Author Archives: Christina Haule

Ajali adui namba 3 wa sekta ya Afya

MKUU wa mkoa wa Morogoro Dk. Steven Kebwe amesema, matukio ya ajali za barabarani yameshika nafasi ya tatu kwa kuwa adui mkubwa wa afya hapa nchini, anaandika Christina Haule. Dk. ...

Read More »

Vyama vya wafanyakazi wakumbushwa kanuni

SERIKALI imewataka watendaji wa vyama vya wafanyakazi kuzisoma, kuzitambua na kuzitumia vyema kanuni na sheria za kazi ili kutatua migogoro ya wafanyakazi na waajiri bila upendeleo na kuleta tija kwa ...

Read More »

Nguruwe wapigwa marufuku Morogoro

WAFUGAJI wa nguruwe kwenye kata ya Kingolwila, Morogoro wametakiwa kutoiachia mifugo yao kudhurula hovyo mitaani huku ikitapanya kinyesi hali inayopelekea uchafuzi wa mazingira, anaandika Christina Haule. Hayo yalibainishwa jana na ...

Read More »

Mfuko wa PTF kunufaisha vijana Morogoro

MFUKO wa Rais wa Kujitegemea (PTF) umewataka vijana wakiwemo waliohitimu vyuo vya ufundi stadi na taasisi zingine, kuitumia vyema fursa ya mikopo inayotolewa na mfuko huo ili kukuza mitaji na ...

Read More »

Watafiti wa mbegu watakiwa kufuata kanuni

WATAFITI wa mbegu ndani na nje ya nchi wametakiwa kufuata sheria na kanuni zilizowekwa na Taasisi ya Kuthibiti Ubora wa Mbegu Tanzania (TOSCI) katika kutafiti mbegu mpya na kusajiliwa kwa ...

Read More »

Mvomelo waomba marekebisho ya skimu

SERIKALI imeombwa kurekebisha na kupanua miundombinu ya skimu ya umwagiliaji maji iliyo chakavu kwenye kijiji cha Mlali, Mvomero ili iweze kusaidia wananchi wanaoikosa fursa ya kilimo cha umwagiliaji ambayo walikuwa ...

Read More »

Bunge yaitaka TASAF kuongeza kwenye ajira

MWENYEKITI wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala Bora na Serikali za Mitaa, Mwanne Nchemba ameushauri Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF) kuongeza nguvu kwenye utoaji wa ajira kwa ...

Read More »

Kaya 28 zakosa makazi kutokana na mvua

ZAIDI ya Familia 28 zilizopo katika kijiji cha Milengwelengwe Kata ya Mngazi Tarafa ya Bwakira chini wilayani Morogoro hazina mahali pa kuishi baada ya mvua kubwa iliyoambatana na upepo mkali ...

Read More »

Wakulima watakiwa kuwa makini na mbegu

WAKULIMA nchini wamesisitizwa kununua mbegu kwenye maduka yaliyosajiliwa huku wakihakikisha ubora wa mbegu wanazonunua kwa kuwa na lebo ya TOSCI ili kuweza kupanda mbegu bora na kuvuna mazao yanayoendana na ...

Read More »

Jaffo amtega Mganga Mkuu Morogoro

SULEIMAN Jaffo, Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, amempa mwezi mmoja Mganga Mkuu wa Manispaa ya Morogoro kufanya marekebisho ya kasoro zote zilizopo kwenye ...

Read More »

Pombe za viroba, bangi zazua balaa Morogoro

OPERESHENI ya kukamata pombe ambazo hufungwa katika vifuko maalum maarufu kama viroba, imeendelea kushika kasi mkoani Morogoro ambapo sasa jeshi la polisi limewakamata jumla ya wafanyabiashara 14 waliokutwa na pombe ...

Read More »

‘Wanawake saidieni vita dhidi ya dawa za kulevya’

REGINA Chonjo, Mkuu wa wilaya ya Morogoro amewataka wanawake nchini kutoa ushirikiano katika kufichua wanaohusika na biashara ya dawa ya kulevya ili kurahisisha vita dhidi ya biashara hiyo inayoshamiri kwa ...

Read More »

Watelekeza mashamba kuwakwepa tembo

WANAKIJIJI wa kijiji cha Mtipule kilichopo kata ya Msongozi wilayani Mvomero mkoani hapa wameyatelekeza mashamba yao kwa takribani miaka minne mfululizo wakihofia kuvamia na kuuawa na tembo waharibifu, anaandika Christina ...

Read More »

Waliopora ardhi Morogoro kuburuzwa kortini

HALMASHAURI ya Wilaya ya Kilosa inatarajia kuwafikisha mahakamani watu 21 wanaodaiwa kujichukulia sheria mikononi na kujimilikisha hekari 66 za kijiji na kujenga nyumba za makazi kwenye eneo lililotengwa kwa ajili ...

Read More »

Manispaa yabanwa matumizi ya fedha za vijana

MADIWANI wa Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro wameitaka kuwekwa wazi kwa asilimia 5 ya mapato ya halmashauri hiyo ambayo yanapaswa kutolewa kama mikopo kwa vijana na wanawake, anaandika Christina Haule.  Hatua ...

Read More »

CUF, Chadema wagawa kura

ATHARI ya mtifuano ndani ya Chama cha Wananchi (CUF) zinaendelea ambapo sasa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kinawinda kura za CUF, anaandika Christina Haule. Chadema mkoani Morogoro kimeomba wanachama ...

Read More »

Chadema, CCM vyaonywa

VYAMA vya siasa vinavyoshiriki uchaguzi mdogo wa udiwani katika Kata ya Kiwanja cha Ndege, Manispaa ya Morogoro vimeonywa, anaandika Christina Haule. Vyama hivyo vimetakiwa kujiepusha na vitendo vya vurugu wakati ...

Read More »

Chadema, CCM wazichapa; visu, mawe vyatumika

CHUKI na visasi kati ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na Chama Cha Mapinduzi (CCM) zimeendelea kumea baada ya wafuasi wa vyama hivyo kuchapana makonde mkoani Morogoro, anaandika Christina ...

Read More »

Polisi Moro wanasa bunduki tatu mitaani

JESHI la Polisi mkoa wa Morogoro linawashikilia watu 12 baada ya kuwakamata wakiwa na silaha tatu za aina mbalimbali ikiwemo bunduki y kivita aina ya AK 47, anaandika Christina Haule. Ulrich ...

Read More »

Kesi ya Askofu Mameo ‘yapigwa kalenda’

KESI ya kupinga kuendelea kwa uongozi wa askofu Jackob Mameo Ole Paulo wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Mashariki imeahirishwa hadi tarehe 19 Januari mwakani, anaandika ...

Read More »

‘Wachimbaji kamilisheni ahadi zenu’

THERESIA Theodori, Kaimu Ofisa wa Madini Mkazi katika Mkoa wa Morogoro amewataka wachimbaji wadogo wa madini nchini wenye vibali na leseni kuwa na uhusiano mzuri na jamii inayowazunguka ili kuepusha ...

Read More »

Sumatra: Marufuku kupandisha nauli kiholela

MAMLAKA ya Udhibiti wa Usafirishaji wa Nchi kavu na Majini (SUMATRA) imewataka wamiliki wa mabasi ya abiria yaendayo mikoani na madereva wao kuacha tabia ya kupandisha nauli katika kipindi hiki ...

Read More »

TRA Morogoro yavunja rekodi ya mapato

MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) Mkoa wa Morogoro imefanikiwa kuvuka lengo la makusanyo ya kodi katika kipindi cha robo mwaka kwa kukusanya zaidi ya Sh. 24 bilioni sawa na asilimia ...

Read More »

SSRA yasisitiza miongozo yake kufuatwa

MAMLAKA ya Usimamizi na Udhibiti wa Mifuko ya Hifadhi ya Jamii (SSRA) imewataka watendaji wa mifuko hiyo kufuata kanuni na taratibu za uandikishaji kwa mujibu wa mwongozo wa mamlaka hiyo, ...

Read More »

Madiwani wataka walimu wabanwe

SERIKALI imeombwa kuweka kipengele kitakachowabana walimu ili wakubali kuishi vijijini na kwenye mazingira magumu, anaandika Christina Haule. Na kwamba, uwekwe taratibu kwa wanaotaka kusomea fani ya ualimu kukubali mazingira yoyote ...

Read More »

Jaffo aipa mikoa siku nne kutekeleza agizo lake

MIKOA yote Tanzania Bara imepewa siku nne kuhakikisha inatoa idadi ya vituo vya afya vitakavyoingizwa kwenye mfumo wa ukusanyaji wa mapato ya Serikali za Mitaa kwa njia ya kielektroniki, anaandika ...

Read More »

Mwizi wa kwenye mabasi jela mwaka mmoja

MWANAUME mmoja Kajuna Rweyemamu (32) mkazi wa Mbagala Majimatitu, Dar es Salaam amehukumiwa kwenda jela mwaka mmoja baada ya kupatikana na hatia ya kumuibia abiria mwenzake Sh. 3 milioni, anaandika ...

Read More »

Kilosa walia na migogoro ya ardhi

WIZARA ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya makazi imeombwa kutatua changamoto ya migogoro ya mipaka iliyopo wilayani Kilosa mkoani Morogoro ili kuepusha hali ya maafa yanayoweza kutokea baina ya wakulima ...

Read More »

Ataka serikali isiwatelekeze wazee

SAMSON Msemembo, mkurugenzi wa Shirika la kusaidia Wazee mkoani Morogoro (MOREPEO), ameitaka serikali kutimiza wajibu wake katika kulihudumia kundi la wazee ili kutatua changamoto zinazowakumba, anaandika Christina Haule. Msemembo amesema ...

Read More »

Wazazi CCM walilia posho

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, kimetakiwa kuona umuhimu wa kuithamini Jumuiya ya Wazazi ya chama hicho sambamba na kuwalipa posho makatibu wake kwani wamekuwa wakitekeleza majukumu yao bila kupewa fedha ...

Read More »

Bil 7 zateketea 21st Century

KIWANDA cha 21st Century kilichopo eneo la Kihonda mjini Morogoro kimepata hasara ya zaidi ya Sh. 7 Bil katika Idara ya Useketaji (Weaving) pekee, anaandika Christina Haule. Akizungumza mbele ya ...

Read More »

Hekaheka za EFDs zaanza

MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imewataka wafanyabiashara wasio na mashine za kodi (EFDs) na wale walio nazo lakini hawazitumii, wazinunue na kuanza kuzitumia, anaandika Christina Haule. Imeeleza kuwa, walionazo lakini ...

Read More »

Askari ‘feki’ wa JWTZ anaswa

KIJANA mmoja aliyetambulika kwa jina la Deodatus Simba (26) Mkazi wa Dar es Salaam anashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Morogoro kwa kuvaa sare na kujifanya Askari wa Jeshi la ...

Read More »

Kesi ‘picha za ngono’ yakwama

WASHTAKIWA wanne wa kesi ya kusambaza picha za ngono za msichana wa miaka 21 wilayani Mvomero, Morogoro imekwama tena baada ya kukosa dhamana, anaandika Christina Haule. Hatua hiyo inatokana na ...

Read More »

Viboko washambulia mazao Morogoro

WAKULIMA wa Kijiji cha Ihohanja, Malinyi mkoani Morogoro wanaweza kufikwa na njaa kutokana na wanyama aina ya viboko kushambulia mahindi yao shambani, anaandika Christina Haule. Mpepo Bonavencha Kiwanga, Diwani wa ...

Read More »

Ashikiliwa kwa tuhuma za mauaji Morogoro

HUSSEIN Hassan (38) Mkazi wa Mkwatani, Kilosa mkoani Morogoro anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za mauaji, anaandika Christina Haule. Ulrich Matei, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro amesema ...

Read More »

Waathirika mafuriko wapaza sauti serikalini

WAATHIRIKA wa mafuriko yaliyotokea katika vijiji vya Tindiga A, B, Maluwi, Mambegwa na Changarawe wilayani Kilosa, Morogoro wameiomba serikali kuwapatia mbegu zaidi ya tani 20 za muda mfupi ili ziweze ...

Read More »

‘Vyeti viwe na sifa nje ya mipaka’

SERIKALI imevitaka Vyuo Vikuu vyote nchini kuhakikisha vyeti wanavyotoa katika fani zote vinakuwa na sifa ya kutambulika kitaifa na kimataifa, anaandika Christina Haule. Lengo ni kuwafanya wahitimu kukubalika kwa viwango ...

Read More »

Washtakiwa wa ‘ngono’ wasota Moro

WAENDESHA mashtaka wa serikali Morogoro wamepewa miezi miwili kuwasilisha cheti kutoka kwa Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) ili kuachia ama kuendelea kushikilia dhamana ya washtakiwa wanne wa kesi ya usambazaji wa ...

Read More »

Mil 36 kusaidia waathirika Morogoro

SERIKALI mkoani Morogoro imetenga Sh. 36 milioni ilizobana wakati wa sherehe za Mwenge kwa ajili ya kuanzisha mfuko wa maafa na dharura wa mkoa ili kusaidia waathirika wa mafuriko mwaka ...

Read More »

Moro kujenga Hospitali ya Rufaa ya kisasa

DOKTA Stephen Kebwe, Mkuu wa Mkoa wa Morogoro amemuagiza Dk. John Ndunguru, Katibu Tawala wa mkoa huo kusimamia uanzishwaji wa mfumo wa kuboresha mapato ya Hospitali ya Rufaa mkoani humo, ...

Read More »

Wiraza ya Ardhi kutibu migogoro ya ardhi

WIZARA ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi imeanza mchakato wa kupitia sera ya ardhi ya mwaka 1995 ili kuangalia upungufu uliopo ikiwemo tatizo la migogoro ya ardhi na hatimaye ...

Read More »

Ole Sendeka aanza porojo za Nape, Kinana

CHRISTOPHER Ole Sendeka, Msemaji wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ameanza porojo za Nape Nnauye, Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM na Abdulrahman Kinana, Katibu Mkuu wa chama hicho, anaandika Christina ...

Read More »

SUA yasonga mbele utafiti wa kilimo

CHUO Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) kupitia shule yake ya Uchumi Kilimo na Stadi za Biashara kwa kushirikiana na Chuo Kikuu cha Ergaton cha Kenya, wamezindua mradi wa utafiti ...

Read More »

TAMWA yafanikiwa kupunguza unyanyasaji Mvomero

MRADI wa kusaidia na kukomesha ukatili wa kijinsia (GEWE) uliopo chini ya Chama cha Waandishi wa Habari wanawake (TAMWA) umefanikiwa kupunguza matukio ya ukatili wa kijinsia kutoka 50 mwaka 2014 ...

Read More »

Mvua yasababisha maafa Morogoro

WATOTO wawili wamefariki dunia huku wakazi wa kaya zaidi ya 70 wakikosa mahali pa kuishi baada ya mvua kunyesha na kusababisha mafuriko katika Tarafa ya Ifakara wilayani Kilombero, Morogoro, anaandika ...

Read More »

Mzumbe, Ghent kukuza ujasiriamali

SERIKALI mkoani Morogoro imeahidi kuendelea kuunga mkono juhudi zinazofanywa na Chuo Kikuu Mzumbe katika kuboresha shughuli za ujasiriamali ili kupunguza umaskini, anaandika Christina Haule. Hayo yamesemwa leo kwenye chuo hicho ...

Read More »

‘Bajeti 2016/17 isisahau walemavu’

WAKATI Bajeti ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2016/2017 ikianza kutawala kwenye masikio ya Watanzania, serikali imeombwa kuwakumbuka watu wenye ulemavu wa akili, anaandika Christina Haule. Wito huo umetolewa leo ...

Read More »

Takukuru yaokoa Mil 14.4

TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) mkoani Morogoro imeeleza kuokoa Sh. 14.4 milioni baada ya kufanya ukaguzi kwenye miradi 16 yenye thamani ya Sh. 3 bilioni, anaandika Christina ...

Read More »

Samia kuzindua mbio za Mwenge

SAMIA Suhulu Hassan, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye uzinduzi wa mbio za Mwenge unazotarajiwa kuzinduliwa tarehe 18 Aprili mwaka huu katika ...

Read More »
Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On Youtube