Author Archives: Charles William

Njaa yaweka rehani ubunge wa Zitto

ZITTO Kabwe, Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo na Mbunge pekee wa chama hicho ametangaza kujiuzulu ubunge wake iwapo serikali ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), itathibitisha kuwa akiba ya chakula ...

Read More »

Magufuli awapa ulaji Prof. Kabudi, Bulembo

RAIS John Magufuli ametangaza kumteua Profesa Palamagamba Kabudi, na Abdallah Bulembo, Mwenyekiti wa Jumuiya ya wazazi ya Chama Cha Mapinduzi kuwa wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano, anaandika Charles ...

Read More »

Lowassa atiwa mbaroni Geita

EDWARD Lowassa, Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo na aliyewahi kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amekamatwa na Jeshi la Polisi mkoani Geita ...

Read More »

Njaa yatisha, Watanzania waingia Kenya

HALI ya njaa inayoelezwa kuwepo hapa nchini kwa sasa inadaiwa kusababisha baadhi ya Watanzania kuvuka mpaka na kuingia nchini Kenya kusaka chakula, anaandika Charles William. Taarifa kutoka Wilaya ya Longido ...

Read More »

Z’bar ‘mikononi’ mwa Lowassa, Maalim Seif

UMOJA wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) ukiongozwa na Maalim Seif Sharif Hamad, Katibu Mkuu wa CUF na Edward Lowassa, Mjumbe wa Kamati Kuu Chadema wanatarajiwa kuunguruma leo visiwani Zanzibar, anaandika ...

Read More »

JPM amtumbua ‘bosi’ wa Tanesco

MHANDISI Felchesmi Mramba aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme la Taifa (TANESCO) amekuwa mtumishi wa kwanza wa serikali kutimuliwa kazi na Rais John Magufuli kwa mwaka 2017, anaandika Charles ...

Read More »

Jaji Lubuva kwisha zama zake

JAJI Semistocles Kaijage ameteuliwa kumrithi Damian Lubuva aliyekuwa akiongoza Tume ya Taifa ya Uchaguzi – National Electoral Commission (NEC) – tangu mwaka 2011, anaandika Charles William. Jaji Kaijage alikuwa mmoja ...

Read More »

Polepole: Bado naamini serikali tatu

SIKU tatu tangu Humphrey Polepole ateuliwe kuwa katibu mpya wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC), Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapindizi (CCM), amesema hajabadilisha msimamo wa kuamini katika Muungano ...

Read More »

Afande Sele naye akimbia ACT Wazalendo

SELEMANI Msindi maarufu kwa jina la “Afande Sele” ambaye ni msanii mkongwe wa muziki wa Hip hop hapa nchini na aliyekuwa mgombea ubunge katika uchaguzi mkuu wa mwaka jana kwa ...

Read More »

UDSM waungana kuchangia waliokosa mikopo

WANAFUNZI wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), wameamua kuchangishana ili kuwasaidia wenzao waliokosa mikopo kuendelea na masomo, anaandika Charles William. Hivi karibuni kumekuwa na mfululizo wa matangazo ya ...

Read More »

Magufuli aendelea kuifumua CCM ya JK

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kinapitia mabadiliko makubwa ya kimfumo na watu chini ya Dk. John Magufuli, mwenyekiti mpya wa chama hicho, anaandika Charles William. Dk. Magufuli ambaye alichaguliwa kushika nafasi hiyo ...

Read More »

Chadema kufunguka kuhusu Ben Saanane?

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ambacho kimekuwa kikilaumiwa kwa kukaa kimya tangu kutoweka katika mazingira ya kutatanisha kwa Bernard Saanane ambaye ni mtumishi makao makuu chama hicho kimeitisha mkutano ...

Read More »

Kutoweka Ben Saanane bado kitendawili

SIKU 25 sasa zimepita tangu kijana Bernard Saanane ambaye ni Katibu wa Umoja wa Kizazi cha Kuhoji Tanzania (UTG), atoweke katika mazingira ya kutatanisha huku ndugu, jamaa na marafiki zake ...

Read More »

Magufuli amtambua Lipumba, Jecha awa kivutio

RAIS John Magufuli, amemtaja Prof. Ibrahim Lipumba kama miongoni mwa viongozi wa vyama vya siasa waliohudhuria sherehe za Uhuru zilizofanyika siku ya leo jijini Dar es Salaam, anaandika Charles William. ...

Read More »

Waliotakiwa kumrithi Mukandala hawa hapa

PROFESA David Mfinanga, Prof. Allen Mushi na Prof. Bernadeta Kilian watalazimika kusubiri kwa mwaka mmoja zaidi ili kujua iwapo watavivaa viatu vya Prof. Rwekaza Mukandala katika nafasi ya Makamu Mkuu ...

Read More »

Giza latanda kutoweka kwa Ben Saanane

BERNARD Saanane, Mkuu wa Idara ya Sera na Utafiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), hajulikani alipo kwa zaidi ya wiki mbili sasa, anaandika Charles William. Ben ambaye amekuwa akiongoza ...

Read More »

Prof. Mukandala: Nilishahamisha vitu vyangu ofisini

PROFESA Rwekaza Sympho Mukandala, Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), amesema alishakamilisha utaratibu wa kukabidhi ofisi yake kwa mtu mwingine kufuatia muda wake wa uongozi kumalizika ...

Read More »

Polisi waokoa jahazi uchaguzi CCM – UDSM

JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam lililazimika kuingilia kati zoezi la uchaguzi wa Shirikisho la wanafunzi wa vyuo vikuu ambao ni wanachama wa CCM tawi la Chuo ...

Read More »

Sauti hii imfikie Rais Magufuli

MAHMUDU Abdul Nondo, Naibu Waziri wa Mikopo katika Serikali ya Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (DARUSO) amesema ni wakati muafaka kwa Rais John Magufuli ambaye amejipambanua kama ...

Read More »

Lema aliteka Bunge

GODBLESS Lema, Mbunge wa Arusha Mjini amesema kwamba, alishauriwa na George Simbachawene, Waziri wa Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) kuwa, amfungie ofisini Athumani Kihamia, ...

Read More »

Prof. Lipumba, Msajili, AG ‘siku hazigandi’

SHAURI lililofunguliwa na Bodi ya Wadhamini ya Chama cha Wananchi (CUF) dhidi ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG), Prof. Ibrahim Lipumba na watu 10 ...

Read More »

Ajali ya basi Dar, mmoja ateketea kwa moto

Habari zilizotufikia hivi punde, zinasema ajali mbaya ya kati ya basi la abiria liitwalo Safari Njema lenye namba ya usajili T 990 AQF na lori lenye namba ya usajili 534 BYJ na kusababisha kuwaka kwa ...

Read More »

HESLB yajipanga ‘kuwaliza’ wanafunzi vyuo vikuu

BODI ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya juu (HESLB), imetangaza mpango wa kupitia upya na kusitisha mikopo wanafunzi wote inaodai kuwa walipewa mikopo lakini hawakidhi vigezo vipya vya utolewaji ...

Read More »

UVCCM ‘kumchongea’ Ndalichako kwa Magufuli

DAKIKA chache baada ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) taifa, kutoa tangazo la kuwataka wanafunzi waliokosa mikopo wakati wana vigezo, kuandikisha majina yao kupitia barua pepe ya ...

Read More »

Magufuli amng’oa mteule wa JK

Rais John Magufuli ameendeleza ‘panga pangua’ ya watumishi wa umma katika nafasi mbalimbali ambapo mchana wa leo ametangaza kummg’oa Diwani Athumani, Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI), anaandika ...

Read More »

JK: Sitaki ugomvi na Magufuli

JAKAYA Mrisho Kikwete, Rais mstaafu wa awamu ya nne amesema kuwa asingependa kuhusishwa na ukosoji wa utendaji wa serikali ya awamu ya tano iliyo chini ya Rais John Pombe Magufuli, ...

Read More »

Sumaye: Sirudi CCM hata waninyang’anye kila kitu

KITENDO cha serikali kumpa notisi ya siku 90 ya kumfutia umiliki wa shamba la ekari 33 Frederick Sumaye, Waziri Mkuu mstaafu kimemfanya mwanasiasa huyo kujitokeza na kusema hatikiswi na suala hilo, ...

Read More »

Kamati Kuu Chadema ‘kujifungia’ siku mbili

KAMATI Kuu (CC) ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), inaanza kikao chake leo, ambacho pamoja na mambo mengine kitajadili hali ya kiuchumi na kisiasa ya nchi, anaandika Charles William. Tumaini ...

Read More »

UDSM, UDOM kushushiwa ‘rungu’

CHUO Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) na Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) ni vyuo ambavyo serikali kupitia Bodi ya Mikopo ya Elimu ya juu hapa nchini (HESLB) inatarajia kuvinyima ...

Read More »

Kubenea awakosha wananchi

ZIARA ya kiserikali iliyofanywa na Saed Kubenea, Mbunge wa Jimbo la Ubungo katika eneo la Manzese na kisha kuhitimishwa kwa mkutano wa hadhara, imewafurahisha wakazi wa eneo hilo na kusema ...

Read More »

Kubenea: Muswada wa Nape kitanzi cha uhuru wa habari

SAED Kubenea, Mbunge wa Jimbo la Ubungo na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Hali Halisi Publishers, wachapishaji wa magazeti ya MwanaHALISI, MSETO na MAWIO amesema Muswada wa Upatikanaji wa Habari ...

Read More »

Kimbembe UDSM

KITENDO cha wanafunzi wa vyuo vikuu kunyimwa mikopo huku wachache waliopewa wakipunguziwa fedha za kujikimu kimeichukiza Serikali ya Wanafunzi ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (DARUSO) na kuamua kuwazuia ...

Read More »

Magufuli amwaga siri za Masaburi

RAIS John Magufuli akiwa miongoni mwa watu walioshiriki kuuaga mwili wa Dk. Didas Masaburi, aliyekuwa Meya wa Jiji la Dar es Salaam (2010-2015), amezua jambo, anaandika Charles William. Akishiriki kuaga ...

Read More »

Unyanyasaji wanafunzi sasa basi

FRANCIS Mgasa, Katibu Mkuu wa Chama cha Kutetea Abiria hapa nchini (CHAKUA), ametoa siku saba kwa mamlaka zinazohusika na usafiri kuhakikisha unyanyasaji wa wanafunzi katika vyombo vya usafiri kote nchini ...

Read More »

Dk. Mashinji azindua Ofisi ya Chadema Kinondoni

Vincent Mashinji, Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), ameendelea na ziara zake za uimarishaji wa chama hicho kwa kufungua ofisi pamoja na matawi mbalimbali, anaandika Charles William. ...

Read More »

Mwalimu Nyerere, Mwinyi vinara wa kusaini unyongaji

TAKWIMU zilizotolewa na Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), kuhusiana na utekelezwaji wa adhabu ya kifo hapa nchini, zinaonyesha kuwa ni rais wa awamu ya kwanza na ya ...

Read More »

NMB yalaumiwa kutoa siri ya Lipumba

SIRI kwamba Profesa Ibrahim Lipumba amefungua akaunti mpya yenye jina la chama cha Wananchi CUF imefichuka. Wanaolaumiwa kutokana na kufichuka kwa siri hiyo ni watumishi wa benki ya NMB tawi ...

Read More »

Chadema yajipanga kujenga ofisi

DK. Vincent Mashinji, Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), amesema chama chake kimejipanga kutekeleza mpango wa ujenzi wa ofisi za chama kuanzia ngazi ya taifa mpaka katika ...

Read More »

Bobali: Lipumba usikanyage mikoa ya Kusini

JUMUIYA ya Vijana ya Chama cha  CUF (JUVICUF), Profesa Ibrahim Lipumba kutothubutu kufanya ziara katika mikoa ya Kusini kwani atajikuta akidhalilishwa na kuendelea kukosa heshima zaidi katika jamii, anaandika Charles William. Prof. ...

Read More »

Wafanyabiashara wa Kongo kurejea bandari ya Dar

SUMAIL Edward, rais wa chama cha wafanyabiashara wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ametangaza kuwa wataanza kutumia tena bandari ya Dar es Salaam, kwaajili ya kusafirisha mizigo yao baada ya ...

Read More »

Rais wa Colombia atwaa tuzo ya Nobel

JUAN Manuel Santos, rais wa Colombia ameshinda Tuzo ya Amani ya Nobel kwa mwaka 2016 baada ya kufanikiwa kuingia makubaliano ya amani na waasi wa Farc nchini humo na kusitisha ...

Read More »

Waliompiga mwanafunzi kikatili matatani

JESHI la Polisi Jijini Mbeya, linawasaka walimu watatu wa mafunzo kwa vitendo, walioonekana katika video iliyosambaa katika mitandao ya kijamii, wakimpiga kikatili mwanafunzi wa kiume wa Shule ya Sekondari Mbeya ...

Read More »

Chaumma mguu sawa kujiunga Ukawa

HASHIM Rungwe, Mwenyekiti wa Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma), amesema chama hicho kipo mbioni kujiunga na vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) wakati wowote kuanzia sasa, anaandika Charles ...

Read More »

Lipumba atwishwa zigo la ushirikina

FREEMAN Mbowe, mwenyekiti mwenza wa umoja leo amemtuhumu Prof. Ibrahim Lipumba, mwenyekiti wa chama cha Wananchi (CUF), aliyerudishwa madarakani na Msajili wa Vyama Vya Siasa kwamba, amekuwa akifanya kafara kwenye ...

Read More »

Ukawa wapanga kummaliza Lipumba

UMOJA wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), umeeleza mikakati yake ili kuhakikisha Prof. Ibrahim Lipumba anafikia kifo chake cha kisiasa, anaandika Charles William. Hatua zitakachochukuliwa ni pamoja na kutumia wanasheria wa ...

Read More »

Mzimu wa Escrow wamtesa Tibaijuka

WASIWASI ndiyo akili. Ndivyo unavyoweza kusema kufuatia Profesa Anna Kajumulo Tibaijuka, Mbunge wa Jimbo la Muleba Kusini, kukataa kupokea kiasi cha dola za kimarekani 100,000 (zaidi ya Sh. 200 milioni ...

Read More »

Chadema kuahirisha tena Ukuta?

KESHO Ijumaa ya tarehe 30 Septemba, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), huenda kikatangaza kuahirisha tena uzinduzi wa operesheni iliyobatizwa jina la Umoja wa Kupinga Udikteta Tanzania (Ukuta), anaandika Charles ...

Read More »

Magufuli: wakosoaji acheni viherehere

RAIS John Magufuli amewataka wanaozikosoa ndege mbili mpya aina ya Bombardier Dash-8 Q400 zilizonunuliwa na serikali ya Tanzania hivi karibuni kuacha viherere, anaandika Charles William. Rais Magufuli ameyasema hayo leo ...

Read More »

Profesa Lipumba ‘out’ CUF

Baraza Kuu la Uongozi la Taifa la Chama cha Wananchi (CUF), limechukua uamuzi wa kumfukuza uanachama wa chama hicho Prof. Ibrahim Lipumba, leo Jumanne tarehe 27 Septemba, 2016 katika kikao ...

Read More »

JPM afura, Wizara ya Afya wapagawa

TAARIFA zilizoripotiwa leo, katika vyombo vya habari mbalimbali kuhusu upungufu wa dawa hapa nchini, zimeitibua Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Watoto na Wazee, anaandika Charles William. Taarifa kutoka ...

Read More »
Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On Youtube