Author Archives: Danson Kaijage

‘Ni siku ya tafakari, si maasi’

WATANZANIA kote nchini wametakiwa kutotumia usiku wa leo (usiku wa mwaka mpya) kwa anasa, anaandika Dany Tibason. Na kwamba, wanapaswa kutafakari wapi walikosea au walikopatia katika kutenda mambo mema ya ...

Read More »

Mdee atumika katika utapeli

JINA la Halima Mdee, Mbunge wa Kawe jijini Dar es Salaam linatumiwa na watu matapeli kwa maslahi yao. Anaandika Dany Tibason …. (endelea). Kutokana na hali hiyo, mbunge huyo ameliomba ...

Read More »

Kanisa: Serikali iache kuigiza

MAADILI kwa watumishi wa umma yameporomoka kutokana na viongozi hao kutomjua Mungu, anaandika Dany Tibason. Ni kauli ya Christopher Madole, Askofu wa Kanisa la Gospel Ministry Jimbo la Dodoma aliyoitoa leo ...

Read More »

Wananchi waua majambazi Dodoma

WATU watatu wanaosadikiwa kuwa ni majambazi wameuwawa na wananchi wenye hasira kali katika kijiji cha Dabalo Wilaya ya Chamwino, mkoani Dodoma wakidaiwa kuvamia kijiji hicho ili kupora fedha, anaandika Dany ...

Read More »

Boda boda waongoza kuwapa mimba ‘madenti’ Dodoma

WANAFUNZI  23  wa kike katika shule mbalimbali  za msingi na sekondari wilayani Mpwapwa, Dodoma wameshindwa kuendelea na masomo baada ya kupata ujauzito kati ya Janauri  hadi  Desemba mwaka huu, huku waendesha pikipiki ...

Read More »

Bajaji, daladala mikononi mwa RC Rugimbana

JORDAN Rugimbana, mkuu wa Mkoa wa Dodoma ameombwa kuingilia kati mgogoro kati ya madereva wa daladala na bajaji ambao wamekuwa na mvutano mkubwa katika kituo cha Mashujaa, Manispaa ya Dodoma, ...

Read More »

CDA bado ‘pasua kichwa’ Dodoma

MAMLAKA ya Ustawi wa Makao ya nchi – Dodoma (CDA), imeendelea kutupiwa lawama kwa madai ya kuwapora ardhi wananchi na kuiuza kwa wageni wanaohamia katika mji huo, anaandika Dany Tibason. ...

Read More »

LAPF ‘yapiga tafu’ Dodoma

MFUKO wa Pensheni wa Wafanyakazi wa Serikali za Mitaa (LAPF) umekabidhi hundi ya Sh. 6 milioni kwa Halmashauri ya Manispaa ya Dodoma ili kutatua tatizo la uhaba wa maji katika ...

Read More »

Waziri: Mambo magumu

MALALAMIKO ya wananchi kwamba, maisha yamekuwa magumu, sasa yamethibitishwa na serikali, anaandika Dany Tibason. Dk. Philipo Mipango, Waziri wa Fedha na Mipango akizungumza na wahitimu wa Chuo cha Mipango na Maendeleo ...

Read More »

Chadema kanda ya kati yatangaza mapambano

UONGOZI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kanda ya kati umetangaza kuingia katika mapambano ya kukiimarisha chama hicho katika mikoa ya kanda hiyo, anaandika Dany Tibason. Kanda ya kati ...

Read More »

Wanakijiji Dodoma wajifungulia vichakani

WAKAZI wa kijiji cha Zepisa kata ya Hombolo Bwawani katika Manispaa ya Dodoma, wameiomba Serikali iwasaidie waweze kupata Zahanati iliyo karibu na makazi yao ili kuepukana na fedheha ya wanawake kujifungulia ...

Read More »

UVCCM wajitosa ujenzi wa vyoo

UMOJA wa vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), Wilaya ya Kongwa wametangaza kujitolea kujenga matundu mawili ya choo cha walimu katika shule ya sekondari ya Iduo, anaandika Dany Tibason. Vijana hao ...

Read More »

Madiwani ‘wamshika uchawi’ DC Nyamagana

MARRY Tesha, Mkuu wa Wilaya ya Nyamagana mkoani Mwanza, ameingia katika mvutano na madiwani wa halmashauri ya jiji hilo baada ya kutothibitisha matumizi ya Sh. 100 milioni, alizoomba ili kuwaondoa ...

Read More »

Tanesco yaidai serikali Sh. 125 bilioni

SHIRIKA la Umeme hapa nchini (TANESCO) limesema mbele ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), kuwa linaidai Serikali zaidi ya Sh. 125 bilioni 125 ambazo ni ...

Read More »

PSPF hoi, yapata hasara Sh. 11.6 trilioni

MFUKO wa Pensheni wa PSPF umepata hasara ya Sh. 11.6 trioni huku msingi wa hasara hiyo ikiwa ni serikali kuchelewa kulipa madeni ya mafao ya wanachama waliokuwepo kabla ya kuanzishwa ...

Read More »

Dk. Tulia apigania wanawake, watoto

  WABUNGE wa Jumuiaya ya Ustawi wa Maendeleo ya nchi zilizopo Kusini mwa Afrika (SADC) wamekutana mjini Dodoma kujenga uhusiano wa karibu ikiwa ni pamoja na kujadili kuhusu maradhi ya UKIMWI, anaandika ...

Read More »

Wabunge waisusia ofisi ya Samia Suluhu

KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara na Mazingira imetangaza kutoshirikiana na Ofisi ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano, Mazingira kama ofisi hiyo haitakuwa tayari kufanya ziara ...

Read More »

Lukuvi achemsha kuwapora ardhi matajiri

WILLIAM Lukuvi, Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, amekiri kuwa kuwanyang’anya mashamba matajiri waliogoma kuyaendeleza si jambo jepesi na kwamba mpaka sasa limemshinda, anaandika Dany Tibason. Lukuvi amesema ...

Read More »

Wabunge waishambulia Sumatra

WAJUMBE wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Sheria na Katiba leo wamegomea mapendekezo ya marekebishi ya Sheria ya Sumatra sura 413 na Sheria ya Leseni za Usafirishaji sura 317, ...

Read More »

Samia Suluhu amtupia ‘madongo’ JK

SAMIA Suluhu Hassan, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ‘ameikandia’ Serikali ya awamu ya nne chini ya Rais Jakaya Kikwete na kusema imeacha mzigo mkubwa wa madeni, ...

Read More »

Vijana wa Chadema waigaragaza serikali kizimbani

VIJANA saba kutoka vyuo vikuu mbalimbali mkoani Dodoma ambao ni wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), wameibwaga serikali katika kesi Na. 127 ya mwaka 2016 iliyokuwa ikiwakabili, anaandika ...

Read More »

‘Hakuto tayari kudhalilika’

HATUKO tayari kudhalilika kwa kupokea fedha za wafadhili ambazo mashariti yake yanakiuka utu, mila na utamaduni wa kitanzania, anaandika Dany Tibason. Hivyo halmashauri zote nchini, zikusanya mapato pia zitumie fedha hizo ...

Read More »

Mkurugenzi amgomea Waziri Mkuu

AGIZO la Waziri Mkuu Majaliwa Kassim, kuwataka watendaji wa Serikali kutoa taarifa katika vyombo vya habari juu ya mipango ya maendeleo inayofanywa na serikali, limepuuzwa na Godwin Kunambi, Mkurugenzi wa ...

Read More »

Askofu Lazaro kuitikisa Dar

EMMANUEL Lazaro, Askofu Mkuu Mstaafu wa Kanisa la Tanzania Assemblies of God ameandaa kongamano la uimbaji na uponyaji katika jiji la Dar es Salaam ambalo litashirikisha waimbaji maarufu wa injili ...

Read More »

Bakwata yapinga wafanyakazi kunyanyaswa

SELEMANI Lolila, Katibu Mkuu wa Baraza la Waislamu Tanzania (BAKWATA), amesema kuwa dhuluma na manyanyaso kwa wafanyakazi wa Shule ya Sekondari ya Hijra na Shule ya Sekondari ya Jamhuri ikiwemo ...

Read More »

Waziri Mkuu amhenyesha DC Dodoma

CHRISTINA Mdeme, Mkuu wa Wilaya ya Dodoma (DC), bado anaumiza kichwa juu ya namna ya kuwahamisha wananchi wanaoishi katika maeneo ya vyanzo vya maji vya Mzakwe, eneo la makutupola Mkoa ...

Read More »

Serikali okoeni wakulima Dodoma

SERIKALI imetakiwa kuwawezesha wakulima mkoani Dodoma, ili waweze kulima kilimo cha kisasa badala ya kulima kilimo cha mazoea na kisichokuwa na tija, anaandika Dany Tibason. Kauli hiyo imetolewa na Sebastian ...

Read More »

Halmashauri Dom zatoa msaada Kagera

JUMLA ya Sh. 46.3 milioni zimekabidhiwa kwa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kutokana na michango ya halmashauri zote saba za Mkoa wa Dodoma pamoja na taasisi mbalimbali ili kusaidia wakazi  waliopata ...

Read More »

Mabomu, risasi za 2015 bado hazijatumika

MWIGULU Lameck Nchemba, Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi amesema kuwa kutokana na ugumu wa uchaguzi wa mwaka jana, serikali ililazimika kujiandaa kwa lolote, ikiwemo kununua vifaa vya kijeshi ...

Read More »

Bila gesi asilia Tanzania ya viwanda ni ndoto

MPANGO wa Serikali ya awamu ya tano kuanzisha na kukuza uchumi wa viwanda unaweza kuwa ni ‘ndoto ya mchana’ ikiwa serikali haitajipanga katika uzalishaji wa gesi asilia na mafuta ya ...

Read More »

Ma-RC kuwatafutia suluhu wakulima na wafugaji

JORDAN Rugimbana, Mkuu wa Mkoa wa Dodoma ametaka kufanyika kwa kikao cha pamoja kati yake na Dk. Joel Bendera, Mkuu wa Mkoa wa Manyara ili kujadili ufumbuzi wa migogoro baina ...

Read More »

Elimu ‘yawagonganisha’ Jafo na Ndalichako

Suala la wizara ipi ina wajibu wa kusimamia uendeshwaji wa elimu hapa nchini limeendelea kugonga vichwa vya wabunge kama ambavyo limekuwa likizua mjadala kwa wachambuzi wa masuala ya elimu kwa ...

Read More »

Bunge kujadili miswada 9

BUNGE la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania linaanza leo mjini Dodoma huku likitarajia kujadili miswada sita na kuipitisha, anaandika Dany Tibason. Owen Mwandumbya, Mkuu wa Kitengo cha Habari, Elimu na ...

Read More »

Chadema: UVCCM mbumbumbu

UDHAIFU katika kutambua masuala ya kiuongozi kunaufanya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) kwenda hovyo, anaandika Dany Tibason. Kauli hiyo imetolewa jana na Patrobas Katambi, Mwenyekiti wa Baraza ...

Read More »

Ushirikina watikisa watumishi serikalini

WANACHAPWA bakora, wakiwa wamelala ndani wanajikuta wapo nje bila kujua wametokaje. Hawa ni watumishi wa umma katika Mkoa wa Simiyu, anaandika Dany Tibason. Hatua hiyo imeonekana kumkera Jumanne Sagini, Katibu Tawala ...

Read More »

UVCCM watusi viongozi wa dini

LICHA ya viongozi wa dini kuepusha maafa kwa kushauri Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kusitisha maandamano na mikutano yake, wameonekana wapuuzi, anaandika Dany Tibason. Umoja wa Vijana wa Chama ...

Read More »

Waajiri ‘bomu’ kukiona cha moto

SERIKALI imetangaza kuwachukulia hatua kali waajiri mbalimbali wanaokiuka sheria za usalama wa mfanyakazi mahali pa kazi na hivyo kuhatarisha maisha ya wafanyakazi, anaandika Dany Tibason. Anthony Mavunde, Naibu Waziri Ofisi ...

Read More »

Kamanda ajiapiza kudhibiti Ukuta

KAULI za vitisho bado zinaendelea ambapo sasa viongozi wakuu wa jeshi hilo, wanaeleza dhamira ya kutumia nyembo mbalimbali kuhakikisha operesheni ya Umoja wa Kupinga Udikteta Tanzania (Ukuta) inazimwa, anaandika Dany ...

Read More »

TFS kunufaisha wafugaji nyuki

KATIKA kuhakikisha wafugaji wa nyuki Kanda ya Kati wanafanya ufugaji wenye tija, Wakala wa Huduma za Mistu Kanda ya Kati (TFS) wameanzisha utoaji mizinga ya kisasa kwa wafugaji hao, anaandika ...

Read More »

Msimamo Ukuta, DC apagawa

HOFU ya wateule wa Rais John Magufuli sasa inashika hatamu. Wanahaha kuyumbisha dhamira ya mikutano na maandamano ya Septemba Mosi, anaandika Dany Tibason. Mikutano na maandamano hayo yamesisitizwa kufanywa na ...

Read More »

Ubadhirifu Bil 4.5 wamtibua Maswi

ELIAKIM Maswi, Katibu Tawala wa Mkoa wa Manyara, ameeleza kuwepo kwa ubadhirifu wa Sh. 4.5 Bil, katika Halmashauri ya Mji wa Babati, anaandika Dany Tibason. Ni fedha zilizotolewa kwa wananchi kwa ...

Read More »

Dozi ya Ukimwi kutosubiri muda

KUANZI Oktoba mwaka huu, watu watakaogundulika kuwa na virusi vinavosababisha Ukimwi, watapewa dawa ya kupunguza makali hapo hapo badala ya kusubiri kinga zao za mwili kupungua, anaandika Dany Tibason. Kamati ...

Read More »

Msama aingilia kati kazi za wasanii

ALEX Msama, Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion, ameomba kibali cha Jeshi la Polisi kuzunguka nchi nzima kupambana na wezi wa kazi za wasanii, anaandika Dany Tibason. Pamoja na hivyo, ...

Read More »

Bodi ya Mikopo yalalamikia madeni

BODI ya Mikopo ya Serikali za Mitaa inadai halmashauri zote nchini jumla ya Sh. 6 bilioni, anaandika Dany Tibason. Kutokana na madai hayo, imelazimika kusitisha utoaji wa mikopo kwa kipindi ...

Read More »

‘Wizi wa mtandao ni tatizo’

BENKI ya Posta Tanzania imeeleza kuwepo kwa changamoto kubwa katika kukabiliana na wizi wa fedha kwa njia ya mtandao hapa nchini, anaandika Dany Tibason. Hayo yamebainishwa leo mjini Dodoma na Sabasaba ...

Read More »

Bunge lanusa Ufisadi Nachingwea

KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za serikali za Mitaa (LAAC) imenusa ufisadi katika Halmashauri ya wilaya ya Nachingwea, mkoani Lindi, anaandika Dany Tibason. Katika kikao cha kamati hiyo, ...

Read More »

Chadema: Maandalizi UKUTA yanoga

UONGOZI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wamesema, maandalizi ya mikutano ya UKUTA katika Mkoa wa Dodoma yamefikia hatua nzuri, anaandika Dany Tibason. Pia uongozi huo wamelaani Jeshi la ...

Read More »

DED amwaga chozi mbele ya LAAC

AGNESS Mkandya, Mkurugenzi wa Halmashauri ya Gairo (DED), Morogoro amemwaga machozi mbele ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC) baada ya kubanwa maswali na ...

Read More »

Madudu Dodoma

WAKATI serikali ikijiandaa kuhamia Mkoa wa Dodoma, Kamati ya Kudumu ya Hesabu za Serikali za Mitaa imebaini kuwepo kwa madudu katika Sekretarieti ya mkoa huo, anaandika Dany Tibason. Kamati hiyo ...

Read More »

Vituo maalum vya kuuza mkaa kuanzishwa

WAKALA wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS)  wanakusudia kuanzisha vituo maalumu kwa ajili ya uuzaji mkaa ili kupambana na uharibifu wa mazingira ikiwemo ukataji wa miti na kuchoma mkaa, anaandika ...

Read More »
error: Content is protected !!
Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On YoutubeVisit Us On Instagram