TOFAUTI na bajeti za serikali katika miaka ya fedha iliyopita, katika Mwaka wa Fedha wa 2019/20, ushabiki wa kisiasa umedhihiri. Anaripoti Dandon Kaijage, Dodoma...
By Danson KaijageJune 13, 2019SERIKALI imesema kuwa, enzi za kutegemea wajomba zimekwisha na sasa, Watanzania washikamane na kufanya kazi kwa bidii. Anaripoti Dandon Kaijage, Dodoma … (endelea). Akisoma...
By Danson KaijageJune 13, 2019BAJETI kwa Mwaka wa Fedha 2019/20 iliyosomwa leo tarehe 13 Juni 2019, imependekeza ushuru kwa mawigi. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea). Akisoma...
By Danson KaijageJune 13, 2019SERIKALI ya Tanzania imependekeza kupanda kwa ada ya leseni ya udereva kutoka Sh. 40,000 za sasa, mpaka Sh. 70,000 kwa Mwaka wa Fedha...
By Danson KaijageJune 13, 2019JOB Ndugai, Spika wa Bunge amesema, miongoni mwa sababu za Bunge hilo kutorushwa ‘live’, wabunge wenyewe kutojiheshimu. Anaripoti Dandon Kaijage, Dodoma … (endelea)....
By Danson KaijageJune 13, 2019WAKATI taifa likijiandaa kuingia kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Oktoba mwaka huu na baadaye Uchaguzi Mkuu 2020, serikali na Chama Cha Mapinduzi...
By Danson KaijageJune 12, 2019SERIKALI imeeleza kuwa, mpaka sasa kuna jumla ya viwanda vipya 3,000 tangu kuanza kwa kampeni ya ujenzi wa viwanda katika Serikali ya Awamu...
By Danson KaijageJune 12, 2019WAMILIKI 207 wa ardhi wanaodaiwa zaidi ya Sh. 200 Bilioni, wamepewa siku tisa kuanzia leo ili kukamilisha malipo hayo. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma …...
By Danson KaijageJune 11, 2019MFUMKO wa bei umeongezeka kutoka asilimia 3.2 mwezi Aprili, hadi asilimia 3.5 mwezi Mei mwaka huu. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea). Akizungumza na...
By Danson KaijageJune 10, 2019JOB Ndugai, Spika wa Bunge ameishauri Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano kuangalia uwezekano wa kuongeza kilo zinazopimwa kwa abiria wanaosafiri na boti...
By Danson KaijageJune 10, 2019SERIKALI imezitaka Asasi za Kiraia (AZAKI) kusimamia vyema matumizi ya fedha za miradi, ili ziwanufaishe walengwa. Anaripoti Danson Kaijage…(endelea). Wito huo umetolewa na...
By Danson KaijageJune 10, 2019CHAMA cha Wananchi (CUF), kimeendelea kubomoka baada ya Mbaraka Chilumba, aliyekuwa Katibu Mtendaji wa Jumuiya ya Vijana wa chama hicho (JUVICUF)-Taifa kutimkia ACT-Wazalendo....
By Danson KaijageJune 6, 2019SHEIKH wa Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Mustapha Rajabu amewataka Watanzania kuishi maisha ya kulinda na kutunza amani. Anaripoti Danson Kaijage … (endelea)....
By Danson KaijageJune 6, 2019WATU wanne wakazi wa sehemu tofauti jijini Dar es Salaam, wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kujibu shitaka la kuchapisha maudhui ya...
By Danson KaijageJune 4, 2019IMEELEZWA kuwa, wazazi wengi hawana uelewa wa kutosha kuhusu sera ya elimu bure jambo ambalo linasababisha wanafunzi kushindwa kuendelea vyema na masomo. Anaripoti Danson...
By Danson KaijageMay 30, 2019CLEMENT Maganga, Mwakilishi wa Mratibu wa Mtandao wa Elimu Tanzania (Ten/Met), amesema kuwa mtandao wa elimu nchini imejiwekea malengo makuu matatu ya kuimarisha...
By Danson KaijageMay 27, 2019MBUNGE wa Jimbo la Bumbwini, Muhammed Amour Mohammed (CUF), amesema kuwa serikali imekuwa ikitoa majibu mepesi kwa maswali yanayoulizwa na serikali. Anaripoti Danson Kaijage,...
By Danson KaijageMay 22, 2019MBUNGE wa Ulanga, Goodluck Mlinga ameeleza kushangazwa na hatua ya serikali kugawa mipira ya kiume ya kujamii (kondom) kwa wazinifu bure, huku ikishindwa kugawa...
By Danson KaijageMay 22, 2019WATANZANIA wamehamasishwa kutumia maziwa kwa wingi ili kuweza kutunza afya zao kutokana na kuwa maziwa hayo yanapaikana. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea)....
By Danson KaijageMay 22, 2019MRITHI wa Joshua Nassari katika Jimbo la Arumeru Mashariki, Dk. John Pallangyo, ameapishwa leo tarehe 22 Mei 2019 kuwa mbunge wa jimbo hilo...
By Danson KaijageMay 22, 2019MBUNGE wa Kigoma Mjini (ACT- Wazalendo), Zitto Zuberi Kabwe, ameituhumu serikali kwa kile alichokiita, “kushindwa au kunyamazia,” vitendo vya ubakaji wanavyofanyiwa wapigakura wake....
By Danson KaijageMay 21, 2019KAMPUNI ya Land Network Ltd ya jijini Dodoma, kwa kushirikiana na kampuni ya utengenezaji wa vifaa vya upimaji ardhi Kolida ya nchini China,...
By Danson KaijageMay 21, 2019CHUO Kikuu cha Dodoma (UDOM), kimewataka Watanzania kuwaiga Wachina katika kuthamini na kudumisha tamaduni ikiwemo lugha ya taifa lao. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma...
By Danson KaijageMay 17, 2019MNYUKANO kati ya Job Ndugai, Spika wa Bunge na Profesa Mussa Assad, Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), bado unaendelea. Anaripoti...
By Danson KaijageMay 16, 2019BUNGE la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limesimamisha uwakilishi wa Mbunge wa Bunge la Afrika (PAP), Stephen Masele hadi Kamati ya Haki, Maadili...
By Danson KaijageMay 16, 2019SUBIRA Mgalu, Naibu Waziri wa Nishati amsema, serikali imeanza kutekeleza mradi wa kusambaza gesi asilia katika miji ya Mtwara, Lindi, Pwani na Dar...
By Danson KaijageMay 15, 2019PROFESA Paramagamba Kabudi, aliyekuwa Waziri wa Katiba na Sheria, ametakiwa kujiuzulu kwa madai ya kushindwa kumshauri vizuri Rais John Magufuli. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma...
By Danson KaijageMay 15, 2019SHIRIKA la Utangazaji nchini (TBC1), limelalamikiwa kutoa matangazo yake kwa upendeleo. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea). Sofia Mwakagenda, Mbunge wa Viti Maalum (Chadema)...
By Danson KaijageMay 15, 2019MDHIBITI na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Prof. Mussa Assad amesema, maofisa wanatakiwa kufanya kazi kwa kujiamini pia kujibu hoja kwa...
By Danson KaijageMay 14, 2019SERIKALI imesema, inaendelea kutoa ruzuku ya maendeleo kwenye Mamlaka za Serikali za Mitaa ili kuziwezesha kutekeleza miradi ya maendeleo katika sekta mbalimbali zikiwemo afya...
By Danson KaijageMay 14, 2019NAJIMA Giga, Mwenyekiti wa Bunge ewataka watendaji kutambua sanaa ya ufundi, inayofanywa na wasanii ili kuongeza ajira kwa vijana. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma...
By Danson KaijageMay 13, 2019MADIWANI wa Halmashauri ya wilaya ya Chamwino, Dodoma wamemuomba Mkurugenzi Mtendaji wa halmashauri hiyo, Athumani Masasi, kuwachukulia hatua za kinidhamu watumishi wanaoibia mapato...
By Danson KaijageMay 11, 2019SHIRIKA la Reli Tanzania (TRC), limetakiwa kutoa kipaumbele cha kusafirisha mbolea nyingi kwa wakati mmoja na kwa gharama nafuu ili kumfikia mkulima kwa...
By Danson KaijageMay 10, 2019BUNGE limeelezwa kuwa, polisi hatakiwi hatakiwi kumpiga au kumtesa mtuhumiwa wa makosa mbalimbali, wakati akiwa mikononi mwake au kwenye Kituo cha Polisi. Anaripoti Danson...
By Danson KaijageMay 10, 2019KAULI ya Ummy Mwalimu, Waziri wa Afya, Ustawi wa Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto kwamba, ni marufuku madaktari, wakunga na wauguzi nchini kufukuzwa...
By Danson KaijageMay 9, 2019BENKI ya Maendeleo ya Kilimo (TADB), imedaiwa kutoa mikopo kwa kupendelea zaidi wake wa vigogo. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea). Akiuliza swali bungeni...
By Danson KaijageMay 8, 2019MBUNGE wa Iringa Mjini, Peter Msigwa (Chadema) amemshitaki Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Ally Hapi kwa Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia,...
By Danson KaijageMay 8, 2019WILLIAM Lukuvi, Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi amewateua wenyeviti 20 wa Mabaraza ya Ardhi na Nyumba ya Wilaya kwa kipindi...
By Danson KaijageMay 7, 2019CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimedai kushtukia ujanga unaotaka kufanywa na Serikali ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), kuelekea Uchaguzi Mkuu ujao. Anaripoti...
By Danson KaijageMay 6, 2019STAILI ya kutishia kuvua nguo iwapo jambo fulani lisipotendwa ama kuthibiti, imeanza kupata umaarufu ndani ya Bunge la Jamhuri. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma…(endelea)....
By Danson KaijageMay 4, 2019SERIKALI imewataka wanaume wanaonyanyaswa kijinsia na wake zao, kutoa taarifa kwenye madawati ya kijinsia. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea). Kauli hiyo imetolewa...
By Danson KaijageMay 3, 2019HATUA ya serikali kuahidi miradi mikubwa na kisha kuitekeleza, imemkera Gimbi Masaba, Mbunge wa Viti Maalum (Chadema). Anaripoti Dandoson Kaijage, Dodoma … (endelea). Masaba ameitaka...
By Danson KaijageMay 3, 2019NAIBU Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Hamadi Masauni amesema, hakuna utaratibu wa askari polisi kutoa fedha zao mfukoni kwa ajili ya...
By Danson KaijageMay 2, 2019KASSIM Majaliwa, Waziri Mkuu ametaka kampuni zinazotoa huduma za mawasiliano nchini, kuisaidia serikali kubaini wanaotumia simu vibaya. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea)....
By Danson KaijageApril 30, 2019KAMBI Rasmi ya Upinzania Bungeni imelalamikia juhudi za serikali katika kuboresha elimu kwamba, bado ni finyu. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea). Kambi hiyo...
By Danson KaijageApril 29, 2019BODI ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB), inatarajiwa kutoa mikopo kwa wanafunzi 128,285 sawa na ongezeko la asilimia 4.5 ikilinganishwa...
By Danson KaijageApril 29, 2019HATUA ya wanaume wengi kudaiwa kutumia dawa za kuongeza nguvu za kiume, imegeuka mjadala bungeni huku wabunge wakiangua kicheko. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma …...
By Danson KaijageApril 29, 2019WAKURUGENZI ambao halimashauri zao zimekusanya mapato chini ya asilimia 50, wametakiwa kujitathimini. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea). Halmashauri tano za mwisho kwa makusanyo...
By Danson KaijageApril 26, 2019SPIKA wa Bunge, Job Ndugai, anamtuhumu Mbunge wa Kigoma Mjini (ACT-Wazalendo), Zitto Zuberi Kabwe, kujitafutia umaarufu wa kisiasa, kupitia Ripoti ya Mkaguzi na...
By Danson KaijageApril 25, 2019SERIKALI kupitia Jeshi la Polisi, Kikosi cha Usalama Barabarani limeandaa utaratibu wa kuwa na vituo maalum vya ukaguzi vya mabasi ya umma. Anaripoti Danson...
By Danson KaijageApril 23, 2019