JUMLA ya wanachuo 3,421 wamehitimu masomo yao katika Chuo cha Diplomasia tangu kuanzishwa kwake mwaka 1978. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea). Taarifa hiyo...
By Danson KaijageApril 23, 2019SERIKALI imesema iko katika taratibu za mwisho za kuwaajiri walimu 4,500 wa masomo ya sayansi kwa ajili ya kuwapeleka katika shule za sekondari...
By Danson KaijageApril 23, 2019MWANGALIZI wa Makanisa ya Baptist mkoani Dodoma, Antony Mlyashimba, amemtaka Spika wa Bunge, Job Ndugai kutubu na kisha kukaa meza moja na Mkaguzi...
By Danson KaijageApril 21, 2019ASKOFU wa kanisa la Anglikana Dayosisi ya Kati, Dk. Dikson Chilongani amesema kuwa licha ya kuwa serikali inapambana na rushwa lakini hali hiyo...
By Danson KaijageApril 21, 2019MALALAMIKO ya kuminywa kwa uhuru wa vyombo vya habari nchini, yameibuka tena leo tarehe 18 Aprili 2019 bungeni jijini Dodoma. Anaripoti Danson Kaijage,...
By Danson KaijageApril 18, 2019GODLUCK Mlinga, Mbunge wa Ulanga (CCM) amesema kuwa, Wilaya ya Ulanga inaongoza kwa kuwa na wagonjwa wa kifafa Tanzania na duniani. Anaripoti Danson...
By Danson KaijageApril 18, 2019RITTA Kabati, Mbunge wa Viti Maalum (CCM), ametaka Wizara ya Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) kuona uwezekano wa kupeleka...
By Danson KaijageApril 18, 2019SPIKA wa Bunge, Dk.Tulia Ackson ameamuru kuondolewa kwenye kumbukumbu za bunge Hotuba ya Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo kwa Mwaka wa...
By Danson KaijageApril 18, 2019MBUNGE Viti Maalum (CCM), Angelina Malembeka ameishauri serikali kuweka utaratibu kwa wafungwa wa kike wenye ujauzito, kupewa vifungo vya nje ya gereza, ili...
By Danson KaijageApril 17, 2019KAMBI Rasmi ya Upinzani Bungeni, imeibuka na kero saba za Muungano kwamba, mpaka sasa bado zinatikisa. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea). Ratifa...
By Danson KaijageApril 16, 2019CATHERINE Magige, Mbunge wa Viti Maalum (CCM) leo tarehe 16 Aprili 2019, ameitaka serikali kueleza ni lini itakamilisha ahadi zake ilizotoa kwa jamii?...
By Danson KaijageApril 16, 2019MBUNGE wa Kasulu Mjini, Daniel Nsanzugwako ameishauri serikali kuiruhusu Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Tanzania (TAKUKURU), kuendesha mashauri makubwa ya rushwa...
By Danson KaijageApril 15, 2019KIONGOZI wa Chama cha ACT-Wazalendo Zitto Kabwe, ametaja maeneo 1o muhimu katika Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG),...
By Danson KaijageApril 14, 2019BAADHI ya wabunge wa Chama cha Mapinduzi wamedai wapo njia panda, kwani hawajajua kama watachangia ripoti ya Mthibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu...
By Danson KaijageApril 12, 2019NAIBU Waziri wa Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Mwita Waitara ametoa wito kwa wananchi na wadau wa maendeleo kushirikiana na serikali katika kukarabati nyumba za...
By Danson KaijageApril 12, 2019SERIKALI imetoa taarifa kwa Umma kuwa bado kuna ugonjwa wa homa wa Dengue hapa nchini licha ya kuwa ugonjwa huo, mpaka sasa hakuna...
By Danson KaijageApril 11, 2019RIPOTI ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Profesa Mussa Assad imewasilishwa bungeni na Naibu Waziri wa Ofisi ya Rais,...
By Danson KaijageApril 10, 2019SAED Kubenea, Mbunge wa Ubungo (Chadema), ameitaka serikali kurejesha nyumba za serikali zilizouzwa kiholela na si viwanda vilivyobinafsishwa pekee. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma …...
By Danson KaijageApril 9, 2019LIVINGSTON Lusinde, Mbunge wa Jimbo la Mtera (CCM), ameshauri bunge na wananchi kwa ujumla kwamba, kusiwepo na uchaguzi wa rais mwaka 2020. Anaripoti...
By Danson KaijageApril 9, 2019SERIKALI imeeleza kwamba, changamoto na kero za muungano ambazo zimetatuliwa mpaka sasa ni 11 kati ya 15 zilizowasilishwa. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea). Kauli hiyo...
By Danson KaijageApril 8, 2019HATUA ya karatasi yenye orodha ya shughuli za Bunge (order paper) kutoonesha kuwepo kwa taarifa ya Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali...
By Danson KaijageApril 8, 2019MBUNGE wa kuteuliwa, Alhaji Abdalah Bulembo (CCM) ameonesha wasiwasi kuwa, ahadi zilizotolewa zinaweza kushindwa kutekelezeka kutoka na muda kubaki mfupi. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma...
By Danson KaijageApril 8, 2019SPIKA wa Bunge, Job Ndugai ameweka wazi kuwa wabunge kumi wa viti maalum waliokuwa wanatokana na chama cha CUF waliotimuliwa na chama hicho...
By Danson KaijageApril 4, 2019JOB Ndugai, Spika wa Bunge ameeleza kwamba, taasisi anayoiongoza haina ugomvi na Ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG),...
By Danson KaijageApril 4, 2019JOHN Mnyika, Mbunge wa Kibamba jijini Dar es Salaam amepinga hatua ya Job Ndugua, Spika wa Bunge kufukuza wabunge kwa madai ya kudhalilisha...
By Danson KaijageApril 4, 2019MBUNGE wa Arusha Mjini (Chadema), Godbless Lema, “amefukuzwa bungeni.” Amezuiwa kuhudhuria mikutano mitatu ya Bunge. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea). Lema amekutwa na...
By Danson KaijageApril 4, 2019LICHA ya kuitwa mtu wa hovyo, mchekeshaji anayechipuka kwa kasi Peter Mollel ‘Pierre’ sasa ni lulu. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea). Kuitikia kwake...
By Danson KaijageApril 3, 2019GODBLESS Lema, Mbunge wa Arusha Mjini leo mchana tarehe 3 Aprili 2019 atakutana na Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Maadili saa 8...
By Danson KaijageApril 3, 2019MBUNGE wa Viti Maalum, Devotha Minja (Chadema) amehoji serikali sababu za kushindwa kufanya maandalizi mazuri katika ubinafsishaji wa viwanda? Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma …...
By Danson KaijageApril 2, 2019SERIKALI imeagiza wananchi kuendelea kufungiwa dira mpya za maji – Lipa Kadiri Utumiavyo – ili kupunguza malalamiko yao. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma …...
By Danson KaijageApril 2, 2019BAADHI ya wabunge wa upinzani, wametoka nje ya Bunge, kupinga hatua ya Naibu Spika wa Bunge, Dk. Tulia Ackson, kumshitaki kwenye Kamati ya...
By Danson KaijageApril 2, 2019BUNGE la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, limeazimia kutofanya kazi na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Profesa Mussa Assad,...
By Danson KaijageApril 2, 2019MKUTANO wa kumi na tano wa bunge unaoanza kesho unatarajia kujadili na kupitisha miswada miwili ya sheria ambayo itasomwa kwa hatua zake zote....
By Danson KaijageApril 1, 2019WAKATI uchaguzi wa serikali za mitaa 2019, ukitarajiwa kufanyika Novemba mwaka huu, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi)...
By Danson KaijageApril 1, 2019MENEJA wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania, Kanda ya Kati, Mathew Kiondo ametoa siku mbili kwa wafugaji wanaolisha mifugo yao katika Msitu wa...
By Danson KaijageApril 1, 2019KAMBI Rasmi ya upinzani bungeni, iko hatarini “kusambaratika” kufuatia “mapinduzi” ya kisiasa, yaliyotokea ndani ya Chama cha Wananchi (CUF). Anaripoti Danson Kaijage kutoka...
By Danson KaijageApril 1, 2019WANAFUNZI waliomaliza Kidao cha IV mwaka 2018 na matokeo yao kutangazwa, sasa wanaweza kutumia mfumo maalumu kubadili chaguo za masomo na tahasusi kulingana...
By Danson KaijageMarch 29, 2019MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dodoma kesho tarehe 29 Machi 2019, itatoa uamuzi wa pingamizi tatu, zilizotolewa na serikali katika kesi ya maombi madogo...
By Danson KaijageMarch 28, 2019WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa ametoa onyo kwa maofisa elimu nchini kutojihusisha kwenye vitendo vya kupanga na kuiba mitihani ya kitaifa. Anaripoti Danson Kaijage,...
By Danson KaijageMarch 27, 2019MKUU wa Kitengo cha ulinzi wa Mtoto kutoka UNICEF, Maud Droogleever Fortuyn amesema kuwa usajili na utoaji vyeti vya kuzaliwa kwa watoto chini...
By Danson KaijageMarch 24, 2019FIKRA kwamba, Rais John Magufuli anapaswa kuendelea kuwepo madarakani hata baada ya kumaliza muhula wake wa pili iwapo atachaguliwa, wametakiwa kuzika fikra hizo. Anaripoti...
By Danson KaijageMarch 23, 2019WAKAZI wa Kata ya Mtumba, jijini Dodoma wanajiandaa kumpokea Rais John Mgufuli kwa mabango yenye malalamiko baada ya halmashauri ya jiji hilo kushindwa...
By Danson KaijageMarch 20, 2019SHEIKHE wa Mkoa wa Dodoma, Mustapha Rajabu amewataka vijana kutumia nguvu zao wakati serikali ikijenga mji wa kiserikali katika eneo la Mtumba, jijini...
By Danson KaijageMarch 19, 2019SPIKA wa bunge Job Ndugai amemwandikia barua mwenyekiti wa tume ya uchaguzi Semistocles Kaijage kumtaarifu kuwa Jimbo la Arumeru Mashariki linaloongozwa na Joshua...
By Danson KaijageMarch 14, 2019RAHAEL Alaay (25) ameiomba serikali kupitia Waziri wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto kuingilia kati mgogoro wake na...
By Danson KaijageMarch 14, 2019ULAJI holela wa dawa za kupunguza maumivu ni moja ya sababishi ya ugonjwa wa Figo, imeelezwa. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea). Kauli hiyo...
By Danson KaijageMarch 14, 2019MWAKILISHI wa Mpango wa Chakula Duniani (WFP) Tanzania, Michael Dunford alisema WFP inaangalia namna ya kumtoa mkulima katika kilimo kidogo na kuwa na...
By Danson KaijageMarch 14, 2019MBUNGE wa Hai, Freeman Mbowe na Mbunge wa Tarime Mjini, Ester Matiko wote Chadema wamekuwa kuvutio katika ukumbi wa Pius Msekwa kwa kushangiliwa...
By Danson KaijageMarch 12, 2019MBUNGE wa Jimbo la Ubungo, Saed Kubenea (Chadema) amesema kuwa mpango uliowasilishwa leo na Waziri wa Fedha na Mipango kwa wabunge wote wa...
By Danson KaijageMarch 12, 2019WAZIRI Mkuu Kassm Majaliwa amewataka mawaziri wote kuhakikisha wanahudhuria katika vikao vya kamati za kudumu za bunge. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea)....
By Danson KaijageMarch 12, 2019