisha inawahisha mbegu bora na pembejeo za kilimo kwa ujumla kwa kuendana na msimu...

Habari Mchanganyiko

Walemavu Dodoma kuendelea kubaki masikini

CHANGAMOTO ya vikundi vya watu wenye ulemavu katika mkoa wa Dodoma kushindwa kuchangamkia fursa ya kupata fedha za mikopo zinazitolewa na halmashauri katika...

Habari za SiasaTangulizi

Watumishi TAA walia njaa, Waziri awapotezea

MKURUGENZI Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA), Richard Mayogela, amesema wafanyakazi wa Mamlaka hiyo wanakabiliwa na njaa (ukata) licha ya kuwa...

Habari za SiasaTangulizi

Ukawa waanza kwa kususa bungeni

UMOJA wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) bungeni wamesusa kushuhudia kuapishwa kwa wabunge wanne. Anaandika Dany Tibason, Dodoma … (endelea). Leo vikao vya bunge...

Habari Mchanganyiko

Elimu yapunguza ukeketaji Simanjiro

KUTOKANA na juhudi zinazofanywa na wanaharakati kwa kupinga unyanyasaji na utatili kwa watoto wa kike na akina mama na kutoa elimu juu ya...

Habari Mchanganyiko

Asasi za Kiraia hatarini kutakatisha fedha

IMEELEZWA kuwa Asasi za kiraia nchini zipo katika hatari ya kutumika kama sehemu ya kupitishia fedha chafu na watu wasiokuwa na nia njema....

Habari Mchanganyiko

Serikali yaja na kibano cha AZAKI

SERIKALI imezikemea baadhi ya asasi za Kiraia ambazo zimekuwa zikitumia vibaya fedha za ruzuku zinazotolewa na wadau mbalimbali kwa ajili ya maendeleo. Anaripoti...

Habari za Siasa

Waziri Mkuu kufungua maonyesho ya Azaki

WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa, anatarajiwa kufungua maonyesho ya wiki la Asasi za kiraia  nchini leo ambapo zaidi ya mashirika yasiyo ya kiserikali 400...

Habari Mchanganyiko

Wahujumu miondombinu ya maji wafikia saba

BAADA ya uchunguzi  unaofanywa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) juu ya hujuma ya Maradi wa Maji wa Mtomoko uliopo...

Habari za Siasa

Wabunge 19 Chadema kulinda kura Dodoma

VIONGOZI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wamesema watawatumia wabunge kumi na tisa wa chama hicho kulinda kura katika uchaguzi mdogo wa...

Habari za SiasaTangulizi

Lugola awasha moto NIDA, vigogo watatu mbaroni

WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola, amemwagiza Mkurugenzi wa Makosa ya Jinai Nchini kuhakikisha anawatia mbaroni wafanyakazi wa Mamlaka ya...

Habari Mchanganyiko

Dodoma wala Eid leo, wawaonya wafanyabiashara

IMMAMU wa Msikiti wa Alharamain wa Chang´ombe Jijini Dodoma Shaffi Hussein ,amewaasa wafanyabiashara kuacha kupandisha bei ya vyakula hususan ya mifugo hasa katika...

Habari Mchanganyiko

Serikali yatoa ajira mpya za walimu

SERIKALI imetoa ajira mpya za walimu 2,160 ambao wamepangwa katika shule za sekondari 1,721 nchini. Anaripoti Dany Tibason, Dodoma … (endelea). Akizungumza na...

Habari Mchanganyiko

Kondoa walia na miundombinu mibovu ya maji

WAKAZI wa kata ya Chemchem wilaya ya Kondoa mkoani Dodoma wameiomba serikali kuwatatulia kero ya muda mrefu ya uchakavu wa  miundombinu ya mabomba ya...

Habari Mchanganyiko

Shivyawata waomba walimu maalum mashuleni

SHIRIKISHO la vyama vya watu wenye ulemavu (SHIVYAWATA) mkoa wa Dodoma limeomba Wizara ya Elimu kuwapeleka walimu wenye taaluma ya elimu maalum kwenye...

Habari Mchanganyiko

Kampuni ya Ulinzi wamwita Waziri Mhagama

WAFANYAKAZI wa kampuni ya ulinzi ya Tele Security Campan Ltd wamemuomba Waziri wa Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu, Jenista Mhagama kuingila...

Habari Mchanganyiko

Rais Magufuli mgeni rasmi mkutano wa ALAT

JUMUIYA ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT) intarajia kufanya mkutano wake mkuu wa 34 Desemba 24 hadi 28 mwaka huu Jijini Dodoma huku...

Habari Mchanganyiko

Sheria ya PSSSF yaanza kufanya kazi kesho

SHERIA ya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumsihi wa Umma (PSSSF) namba 2 ya mwaka 2018 kuanza kutumika rasmi kesho baada ya...

Habari za SiasaTangulizi

Lugola: Natenda atakacho JPM

KANGI Lugola, Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi amesema, anafanya kile atakacho Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Magufuli....

Habari Mchanganyiko

Gari litakaloziisha mzigo faini Mil 34, jela miaka mitatu

SHERIA ya Udhibiti wa Uzito wa Magari ya Jumuiya ya Afrika Mashariki inatarajia kuanza kutumika nchini Januari 2019 huku ukomo wa adhabu kwa...

Habari za Siasa

CUF Lipumba watinga Dodoma

MBUNGE wa Mtwara Mjini, Mafutaa Nachuma (CUF) kwa kushirikiana na uongozi wa chama hicho mkoa wa Dodoma wamefungua ofisi ya mkoa mkoani Dodoma...

Habari Mchanganyiko

RC Dodoma ataka uwekezaji wenye tija

MKUU wa Mkoa wa Dodoma Dk. Binilith Mahenge amesema kuwa ili kuwa na jiji lenye maendeleo ya haraka ni lazima wawekezaji wawekeze kwenye...

Afya

Tamisemi wapokea magari ya sekta ya Afya

OFISI ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi) imekabidhiwa msaada wa magari sita na shirika la USAID Global Health Supply...

Afya

Serikali yamwaga ajira sekta ya Afya

SERIKALI imetoa ajira mpya za watumishi kada za afya katika Mamlaka za serikali za Mitaa  (TAMISEMI) 6180 kwa mwaka wa fedha 2018/19. Anaripoti...

Habari za SiasaTangulizi

SumaJKT yaokoa mamilioni ya Serikali

SERIKALI kupitia Wizara ya Madini imesaini mikataba mitatu ya ujenzi wa vituo saba vya umahiri na jengo la mafunzo kwa wachimbaji wadogo katika...

Habari za SiasaTangulizi

Mpina atamba kuvuka malengo ya makusanyo

WAZIRI wa Mifigo na Uvuvi, Luhaga Mpina amesema wizara yake itahakikisha inavuka lengo la makusanyo kwa kukusanya kiasi cha Sh. 50 bilioni badala...

Afya

Tacaids watoa somo kwa wanahabari

TUME ya Taifa ya Kudhibiti Ukimwi Tanzania (TACAIDS) imeanza kutoa mafunzo kwa wanahabari wa vituo vya radio Jamii ili kuweza kusaidia kampeni ya...

Habari za Siasa

Mavunde alia na siasa chafu

NAIBU Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Ajira na Walemavu, Anthony Mavunde, amewataka wanasiasa kuachana na siasa zenye viashiria vya uvunjifu...

Habari MchanganyikoTangulizi

Wanaume waoga kupima ukimwi

UTAFITI umebainisha kuwa wanaume wengi wamekuwa waoga kupima afya zao, hususani kupima Ukimwi jambo ambalo ni hatari zaidi kwa tofauti na wale ambao...

Habari Mchanganyiko

TFDA waonya watengenezaji bidhaa feki

MAMLAKA ya Uthibiti wa Chakula na Dawa (TFDA) imetoa angalizo kwa wauzaji, wasambazaji pamoja na watengenezaji wa bidhaa mbalimbali ambazo zipo chini ya usimamizi...

Habari za SiasaTangulizi

DC apokelewa kwa mabango, awatupa rumande

MKUU wa Wilaya ya Kongwa na Kaimu Mkuu wa Wilaya ya Dodoma Mjini, Deo Ndejembi jana alijikuka katika wakati mgumu, baada wananchi wa...

Habari za Siasa

Muswada wa Dodoma kuwa Jiji watinga Bungeni

SERIKALI imewasilisha miswada mitano ukiwemo  unaopendekeza kutungwa kwa sheria ya Tamko la Makao Makuu ya mwaka 2018 kwa madhumuni ya kutangaza jiji la Dodoma kuwa...

Habari za SiasaTangulizi

Minyukano waipeleka Bunge mpaka usiku

BUNGE jana lililazimika kuendelea na kikao chake hadi saa 3:27 usiku baada ya wabunge kutokana na wabunge kupinga marekebisho ya sheria mbalimbali ikiwamo...

Habari za Siasa

Bawacha wanunua kesi ya mwanamke kujifungua Polisi

UONGOZI wa Baraza la wanawake Chadema (Bawacha)limelaani vikali kitedendo cha udhalilishaji kilichofanywa na jeshi la polisi dhidi ya Amina Mapunda (26) mkazi wa...

Habari za Siasa

CAG amweka pabaya waziri wa JPM bungeni

 HALIMA Mdee, Mbunge wa Kawe na John Mnyika wa Kibamba (wote Chadema) wamemkaria kooni Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Philip Mpango wakitaka...

Habari za Siasa

Mbunge CCM aibana Serikali ubovu wa mashine za EFD’s

SERIKALI imetakiwa kutoa taarifa ya uhakika juu ya sakata la kutofanyakazi kwa Mashine za Kieletroniki (EFD’s) huku ikidaiwa kuwa kitendo cha mashine hizo...

Habari za SiasaTangulizi

Bajeti ya Lukuvi yapita bungeni

JANA serikali ilpitisha bajeti ya Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi ya mwaka wa fedha 2018/19 kiasi cha Sh. 73,071,273,638. Anaripoti...

Elimu

Idadi wanafunzi waliopewa ujauzito na madereva bodaboda utata

SERIKALI imesema kuwa ni vigumu kupata idadi ya wanafunzi waliopewa mimba ba madereva wa pikipiki maafuru kwa madereva wa bodaboda. Anaripoti Dany Tibason...

Habari za Siasa

Serikali yagoma kuwalipa fidia waliokutwa vyeti feki kimakosa

SERIKALI  imesema hakuna mfanyakazi aliyeondolewa kazini kimakosa katika zoezi la uhakiki wa vyeti feki, zaidi ya kurudishwa kazini. Anaripoti Dany Tibason … (endelea). Kauli hiyo...

Habari Mchanganyiko

Wakurugenzi Halmashauri wachimbwa mkwara

SERIKALI imesema itamchukulia hatua kali mkurugenzi yoyote wa halmashauri nchini ambaye atashindwa kutenga asilimia kumi ya mapato kwa ajili ya akina mama na...

Habari Mchanganyiko

Bwawa la maji kujengwa Morogoro kupunguza uhaba

SERIKALI imekiri kuwa mji wa Manispaa ya Morogoro unakabiliwa na tatizo kubwa la ukosefu wa maji ya uhakika na kusababisha wananchi kukumbwa na...

Habari za Siasa

Serikali yakubali hoja za Sugu kurekebisha Magereza

SERIKALI imekubali kuufanyia kazi ushauri uliotolewa na Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi ‘Sugu,’ (Chadema) kuhusu uboreshaji wa jeshi la magereza nchini. Anaripoti...

Habari za Siasa

Mbunge Chadema asikitishwa na majibu ya mawazili

MBUNGE wa Viti Maalum, Suzana Mgonukulima (Chadema) amesema anasikitishwa na serikali kutoweza kujibu maswali kwa ufasaha na badala yake wanajibu kisiasa. Anaripoti Dany...

Habari za Siasa

Kubenea, Sugu waibana serikali makosa ya mtandao

MBUNGE wa Ubungo Saed Kubenea (Chadema) ameitaka serikali ieleze ni lini itapeleka bungeni muswada wa kuifanyia marekebisho sheria ya makosa ya mtandao kutokana...

Habari za SiasaTangulizi

Sugu alisimamisha Bunge kwa muda

KISHINDO cha Joseph Mbilinyi (Sugu) Mbunge wa Mbeya Mjini (Chadema), kimesimamisha shughuli za Bunge kwa muda wa takribani dakika sita ikiwa ni mapokezi yake...

Habari za SiasaTangulizi

Kesi ya Mawio yamponza Mwendesha Mashtaka

KWA mara nyingine Mahakama imehoji sababu ya Mwendesha Mashtaka wa Serikali kutoa kauli nyepesi za kushawishi kutoendelea kwa kesi ya tuhuma za uchochezi...

Habari za Siasa

Mabalozi nao kuhamishiwa Dodoma

JUMLA ya Mabalozi 63 wameshakabidhiwa maeneo ya kujenga ofisi zao Katika Jiji la Dodoma lakini Ubalozi wa Zambia tayari umeshaanza mchakato huo kwa...

error: Content is protected !!