Wednesday , 24 April 2024
Home danson
968 Articles62 Comments
Siasa

Wapinzani wajibu mashambulizi Muswada Vyama vya Siasa

MUSWADA wa Sheria ya Marekebisho ya Vyama vya siasa umetua bungeni leo huku Kambi Rasmi ya Upinzani ikianisha hoja zake kupinga muswada huo. Anaripoti...

Habari Mchanganyiko

Bundi azua taharuki bungeni, Ndugai atoa neno

NDEGE aina ya bundi amekutwa ndani ya Ukumbi wa Bunge jijini Dodoma na kuzua taharuki leo asubuhi tarehe 29 Januari 2019. Anaripoti Danson Kaijage…(endelea)....

Habari za Siasa

Korosho yamwinua Nape, Nchuma bungeni

KIKAO cha 14 cha Bunge la Jamhuri kimeanza leo tarehe 29 Januari 2019 ambapo pamoja na shughuli zingine, wabunge wameuliza maswali mbalimbali. Anaripoti...

Habari za SiasaTangulizi

Mtolea aonja jeuri ya upinzani bungeni

ABDALLAH Mtolea, Mbunge wa Temeke ameapishwa leo tarehe 29 Januari 2019 bungeni mbele ya wabunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na wa CUF...

Habari za SiasaTangulizi

Kitendawili cha Muswaada wa Vyama vya Siasa kuteguliwa

LEO MKUTANO wa kumi na nne Bunge la kumi na moja linatarajiwa kuanza shughuli zake jijini Dodoma. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea)....

Elimu

Diwani ataka ushirikiano ili kukuza elimu

DIWANI wa Kata ya Ipagala Gombo Dotto (CCM) amewataka viongozi wa kata hiyo, wazazi na walimu kushirikiana kwa ukaribu ili kuwezesha watoto wao...

Habari Mchanganyiko

Vijana nyoronyoro waonywa

ASKOFU wa Kanisa la Asembless Of God,Mlima wa Moto Jimbo la Dodoma na Nyanda za Juu Kusini,Silvanus Komba amewataka vijana kufaya kazi kwa...

Habari Mchanganyiko

Mwalimu, mhasibu wafikishwa mahakamani kwa rushwa

TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Dodoma imemfikisha mahakamani mwalimu mkuu wa shule ya mingi Msisi iliyopo jijini Dodoma,...

Habari Mchanganyiko

Spika Ndugai: Wakulima wanateswa na lumbesa

SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano la Tanzania, Job Ndugai amesema bado kuna tatizo kubwa katika vipimo sahihi wakati wa ununuzi wa...

Habari MchanganyikoTangulizi

Maofisa wa madini, wakuu wa mikoa kushirikiana kulinda madini

WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa, ametoa maelekezo kwa Maofisa madini kote nchini kunakochimbwa madini kushirikiana na wakuu wa Mikoa kwa lengo la...

ElimuTangulizi

NECTA yatangaza matokeo ya kidato cha nne 2018

MATOKEO ya mtihani wa kidato cha nne ya watahiniwa wa shule yanaonesha kuwa idadi ya watahiniwa waliofaulu imeongezeka kwa asilimia 1.29 kutoka asilimia...

Habari za Siasa

Kada wa CCM awavaa Zitto, Lissu, amsifia JPM

MJUMBE wa Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi CCM (NEC), Mussa Mwakitinya maarufu kwa jina la ‘Mwana wa Mungu’ amewashambulia wabunge wa upinzani...

Habari za SiasaTangulizi

Muswaada wa Vyama vya Siasa, unavunja Katiba            

MUSWAADA wa Vyama vya Sisasa uliowasilishwa bungeni na serikali kwenye mkutano uliyopita wa Bunge na ambao umeanza kujadiliwa kwenye ngazi ya Kamati, umebeba...

Habari Mchanganyiko

Viongozi wa dini waonywa

BAADHI ya viongozi wa Dini ambao wamekuwa wakiwaaminisha na kuwataka waumini wao kupokea Baraka zitokanazo na miujiza ya Mungu bila kufanya kazi wameonywa...

Habari Mchanganyiko

Watoto waishio mazingira magumu waiangukia Serikali

WATOTO wanaolelewa kwenye vituo jijini Dodoma wameiomba serikali kudhibiti taasisi,mashirika na watu binafsi wanaojihusisha na utapeli wa kivuli cha watoto yatima na kujipatia...

Afya

CCM waichimha mkwara MSD

KAMATI ya Siasa ya CCM mkoa wa Dodoma imeiagiza Bohari Kuu ya Dawa (MSD), kuhakikisha inapeleka vifaa tiba na dawa katika vituo vya...

Habari za SiasaTangulizi

Bunge lamhoji Prof. Assad kwa saa nne 

PROF. Mussa Assad, mkaguzi na mdhibiti mkuu wa hesabu za serikali (CAG), amemaliza kuhojiwa na Kamati ya Haki, Kinga, Maadili na Madaraka ya...

Habari za SiasaTangulizi

CAG awasili bungeni, mfumo wa kumhoji ni huu

PROFESA Mussa Assad, Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) amewasili bungeni kuitikia wito uliotolewa na Job Ndugai, Spika wa Bunge...

Habari za Siasa

Yametimia; Prof. Assad atua bungeni na ushahidi wake

MDHIBITI na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Prof. Mussa Assad, tayari yupo Dodoma “kukabiliana” na Kamati ya Kudumu ya Bunge ya...

Habari Mchanganyiko

Viongozi wa Dini wapewa somo

ASKOFU wa Jimbo la Dodoma kanisa la Mlima wa Moto,Silvanusi Komba amewataka viongozi wadini kuhakikisha wanawafundisha waumini wao juu ya kufanya  kazi kwa...

Habari za SiasaTangulizi

Zitto azidi kuwavuruga CCM, Wabunge wake waazimia kumkabili

WABUNGE wote wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wameazimia kwa pamoja kuhakikisha wanakabiliana na mbunge wa Kigoma Mjini, Zito Kabwe (ACT-Wazalendo) kwa madai kuwa...

Afya

Magonjwa 10 yaliyochangia vifo vingi 2018

SERIKALI imetaja magonjwa kumi yaliyochangia vifo kwa mwaka 2018 huku ugonjwa wa shinikizo la damu ukijitokeza katika magonjwa hayo na kuchangia vifo kwa...

Habari za Siasa

Waziri Mkuu awaombea ajira vijana kwa waandisi

WAZIRI Mkuu Kasim Majaliwa amewataka waandisi wanaosimamia majengo kuhakikisha wanatoa ajira kwa vijana ili waweze kunufaika na mradi wa ujenzi unaoendelea  mji wa...

Habari za SiasaTangulizi

Kambi ya Upinzani wajipanga kumng’oa Spika Ndugai

KAMBI rasmi ya upinzani Bungeni imepanga msimamo wa kumng’oa Spika wa Bunge, Job Ndugai iwapo hatabadilisha  msimamo wake wa kutangaza kuwa Bunge limesitisha...

Habari Mchanganyiko

Lugola awafyeka Ma-RPC watatu, wengine wanafuata

WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola jana ametangaza kutengua uteuzi wa Wakuu wa Polisi wa Mikoa (Ma-RPC) watatu kwa sababu...

Habari Mchanganyiko

Wiki ya nenda kwa Usalama yafutwa

SERIKALI kupitia Baraza la taifa la usalama barabarani, limetangaza kuifuta sherehe za wiki ya nenda kwa usalama barabarani, iliyokuwa ikifanyika kila mwaka. Anaripoti...

Habari Mchanganyiko

Masauni awanyoshea kidole kampuni za Ulinzi

SERIKALI imesema kuwa inazo taarifa kuwa yapo baadhi ya makampuni binafsi ya ulinzi ambayo yanajihusisha na vitendo vya uhalifu nchini. Anaripoti Danson Kaijage,...

Habari Mchanganyiko

Waziri Mkuu kufungua mkutano wa walinzi

WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa anatarajiwa kufungua mkutano mkuu wa kazi wa chama cha sekta binafsi ya Ulinzi nchini (TSIA) leo jijini Dodoma unaolenga...

Habari za Siasa

Mbunge Chadema amvaa Spika Ndugai, ampa kazi ngumu

NAIBU waziri Kivuli wa Nishati na Madini na Mbunge wa Viti Maalumu, Jesca Kishoa (Chadema) amemtaka Spika wa Bunge, Job Ndigai kumuita mwanasheria...

Habari za Siasa

Mwanasiasa mkongwe awapa somo watumishi vijana

WATUMISHI wa serikali na taasisi mbalimbali nchini ambao bado ni vijana wametakiwa kufanya kazi zao kwa uhaminifu na uzalendo kwa faida ya jamii...

Afya

52% ya Watanzania wamepima Ukimwi

SERIKALI imesema kuwa Watanzania wapatao 2,405,296 hadi kufikia tarehe Oktoba 2018 walipima VVU kupitia Kampeni ya ‘Furaha Yangu’ ambao ni sawa na asilimia...

Habari Mchanganyiko

Mfumuko wa bei waongezeka kwa 3%

MFUMUKO wa bei wa taifa kwa mwaka ulioishia mwezi Disemba 2018 umeongezeka hadi asilimia 3.3 kutoka asilimia 3.0 kwa mwaka ulioishia mwezi Novemba 2018....

Habari za Siasa

CCM wajipanga kumrudisha Rais Magufuli 2020

MWENYEKITI wa Jumuiya ya wazazi CCM Taifa, Dk. Edmund Mndolwa amewaagiza wajumbe wa Baraza Kuu la Wazazi kujipanga kikamilifu ili wamrudishe madarakani Rais...

Habari Mchanganyiko

TUCTA wampongeza Rais Magufuli, wamkumbusha kilio cha mshahara

SHIRIKISHO la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (TUCTA) limetoa shukrani kwa Rais John Magufuli huku likiambatanisha maombi yake sita ikiwemo kuangalia upya kikokotoo cha...

Habari za SiasaTangulizi

Ndugai acharuka Bunge kuitwa dhaifu, ataka pingu zitumike

SPIKA wa Bunge la Jamhuri, Job Ndugai, ameagiza kufika mbele ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Haki, Kinga, Maadili na Madaraka, Mdhibiti...

Habari MchanganyikoTangulizi

Viwanja 14 kuuzwa kwa mnada Dodoma

HALIMASHAURI ya  Jiji la Dodoma linakusudia kuuza viwanja  maalum 14 kwa njia ya mnada utafanyika siku ya Alhamisi 10 Januari mwaka huu. Anaripoti...

Habari Mchanganyiko

Bil. 1.7 zakosa mkopaji Dodoma

MKURUGENZI wa Jiji la Dodoma Godwin Kunambi amewataka vijana, akina mama na watu wenye ulemavu kuanzisha vikundi na kuweza kupatiwa mikopo kwa ajili...

Elimu

Mchungaji awakumbuka wanafunzi wasiojiweza

KANISA la Tanzania Asembless of God (TAG) la Swaswa halisi limewahimiza wazazi na walezi kuhakikisha wanawapeleka watoto wao shule kwa wale wenye umri...

Afya

Hospitali ya Mkapa kufanya upasuaji wa tezi dume kisasa

KWA kipindi ya miezi nane yaani Machi hadi Desemba mwaka jana Hospitali ya Benjamini Mkapa imewatibia wagonjwa 187 wa tezi dume. Anaripoti Danson...

Habari MchanganyikoTangulizi

Mchungaji: Mkristo kukwepa kodi ni dhambi kubwa

MCHUNGAJI Kiongozi wa kamisa la Evangelisim Assembless Of God Tanzania (EAGT) Ipagala, Evanci Chande amewaonya wakristo wafanyabiashara ambao wamekuwa wakikwepa kulipa kodi ya...

Habari Mchanganyiko

Mwalimu aliyemfungia mtoto kabatini azidi kubanwa

MWALIMU ya wa shule ya msingi Medeli ya Jijini Dodoma Anita Kimako (33) mkazi wa Area ‘C’ anayedaiwa kukifungia  kabatini kichanga  cha miezi...

Habari za Siasa

Jiji la Dodoma kujiendesha kwa mapato ya ndani

MKURUGENZI  wa Jiji la Dodoma, Godwin Kunambi amesema kuwa jiji hilo linatarajia ifikapo mwaka 2021 jiji hilo litakuwa likijitegemea kwa mapato ya ndani. Anaripoti...

Habari za SiasaTangulizi

Serikali yaanika hali ya uchumi nchini

PAMOJA na watanzania wengi kuendelea kulalamika kwa madai kuwa wana hali mbaya ya kiuchumi serikali imesema kuwa uchumi wa taifa huko imara na...

Habari za Siasa

Waziri Mkuu aagiza wakazi wa Dodoma kulipwa fidia

WAZIRI Mkuu Kasimu Majaliwa amemuagiza Mkurugenzi Jiji la Dodoma, Godwin Kunambi kuweka utaratibu wa kuwafidia watu wanaopisha maeneo yao. Anaripoti Dany Tibason, Dodoma...

Habari za SiasaTangulizi

Kwa heri Pascal Ndejembi, utakumbukwa kwa mengi

WINGU zito limetanda katika Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dodoma, kutokana na aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa  Chama hicho Mkoani hapa na Mwenyekiti...

Habari Mchanganyiko

Jafo aagiza waliotafuna Bil 2.9 Ulanga wakamatwe

OFISI ya Rais Tawala za mikoa na Serikali za mitaa (Tamisemi) imebaini matumizi mabaya ya fedha za serikali Sh. 2.98 bilioni katika halmashauri ya...

Habari Mchanganyiko

Madiwani Chamwino watakiwa kuwakumbuka walemavu

MADIWANI wa Halmashauri ya Chamwino wametakiwa kuhakikisha majengo yanayojengwa yanakuwa na miundombinu rafiki kwa ajili ya watu wenye ulemavu. Anaripoti Dany Tibason, Dodoma...

ElimuHabari Mchanganyiko

Wazazi wa darasa la saba, wawachongea M-RC, DC kwa JPM

BAADHI ya wazazi ambao watoto wao wamemaliza darasa la saba na kufaulu mitihani yao na kukosa nafasi za kujiunga na kidato cha kwanza...

Habari Mchanganyiko

Wakulima Dodoma wapewa somo

WAKULIMA wa Mkoa wa Dodoma wametakiwa kulima mazao ambayo yanaendana na hali ya hewa ili kuweza kupata mazao mengi. Anaripoti Dany Tibason, Dodoma...

Habari za Siasa

Mrema akubali muswada wa vyama vya siasa, aomba ruzuku

MKONGWE wa Siasa Nchini na Mwenyekiti wa chama cha TLP, Augustino Lyatonga Mrema, ameitaka serikali inapofanya marekebisho ya vyama vya siasa iweze kuangalia...

error: Content is protected !!