Author Archives: Danson Kaijage

Chadema yaivuruga UVCCM Bahi

BAADA ya Katibu Mstaafu wa Chadema wilaya ya Bahi Mkoani Dodoma, Melickzedeck Lesaka kutangaza kuuburuza mahakamani uongozi wa UVCCM wilaya ya Bahi kwa kumtangaza kuwa amejiunga na CCM sasa uongozi ...

Read More »

Bakwata wagoma kufanya kazi na Mkurugenzi wa Uchumi

MKUTANO mkuu wa Baraza la Waislamu Mkoa wa Dodoma (BAKWATA) umeazimia kutofanya kazi na Mkurugenzi wa Uchumi,Mipango na Uwezeshaji, Ustadh Othmani Shabani Hotty. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea).  Maazimio ...

Read More »

CMSA yazindua shindano kwa wanavyuo

MAMLAKA ya Masoko Mitaji na Dhamana (CMSA) imetangaza shindano la Masoko ya Mitaji kwa mwanafunzi wa vyuo vikuu na Taasisi za Elimu ya juu (CMUHLC) baada ya kuvunja rekodi kila ...

Read More »

CCM yamtamani Katibu Chadema

KATIBU Mstaafu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), wilayani Bahi jijini Dodoma, Melickzedeck Lesaka ametoa siku saba kwa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Wilaya ya Bahi ...

Read More »

Wakopaji watakiwa kutumia mikopo kwa maendeleo

WANACHAMA ambao wapo kwenye vikundi vya hiari vya kukopeshana SACCOS wameshauriwa kutumia fedha wanazokopa kwa ajili ya Maendeleo. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea). Licha ya kushauriwa hivyo wakopaji wote ...

Read More »

CPA kujenga Makao yake Makuu jijini Dodoma

JUMUIYA ya Madola Kanda ya Afrika  CPA unakusudia kujenga ofisi ya Makao Makuu ya Jumuiya hiyo pamoja na ujenzi wa hoteli ya nyota tano katika  eneo la Ndejengwa Jiji la ...

Read More »

Siyo Asasi zote zinafanya vibaya

MKURUGENZI wa asasi isiyokuwa ya kiraia ya Women Wake Up (WOWAP), Fatuma Tawfiq, amesema kuwa siyo kweli kuwa asasi za kiraia hazifanyi kazi yake kwa jinsi isivyotakiwa. Anaripoti Danson Kaijage, ...

Read More »

Benki wapewa dhamana ya kuondoa umaskini wa Watanzania

SERIKALI imesema kuwa bado watanzania wanakabiliwa na hali ya umasikini hivyo kuna kila sababu ya taasisi za kifedha kutoa elemu. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea). Hayo yameelezwa leo  tarehe ...

Read More »

Mfumuko wa bei wazidi kupaa

MFUMUKO wa bei wa taifa kwa mwaka ulioishia mwezi Juni ,2019 umeongezeka hadi kufikia  asilimia 3.7 kutoka asilimia 3.5 kwa mwaka ulioishia mwezi Mei 2019. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … ...

Read More »

Timu ya uongozi Dodoma yatembelea kituo cha afya

TIMU ya Uongozi ya Halmashauri ya Jiji la Dodoma (CMT), imeridhishwa na maendeleo ya ujenzi wa Kituo cha Afya cha Mkonze. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea). Kauli hiyo ilitolewa na ...

Read More »

Wazee 19, 543 Dodoma watambuliwa

HALMASHAURI ya Jiji la Dodoma imekamilisha utambuzi wa wazee 19, 543 katika kata zote 41 za jiji hilo. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea). Hatua hiyo ni utekelezaji wa Sera ...

Read More »

Watumishi wa Jiji la Dodoma watakiwa kushiriki usafi

WATUMISHI wa taasisi mbalimbali za serikali wametakiwa kushiriki kikamilifu katika zoezi la usafi ambalo ufanyika kila jumamosi kuanzia saa moja kamili hadi saa tatu. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea). ...

Read More »

Dk. Mwakyembe, wenzake watembelea kituo cha vipaji

WAZIRI wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Harrison Mwakyembe ameongoza mawaziri wanne, manaibu waziri na wakurugenzi wa idara zinazoshughulikia michezo kutoka Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) kutembelea Shule ...

Read More »

Takukuru yaingilia kati mradi wa maji Chemba

TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), Mkoa wa Dodoma imeingilia kati ujenzi wa Mradi wa Maji wa Kiniji cha Kelema Kuu, wilayani Chemba baada ya kubaini thamani ya ...

Read More »

Viongozi wa Serikali wawalazikisha wapinzani kurudisha kadi

WANACHAMA wa vyama vya upinzani katika kata mbalimbali wilayani Chemba, Dodoma wamelalamikia vitendo vya watendaji wa kata kuwalazimisha kurudisha kadi za vyama vyao na kuchukua kadi za CCM. Anaripoti Danson ...

Read More »

CUF wacharuka kufukuzwa Wenyeviti wake

UONGOZI wa Chama cha Wananchi CUF wameanza kutafuta mwarobaini wa kuwarejesha wenyeviti sita wa Wilaya ya Chemba, Dodoma pamoja na mikoa mingine walioondolewa kwa amri ya wakuu wa wilaya. Anaripoti ...

Read More »

Mbunge alalamika wabunge kukatwa posho

KHATIBU Said Haji, Mbunge wa Konde (CUF) amelalamikia kitendo cha wabunge kukatwa fedha zao za vikao vya bunge kiholele. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma…(endelea). Akiomba mwongozo bungeni tarehe 20 Juni 2019, baada ...

Read More »

Serikali yaanza kuikabili Dengue

SERIKALI imesema, imekusanya watalaamu kutoka sehemu mbalimbali kwa ajili ya kuangamiza mbu, ikiwa ni hatua za awali za kupambana na ugonjwa wa Dengue. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea). Kauli ...

Read More »

Kubenea uso kwa uso na AG

SAED Kubenea, Mbunge wa Ubungo ameibua sakata la serikali kushtakiwa nje ya nchi kwasababu mbalimbali, ikiwemo kuvunja mikataba ya wawekezaji. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea). Mbunge huyo ameitaka serikali ...

Read More »

Spika Ndugai, Wabunge 48 waifuata Stars Misri

JOB Ndugai, Spika wa Bunge na wabunge 48, leo usiku wanatarajia kwenda nchini Misri kuishangilia Timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ katika michuano ya Mataifa ya Afrika (AFCON). Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma ...

Read More »

Prof. Kabudi, Dk. Mpango washikwa pabaya

WITO kwa mawaziri wawili wa Rais John Magufuli; Prof. Palamagamba Kabudi, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki naDk. Philip Mpango, Waziri wa Fedha na Mipango kutakiwa ...

Read More »

Wabunge Chadema, CCM walichoka gazeti la Tanzanite

MBUNGE wa Ndanda, Cecil Mwambe (Chadema) na Mbunge wa Nzega Vijijini, Hussein Bashe wamehoji jeuri ya gazeti la Tanzanite kuwatukana watu inaipata wapi? Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea). Wabunge ...

Read More »

Paredi ya ng’ombe kufanyika kesho

NAIBU Waziri wa Mifugo na Uvuvi,Abdalah Ulega anatarajiw kuwa mgeni Rasm kesho saa mbili na nusu kwenye maonesho ya gwaride la ng’ombe bora nchini. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea). ...

Read More »

Malalamiko ya kupikwa takwimu: Upinzani waitaja IMF

KAMBI Rasmi ya Upinzani Bungeni imeeleza kwamba, kuna kila sababu ya kukwepa kupika takwimu ili kuepuka kujenga uchumi hewa. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea). Kauli hiyo imetolewa leo tarehe 17 ...

Read More »

Spika Ndugai ‘afyeka’ hotuba ya upinzani

JOB Ndugai, Spika wa Bunge la Jamhuri, amefyeka baadhi ya vipengele vilivyokuwa ndani ya Hotuba ya Waziri Kivuli wa Wizara ya Fedha na Mipango kwa Mwaka wa Fedha 2019/20. Anaripoti ...

Read More »

NBC yapata tuzo ya utendaji bora

IMEELEZWA kuwa Benki ya NBC ni benki ya tatu kwa ukubwa nchini Tanzania, hivyo wametunukiwa tuzo ya Utendaji Bora wa sekta ya benki nchini. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea). ...

Read More »

Upinzani wajibu vijembe vya Serikali

MBUNGE wa Malindi, kisiwani Unguja, Ally Salehe, ameituhumu Serikali ya Jamhuri ya Muungano, kupunja mapato ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), yanayopitia Mfuko Mkuu wa Hazina. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma ...

Read More »

Mbunge Chadema aitaka Serikali kutoa taarifa ya masoko

MBUNGE Tunduma, Frank Mwakajoka (Chadema) ameitaka serikali kutoa taarifa ya masoko kwa wafanyabiashara ya mahindi. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea). Mwakajoka alitoa kauli hiyo Bungeni alipokuwa akiuliza swali la ...

Read More »

Mkurugenzi Dodoma amaliza mgogoro wa ardhi wa miaka 20

MKURUGENZI wa Jiji la Dodoma, Godwin Kunambi amemaliza mgogoro wa ardhi uliodumu kwa zaidi ya miaka 20 kwa wakazi eneo la C Centre lililopo kata ya Nkuhungu Jiji la Dodoma. ...

Read More »

Serikali yaja na mikakati 7 kuwezesha wananchi kiuchumi

SERIKALI imetoa maagizo saba kwa viongozi, Asasi za Kiraia na kijamii, wadau wa maendeleo na mashirika ya kimataifa, yenye lengo la kuchagiza masuala ya uwezeshaji wananchi kiuchumi. Anaripoti Danson Kaijage, ...

Read More »

Bajeti 2019/20: Ushabiki wa kisiasa wateka Bunge

TOFAUTI na bajeti za serikali katika miaka ya fedha iliyopita, katika Mwaka wa Fedha wa 2019/20, ushabiki wa kisiasa umedhihiri. Anaripoti Dandon Kaijage, Dodoma … (endelea). Ushabiki huo ulikomaa baada ya ...

Read More »

Bajeti 2019/20: Enzi za kutegemea wajomba hazipo

SERIKALI imesema kuwa, enzi za kutegemea wajomba zimekwisha na sasa, Watanzania washikamane na kufanya kazi kwa bidii. Anaripoti Dandon Kaijage, Dodoma … (endelea). Akisoma Makadirio ya Mapato na Matumizi kwa Mwaka ...

Read More »

Bajeti 2019/20: Mawigi kutozwa kodi

BAJETI kwa Mwaka wa Fedha 2019/20 iliyosomwa leo tarehe 13 Juni 2019, imependekeza ushuru kwa mawigi. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea). Akisoma Makadirio ya Mapato na Matumizi kwa Mwaka ...

Read More »

Bajeti 2019/20: Ada leseni za udereva, usajili magari wapanda

SERIKALI ya Tanzania imependekeza kupanda kwa ada ya leseni ya udereva kutoka Sh. 40,000 za sasa, mpaka Sh. 70,000 kwa Mwaka wa Fedha 2019/20 unaoanzia Julai Mosi mwaka huu. Anaripoti Danson ...

Read More »

Bunge kutokuwa ‘live’: Spika Ndugai ataja ‘mchawi’

JOB Ndugai, Spika wa Bunge amesema, miongoni mwa sababu za Bunge hilo kutorushwa ‘live’, wabunge wenyewe kutojiheshimu. Anaripoti Dandon Kaijage, Dodoma … (endelea). Akizungumza bungeni jijini Dodoma leo tarehe 13 ...

Read More »

‘Bao la mkono’ lahojiwa bungeni

WAKATI taifa likijiandaa kuingia kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Oktoba mwaka huu na baadaye Uchaguzi Mkuu 2020, serikali na Chama Cha Mapinduzi (CCM), hoja kuhusu ‘bao la mkono’ yaibuliwa. ...

Read More »

Serikali: Kuna viwanda vipya 3,000

SERIKALI imeeleza kuwa, mpaka sasa kuna jumla ya viwanda vipya 3,000 tangu kuanza kwa kampeni ya ujenzi wa viwanda katika Serikali ya Awamu ya Tano. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea). ...

Read More »

Lukuvi awapa ziku 9 wadaiwa kodi ya ardhi

WAMILIKI 207 wa ardhi wanaodaiwa zaidi ya Sh. 200 Bilioni, wamepewa siku tisa kuanzia leo ili kukamilisha malipo hayo. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea). William Lukuvi, Waziri wa Ardhi Nyumba ...

Read More »

Mfumuko wa bei wapaa

Mkurugenzi wa Sensa ya Watu na Takwimu za Jamii wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu Bw. Ephraimu Kwesigabo

MFUMKO wa bei umeongezeka kutoka asilimia 3.2 mwezi Aprili, hadi asilimia 3.5 mwezi Mei mwaka huu. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea). Akizungumza na waandishi wa habari jijini hapa Irenius Ruyobwa, ...

Read More »

Spika Ndugai atetea abiria wa Z’bar

JOB Ndugai, Spika wa Bunge ameishauri Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano kuangalia uwezekano wa kuongeza kilo zinazopimwa kwa abiria wanaosafiri na boti kwenda Zanzibar, kutoka kilo 20 za sasa. ...

Read More »

AZAKI zatakiwa kusimamia fedha za miradi vizuri

SERIKALI imezitaka Asasi za Kiraia (AZAKI) kusimamia vyema matumizi ya fedha za miradi, ili ziwanufaishe walengwa. Anaripoti Danson Kaijage…(endelea). Wito huo umetolewa na Mwita Waitara, Naibu Waziri Ofisi ya Rais ...

Read More »

Kiongozi CUF atimkia ACT -Wazalendo

CHAMA cha Wananchi (CUF), kimeendelea kubomoka baada ya Mbaraka Chilumba, aliyekuwa Katibu Mtendaji wa Jumuiya ya Vijana wa chama hicho (JUVICUF)-Taifa kutimkia ACT-Wazalendo. Anaripoti Danson Kaijage … (endelea). Chilumba ametangaza ...

Read More »

Sheikh wa Dodoma ahimiza amani nchini

SHEIKH wa Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Mustapha Rajabu amewataka Watanzania kuishi maisha ya kulinda na kutunza  amani. Anaripoti Danson Kaijage … (endelea). Ameyasema  hayo wakati akitoa ujumbe wa Sikukuu ...

Read More »

TCRA wawaburuza wamiliki wa YouTube kinyemela

WATU wanne wakazi wa sehemu tofauti jijini Dar es Salaam, wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kujibu shitaka la kuchapisha maudhui ya YouTube bila ya kuwa na kibali kutoka ...

Read More »

‘Sera ya elimu bure haijaeleweka’ 

IMEELEZWA kuwa, wazazi wengi hawana uelewa wa kutosha kuhusu sera ya elimu bure jambo ambalo linasababisha wanafunzi kushindwa kuendelea vyema na masomo. Anaripoti Danson Kaijage, Handeni … (endelea).  Hayo yamebainishwa baadhi ...

Read More »

Mtandao wa Elimu waweka wazi malengo yake

CLEMENT Maganga, Mwakilishi wa Mratibu wa Mtandao wa Elimu Tanzania (Ten/Met), amesema kuwa mtandao wa elimu nchini imejiwekea malengo makuu matatu ya kuimarisha elimu. Anaripoti Danson Kaijage, Handeni … (endelea). ...

Read More »

Serikali inatoa majibu mepesi – Mbunge CUF

MBUNGE wa Jimbo la Bumbwini, Muhammed Amour Mohammed (CUF), amesema kuwa serikali imekuwa ikitoa majibu mepesi kwa maswali yanayoulizwa na serikali. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea). Mohammed ametoa kauli hiyo ...

Read More »

Mbunge CCM: Serikali inatoa kipaumbele kwa wazinifu 

MBUNGE wa Ulanga, Goodluck Mlinga ameeleza kushangazwa na hatua ya serikali kugawa mipira ya kiume ya kujamii (kondom) kwa wazinifu bure, huku ikishindwa kugawa bure taulo za kike (pedi). Anaripoti Danson Kaijage, ...

Read More »

ASAS wagawa maziwa kwa Wabunge kuhamasisha unywaji

WATANZANIA wamehamasishwa kutumia maziwa kwa wingi ili kuweza kutunza afya zao kutokana na kuwa maziwa hayo yanapaikana. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea). Wito huo umetolewa na Mshauri wa Kampuni ...

Read More »

Mrithi wa Nassar akabidhiwa jimbo

MRITHI wa Joshua Nassari katika Jimbo la Arumeru Mashariki, Dk. John Pallangyo, ameapishwa leo tarehe 22 Mei 2019 kuwa mbunge wa jimbo hilo kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM). Anaripoti Danson ...

Read More »
error: Content is protected !!
Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On YoutubeVisit Us On Instagram