BARAZA la Ushauri la Watumiaji wa Huduma za Nchi Kavu na Majini (SUMATRA), limetoa wito kwa abiria waendao mikoani kipindi hiki cha sikukuu...
By Bupe MwakitelekoDecember 19, 2017HOSPITALI ya Taifa Muhimbili inatarajia kuwapeleka nchini India watalaam mbalimbali katika sekta ya afya kwa ajili ya mafunzo ya ugonjwa wa Ini, anaandika Angel...
By Bupe MwakitelekoNovember 28, 2017WAZIRI wa Ardhi ,Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi amemtaka Mkurugenzi wa Tehama katika wizara hiyo, ifikapo 2018, mradi wa mfumo unganishi...
By Bupe MwakitelekoNovember 27, 2017DK. Vincent Mashinji, Katibu Mkuu wa Chadema, amesema chama hakina mgogoro na aliyekuwa Mwenyekiti wa Bavicha, Patrobas Katambi ambaye ametangaza kujiunga na CCM...
By Bupe MwakitelekoNovember 21, 2017WIZARA ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, imewaomba wataalamu wa masomo ya kompyuta kuzingatia mafunzo wanayofundishwa ya mafunzo ya makosa ya mtandao, itasaidia kuondoa...
By Bupe MwakitelekoNovember 15, 2017TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), imesema kuwa suala la aliyekuwa Mbunge wa Singida Kaskazini, Lazaro Nyalandu imelisikia na imeanza kulifanyia...
By Bupe MwakitelekoNovember 14, 2017WIZARA ya Elimu, Sayansi na Tekinolojia, imeipiga marufuku Taasisi ya Haki za Binadamu kufanya utafiti wa unyanyasaji watumishi wa ndani wa kitanzania wanaofanya...
By Bupe MwakitelekoNovember 14, 2017TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imewaomba wagombea watumie kanuni walizofundishwa katika kampeni za udiwani zinazoendelea katika kata mbalimbali nchini, anaandika Angel Willium....
By Bupe MwakitelekoNovember 13, 2017KAIMU Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Benedict Kitalika amesema jeshi la polisi linaendelea kummshikilia Dk. Louis Shika kwa kuwa...
By Bupe MwakitelekoNovember 13, 2017MSANII Naseeb Abdul ‘Diamond Platnumz’ amemgalagaza mzazi mwenzake, Mwanamitindo Hamisa Mabeto katika kesi ya madai aliyoifungua katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kudai...
By Bupe MwakitelekoNovember 10, 2017WANANACHI wametakiwa kuhudhuria semina zinahusua uwekezaji wa hisa ili wapate elimu itakayowasaidia kupata ufahamu kwa undani kuhusu biashara hiyo endelevu, anaandika Angel Willium....
By Bupe MwakitelekoNovember 10, 2017WIZARA ya Elimu, Sayansi na Tekinolojia imeahidi kutumia tafiti zinazofanywa na wanafunzi wazawa ili kugundua matatizo ya wananchi na njia za kuweza kuyatatua,...
By Bupe MwakitelekoNovember 8, 2017TAASISI ya Maendeleo ya Binadamu ya Chuo Kikuu cha Aga Khani, imewaomba wadau mbalimbali kufunya uwekezaji wa muda mrefu kwa watoto wa chini...
By Bupe MwakitelekoNovember 7, 2017WAZAZI na walezi kuwatunza na kiwalea watoto wa chini ya miaka mitano ikiwamo kuwapatia lishe bora, elimu na kuwalinda dhidi ya unyanyasaji, anaandika...
By Bupe MwakitelekoNovember 6, 2017VYAMA vya wakandarasi vya Contractors Association of Tanzania, Tanzania Civic Engineering Contractors na Association of Citizen Contractors, wameiomba serikali iendelee kutoa fursa za...
By Bupe MwakitelekoOctober 31, 2017TAASISI ya Utamaduni wa Ngoma za Asili ( Tulia Traditonal Dances) imewaomba wadau mbalimbali waliosaidia kufanikisha tamasha lao kufanya hivyo tena kwa mwaka...
By Bupe MwakitelekoOctober 30, 2017TUME y a Haki za Binadamu na Utawala Bora Nchini, imelionya Jeshi la Polisi na kulitaka kuagiza askari wa jeshi hilo kurudisha mali...
By Bupe MwakitelekoOctober 27, 2017KAMPUNI ya Reli (TRL), imetangaza kubomoa nyumba zote zilizojengwa kando kando mwa reli inayotoka Dar es salaam, Moshi hadi jijini Arusha, anaandika Angela...
By Bupe MwakitelekoOctober 25, 2017JESHI la Polisi Kanda ya Maalumu ya Dar es Salaam limeanza kufanya msako kuwasaka watu waliofanya mauaji ya askari polisi aliyeokotwa juzi akiwa...
By Bupe MwakitelekoOctober 24, 2017UMMY Mwalimu, Waziri wa Afya na Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, amepokea mashine 100 za tiba mgando (cryotherapy), mashine tisa za...
By Bupe MwakitelekoOctober 23, 2017OFISA Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Waziri Kindamba amewaomba Watanzania kutumia kampuni hiyo kwa mawasiliano kwa kuwa hivi sasa huduma...
By Bupe MwakitelekoOctober 20, 2017KAMATI ya Miss Tanzania kwa mara ya kwanza imeshindwa kufanya mashindano ya kumtafuta mrembo wake kwa mwaka 2017, badala yake imeteua msichana bila...
By Bupe MwakitelekoOctober 18, 2017WATU wenye ulemavu nchini wameiomba serikali na taasisi mbalimbali binafsi kuwasaidia eneo la kujenga ofisi ya kudumu. Anaandika Angela Willium Wamesema wanahitaji ofisi kwa...
By Bupe MwakitelekoOctober 17, 2017HALI ngumu ya kiuchumi imesababisha ukubwa wa mtaji wa kampuni kubwa zilizoorodheshwa katika Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE), kushuka kutoka...
By Bupe MwakitelekoOctober 16, 2017DUKA kubwa (Supermarket) la Nakumatt lililopo jijini Dar es salaam, limelifungia, baada ya kukosa bidhaa za kutosha kwa muda mrefu pamoja na kudaiwa...
By Bupe MwakitelekoOctober 16, 2017WAZAZI wa shule ya sekondari Azania wanaombwa kuchangia fedha kwa ajili ya kununua viti vya kukalia wanafunzi wanapokuwa darasani, anaandika Angel Willium. Akizungumza...
By Bupe MwakitelekoOctober 13, 2017ALIYEKUWA Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Utumishi na Utawala Bora, Angela Kairuki leo ameaga ofisi yake ya zamani huku akikumbuka alivyohangaika na watumishi...
By Bupe MwakitelekoOctober 11, 2017KWA takribani miezi 23 tangu Rais John Magufuli aingie Ikulu, Mapato ya serikali kwa mwezi yameshuka kutoka trilioni 1.4 Desemba 2015 hadi kufikia...
By Bupe MwakitelekoOctober 10, 2017