Author Archives: Christina Haule

Walimu Sekondari Selina Kombani wamtuhumu Ofisa Elimu

WALIMU kuhamishwa mara kwa mara kutoka Shule ya Sekondari Selina Kombani iliyopo katika Wilaya ya Ulanga kunalenga kuinua kiwango cha taaluma kilichoshuka shuleni hapo, anaandika Christina Raphael. Kauli hiyo imetolewa ...

Read More »

Migogoro ya ardhi Morogoro kukoma

HATUA ya kukomesha migogoro ya ardhi mkoani Morogoro imeanza kuchukuliwa baada ya wataalam watano kutoka Tume ya Taifa inayosimamia migogoro ya ardhi nchini kuwasili, anaandika Christina Raphael. Timu hiyo iliyo ...

Read More »

Walaji fedha za TASAF matatani

TAASISI ya kuzuia na kupambana na Rushwa TAKUKURU mkoa wa Morogoro imewaasa viongozi wa Serikali wanaodaiwa kufuja fedha zinazotolewa na mfuko wa kusaidia kaya maskini (TASAF) huku walengwa wakiachwa bila ...

Read More »

CCM Morogoro yaja juu

DOROTH Mwamsiku, Katibu wa Siasa na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wa Mkoa wa Morogoro ameoneshwa kutoridhishwa na namna migogoro ya wafugaji na wakulima inavyoshughulikiwa, anaandika Christina Raphael. Mwamsiku ...

Read More »

Wakulima wajeruhi mifugo 200 Morogoro

UHASAMA kati ya wakulima na wafugaji unaendelea kukomaa mkoani Morogoro ambapo zaidi ya mifugo 200 imejeruhiwa kwenye Kijiji cha Kambara wilayani Mvomero. Anaandika Christina Raphael. Kundi lililofanya uharibifu huo linatambulika ...

Read More »

Waethiopia 12 mbaroni kuwa kupita nchini bila kibali

Na Christina Raphael RAIA 12 wa Ethiopia wanashikiliwa na Polisi mkoani Morogoro kwa kosa la kupita nchini bila kibali au hati ya kusafiria yenye visa ya kuwaruhusu kupita Tanzania. Watu ...

Read More »
error: Content is protected !!
Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On YoutubeVisit Us On Instagram