Author Archives: Catherine Kayombo

Eneo la Catalonia latangaza kujitawala

20139111544563734_18

SERIKALI ya eneo la Catalonia nchini Hispania imetangaza kupata ushindi wa kujitawala baada ya wakazi wake kushiriki kwa wingi katika kura ya maoni iliyofanyika jana Jumapili Oktoba 1, anaandika Catherine ...

Read More »

Waliotekeleza ghasia Cameroon wamtibua rais

Rais wa Cameroon, Paul Biya

RAIS wa Cameroon, Paul Biya amelaani ghasia zilizotekelezwa na wananchi na kusababisha mauaji ya watu nane wakati wa maandamano ya raia wa nchi hiyo, anaandika Catherine Kayombo. Maandamano hayo yaliyofanywa ...

Read More »

Nyuklia yazidi kumtesa Rais Trump 

RAIS wa Marekani Donald Trump amesaini sheria mpya ya kuongeza vikwazo dhidi ya Korea Kaskazini juu ya mpango wake wa zana za Nyuklia kwa madi kwamba ni hatarishi kwa usalama ...

Read More »

Jeshi la Kenya lakamata Warundi wanaotamani ugaidi  

bachelor of law-supreme-kenya

JESHI la polisi nchini Kenya limewakamata watu wanne  raia wa Burundi  waliokuwa wakielekea Somalia kujiunga na kundi la kighaidi la Al-Shabab, anaandika Catherine Kayombo. Kwa mujibu wa taarifa ya msemaji wa jeshi, ...

Read More »

Rais Kagame aibuka kidedea Rwanda

Paul Kagame, Rais Mteule wa Rwanda

ASILIMIA 1.3 ya wananchi wa Rwanda wamemkataa, Rais Paul Kagame kuwaongoza kupitia sanduku la kura katika uchaguzi mkuu uliofanyika jana, huku asilimia 98.66 ya wapigakura milioni 6.9 wakimpa kura za ...

Read More »

Baraza la usalama latoa taarifa kuhusu Burundi

Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa (UN)

BARAZA la usalama la Umoja wa Mataifa (UN), limetoa taarifa juu ya hali ya kisiasa nchini Burundi , ikiwa ni moja kati ya hatua zake za kulinda na kudumisha amani ...

Read More »

Al-Shabab yatia doa uchaguzi Kenya

Askari wa Al-Shabab

ZIKIWA zimebaki siku tano kabla ya kufanyika uchaguzi mkuu nchini Kenya, hali ya usalama imeendelea kuwapa wasiwasi wananchi kufuatia mashambulizi pembezoni mwa pwani ya nchi hiyo, anaandika Catherine Kayombo. Mashambulizi ...

Read More »

Tume ya Uchaguzi Kenya yalegeza masharti

Wafula Chebukata, Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi na Mipaka ya Kenya (IEBC)

TUME ya Uchaguzi na Mipaka ya Kenya (IEBC), imeazimia kuongeza muda wa kupiga kura siku ya uchaguzi katika maeneo yenye sheria ya muda wa kutembea, anaandika Catherine Kayombo. Akizungumza katika ...

Read More »

Wadau wasisitiza kutunza amani Kenya

Vurugu za mauaji ya Kenya yaliyowahi kutoka mwaka 2007

WITO wa amani umeendelea kutolewa kwa wananchi nchini Kenya kuelekea uchaguzi mkuu, ili kuepusha machafuko yaliyozuka katika uchaguzi wa mwaka 2007, anaandika Catherine Kayombo. Miongoni mwa waliotoa wito huo ni ...

Read More »

Serikali yajibu mapigo ya Mbowe

Mkurugenzi wa Idara ya Habari MAELEZO,Hassan Abbasi

HATIMAYE  hoja zilizotolewa na Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) zimemuibua msemaji wa serikali wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Hassan Abbas, anaandika Catherine Kayombo. Abbas ameibuka leo mchana na ...

Read More »

Rais Kabila kushinikizwa kuachia ngazi mwaka huu

Joseph Kabila, Rais wa DR Congo

CHAMA cha Upinzani cha Union For Democracy and Social Progress (UDPS) cha DRC kimebainisha mpango wake wa kumshinikiza rais Joseph Kabila kuondoka madarakani, anaandika, Catherine Kayombo. Mpango huo utahusisha migomo ...

Read More »

Bunge la Congress kufanya maamuzi kwa Trump

BUNGE la Congress limetaka Urusi iadhibiwe kwa kosa la kuingilia uchaguzi wa rais uliofanyika mwaka jana nchini Marekani, anaandika Catherine Kayombo. Bunge hilo linatarajia kupiga kura kesho ili kupitisha mswaada ...

Read More »

Msemaji wa White House ya Trump aachia ngazi

Sean Spicer, Msemaji wa Rais wa Marekani

MSEMAJI wa rais wa Marekani, Donald Trump amejiuzulu kufuatia uteuzi wa rais wa mkurugenzi mpya wa mawasiliano nchini humo, anaandika Catherine Kayombo. Sean Spicer, amejiuzulu kwa kutofurahishwa na mabadiliko hayo ...

Read More »

Marekani yaitishia Nyau Sudan Kusini

MAREKANI imetishia kusitisha misaada kwa viongozi wa Sudan Kusini endapo hawatashiriki katika mazungumzo ya ngazi ya juu na kushindwa kuheshimu muda wa mwisho wa kusitisha mapigano, anaandika Catherine Kayombo. Msimamo ...

Read More »

Vijana wa Burundi ”wazamia” nchini Marekani

Pierre Nkurunziza, Rais wa Burundi

VIJANA sita wakiwamo wavulana wanne na wasichana wawili kutoka  Burundi waliokuwa wakishiriki katika mashindano ya roboti yaliyokuwa yakifanyika  jijini Washington DC, wametoweka nchini Marekani na haijulikani walipo hadi sasa,  anaandika ...

Read More »

ALAT kuhamia mkoani Dodoma mwezi ujao

Mwenyekiti wa ALAT taifa, Gulamhafeez Mukadamu (Katikati) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani)

JUMUIYA ya Tawala ya Mitaa (ALAT) Tanzania inatarajia kuhamia mkoani  Dodoma ifikapo tarehe 1 mwaka huu, ikiwa ni  sehemu ya kutekeleza agizo la Rais John Magufuli la kuzitaka serikali kuhakia mkoani humo, ...

Read More »

Bunge Poland lapewa ”meno” kufukuza majaji

Bunge la Poland

BUNGE la taifa nchini Poland limepitisha muswaada unaolipa nguvu ya kuteua au kutengua viongozi wa mahakama kuu wakiwemo majaji wa juu, anaandika  Catherine Kayombo. Muswaada huo uliopitishwa na wabunge kutoka ...

Read More »

Chama cha wapangaji waibua madai mapya

Ndumey Mukama, Katibu mkuu  wa chama cha wapangaji

CHAMA cha Wapangaji   Tanzania (Tanzania Tenants Association), kimeiomba serikali kuweka chombo maalum kwa ajili ya kulinda maslahi ya wapangaji, anaandikaCatherine Kayombo. Akizungumza na wanahabari, katibu mkuu  wa chama hicho, Ndumey Mukama amesema ...

Read More »

UN yashutumu jeshi la DRC kwa mauaji

Wapiganaji nchini DRC

WACHUNGUZI wa Umoja wa Mataifa wanaochunguza  mauaji ya wataalam wao nchini DRC wamebaini kwamba wanajeshi wa serikali ya hiyo wanahusika na mauaji hayo, anaandika Catherine Kayombo. Awali, ripoti ya wachunguzi  ...

Read More »

Hekaheka za uchaguzi nchini Kenya 

Maandalizi ya Uchaguzi Kenya

VIFAA mbalimbali kwa ajili ya kufanikisha uchaguzi mkuu nchini Kenya vimeanza kuwasili nchini humo kutokea Dubai, anaandika Catherine Kayombo. Miongoni mwa vifaa hivyo ni pamoja na kadi za kupigia kura ...

Read More »

Sirro abadilisha makamanda wa polisi

Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Susan Kaganda, aliyekuwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kinondoni

MKUU wa Jeshi la Polisi nchini (IGP), Simon Sirro, amefanya mabadiliko ya makamanda wa polisi katika maeneo kadhaa, anaandika Catherine Kayombo. Miongoni mwa waliobadilishwa vituo vya kazi ni Kamishna Msaidizi ...

Read More »

Viongozi wa mashitaka Uganda wasitisha mgomo

Yoweri Museven, Rais wa Uganda

VIONGOZI wa mashitaka nchini Uganda waliogoma wakidai  ongezeko la mishahara wamekubali ombi la serikali la kurejea kazini huku wakati madai yao yakishughulikiwa, anaandika Catherine Kayombo. Serikali iliwaomba viongozi hao miezi ...

Read More »

Maseneta wamgomea Trump kuhusu Obama Care

JUHUDI za rais wa Marekani, Donald Trump, kuubadilisha muswada wa afya wa Obamacare zinaelekea kugonga mwamba kufuatia baadhi ya viongozi katika chama cha Republican kutokukubaliana na mabadiliko hayo, anaandika Catherine ...

Read More »

Sumaye – sasa tunaelekea vijijini

Frederick Sumaye, Waziri Mkuu Mstaafu wa Tanzania

MWENYEKITI wa Chama Cha Demokrasia Na Maendeleo (Chadema) Kanda ya Pwani, Fredrick Sumaye, amesema chama chake kitazunguka nchi nzima kuelimisha wananchi juu ya haki zao, anaandika Catherine Kayombo. Amesema elimu ...

Read More »

Ufaransa yakubali kumaliza tofauti na Marekani

Emmanuel Macron, Rais wa Ufaransa

EMMANUEL Macron, Rais wa Ufaransa ameafiki uamuzi wa Donald Trump, Rais wa Marekani kijitoa katika mkataba wa mabadiliko ya tabia nchi wa Ufaransa, anaandika Catherine Kayombo. Macron amesema hayo katika ...

Read More »

Rais Brazil atupwa jela

RAIS wa zamani wa Brazil, Lula da Silva alipotembelea Tanzania wakati wa madaraka yake

RAIS wa zamani wa Brazil, Lula da Silva, amehukimiwa kifungo cha miaka tisa na nusu gerezani, baada ya kupatikana na hatia ya kupokea rushwa, anaandika Catherine Kayombo. Silva anakuwa rais ...

Read More »

Punguzo la posho lawa moto Kenya

Uhuru Kenyatta, Rais mteule wa Kenya

MAOFISA wa ngazi ya juu pamoja na wanasiasa wa upinzani nchini Kenya hawajatoa sauti kuhusiana na tamko la Tume ya Mishahara ya serikali kupunguza posho na marupurupu. Lakini mawaziri na ...

Read More »

China yajitosa kulinda amani Afrika

Meli ya kivita ya Kijeshi ya China

JESHI la China inajipanga kuweka kambi ya kijeshi nchini Djibouti huku lengo mojawapo likiwa ni kulinda amani kwa nchi za Afrika na Magharibi mwa Asia, anaandika Catherine Kayombo. Kwa mujibu ...

Read More »

Madiwani CUF ‘wamzodoa’ Lipumba

IMG-20170705-WA0013

JUMLA ya madiwani 19 kati ya 21 wa Chama cha Wananchi (CUF), katika jiji la Dar es Salaam, wameunga mkono msimamo wa Katibu Mkuu Maalim Seif Sharif Hamad, kuhusiana na usajili  ...

Read More »

Bocco aitwa Sauzi kumrithi Mbaraka

John Bocco

KOCHA Mkuu wa timu ya Taifa Tanzania, Salum Mayanga amemuongeza kwenye kikosi straika wa Simba, John Bocco kuchukua nafasi ya Mbaraka Yussuf aliyekuwa majeruhi, anaandika Catherine Kayombo. Bocco ameshafika Afrika ...

Read More »

Korea Kaskazini yazidi kuichokonoa Japan

Moja ya kombora la Korea Kaskazini baada ya kurushwa

KOREA Kaskazini imeendelea kuichokonoa Japan kwa kurusha kombora lingine la masafa marefu ambalo linasadikika limedondokea katika bahari ya Japan, anaandika Catherine Kayombo. Kombora hilo lililorushwa kutoka Bangyon Kaskazini mwa mkoa ...

Read More »
Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On Youtube