Author Archives: Bupe Mwakiteleko

Sumaye ajitosa kumkabili Mbowe

LICHA ya “vitimbi” vya wafuasi wa mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, aliyekuwa mwenyekiti wa chama hicho Kanda ya Pwani, Fredrick Sumaye, bado ameendelea kujitosa katika ...

Read More »

Sababu ongezeko vifo ajali ya Lori Morogoro yaelezwa

HATUA ya majeruhi wengi wa ajali ya Lori la mafuta lililowaka moto Morogoro, walifikishwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimibi (MNH) kuendelea kupoteza maisha, ni kutokana na kuungua kwa asilimia ...

Read More »

Hali tete MNH: waliofariki ajali ya moto Moro wafika 97

IDADI ya majeruhi wa ajali ya Lori la mafuta ya petrol lililopinduka na kuwaka moto mkoani Morogoro, na kisha kupatiwa matibabu katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH), inendelea kupungua ...

Read More »

Shughuli pevu: Ni Lissu Vs Ndugai kortini

KESI inayotarajiwa kuwa mashuhuri na ya aina yake kati ya Tundu Lissu, aliyevuliwa ubunge wa Jimbo la Singida Mashariki dhidi ya Job Ndugai, Spika wa Bunge, sasa kuunguruma. Anaripoti Bupe Mwakiteleko ...

Read More »

Mapato ATCL yaongezeka

MAPATO ya Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL), yameongezeka kutoka Sh. 11.7 Bilioni mwaka 2015/16 hadi Sh. 45.5mwaka 2018/19. Anaripoti Bupe Mwakiteleko … (endelea). Hayo yamesemwa Dk. Phillip Mpango leo tarehe ...

Read More »

Waziri Ummy: Tunafuatilia kwa karibu Ebola Uganda

UMMY Mwalimu, Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto amesema serikali imepokea kwa tahadhari kubwa taarifa ya uwepo mlipuko wa ugonjwa wa Ebola nchini Uganda. Anaripoti Bupe ...

Read More »

Kamisha mpya TRA apewa majukumu mazito

DAKTARI Edwin Mhede, Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), ameapishwa leo huku akipewa majukumu mawili mazito. Anaripoti Bupe Mwakiteleko … (endelea). Kwanza ametakiwa kuongeza kasi ya ukusanyaji mapato; pili ...

Read More »

Rais Magufuli atapata lini ‘First Eleven’ ya serikali yake?

RAIS John Pombe Magufuli, amemng’oa kwenye wadhifa wake, Kamishena Mkuu wa Mamlaka ya Mapato nchini (TRA), Charles Kichere na kumteuwa Edwin Mhende, kushika nafasi yake. Anaripoti Bupe Mwakiteleko … (endelea). Kichere ...

Read More »

BoT yatuhumiwa mbele ya Rais Magufuli

AMANI Kibondei, Mfanyabiashara wa Ubadilishaji Fedha za Kigeni katika Jiji la Dar es Salaam, ameishtaki Benki Kuu ya Taifa (BoT) kwa Rais John Magufuli, akidai kwamba, baadhi ya maofisa wake ...

Read More »

Mbowe anena, kurudi kwa Tundu Lissu

TAARIFA za ujio wa Tundu Lissu, Mbunge wa Singida Mashariki zimekolezwa na Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema). Anaripoti Bupe Mwakiteleko…(endelea). Mbowe ambaye ni Kiongozi wa ...

Read More »

Buguruni, Ilala, Kinondoni, Mwenge kushuhudia mwili wa Dk. Mengi

MWILI wa Dk. Reginald Abraham Mengi, aliyekuwa Mwenyekiti Mtendaji wa Kampuni zilizo chini ya IPP Group, unatarajiwa kuletwa leo saa 8:30 mchana. Anaripoti Bupe Mwakiteleko … (endelea). Usalama umeimarishwa katika ...

Read More »

TEF yatoa rai kwa serikali

JUKWAA la Wahariri Tanzania (TEF), limeishauri serikali kuunda chombo maalumu, kitakachofanya kazi ya kutoa mwongozo kwa wanahabari na vyombo vya dola, juu ya kuripoti masuala ya uchaguzi. Anaripoti Bupe Mwakiteleko ...

Read More »

BREAKING NEWS: Reginald Mengi afariki dunia

REGINALD Mengi, Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP na mfanyabiashara mkubwa nchini, amefariki dunia usiku wa kuamkia leo tarehe 2 Mei 2019. Anaripoti Bupe Mwakiteleko … (endelea). Taarifa za awali zinaeleza ...

Read More »

Kampeni kumsaka Azory yaanza

LICHA ya Dk. Harrison Mwakyembe, Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo kutaka watu kutomtafuta mwandishi wa Azory Gwanda aliyetoweka katika mazingira ya kutatanisha tangu 2017, wito huo umepuuzwa. Anaripoti Bupe ...

Read More »

Spika Ndugai amejaribu, ameshindwa

JOB Ndugai, Spika wa Bunge la Jamhuri amejaribu kumchora Prof. Mussa Assad, Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) katika taswira hasi kwa Watanzania, lakini ameshindwa. Anaandika Bupe Mwakiteleko ...

Read More »

Dk. Tulia: Rais Magufuli kalirahisishia  kazi Bunge

NAIBU Spika wa Bunge, Dk. Tulia Ackson amesema Rais John Magufuli ameirahisishia kazi Ofisi ya Bunge katika utekelezaji wa majukumu yake, kutokana na hatua yake ya kuhamisha ofisi za serikali ...

Read More »

Ziara ya Rais Magufuli Iringa, bendera za Chadema zashushwa

OFISI za Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) zilizopo Mafinga, Iringa zimevamiwa. Anaripoti Bupe Mwakiteleko … (endelea). Tukio la uvamizi huo katika Jimbo la Mbinga, limefanyika usiku wa kuamkia leo ...

Read More »

Ripoti ya CAG, mtihani mzito

RIPOTI ya Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) ipo njia moja kuelekea Bunge la Jamhuri ya Muungano, lakini je, itafikishwa? Na ikifikishwa itasomwa? Halafu ikishasomwa? Anaandika Bupe ...

Read More »

Baada ya Segerea, Mbowe kuongoza Kamati Kuu leo

FREEMAN Mbowe, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema)-Taifa, pamoja na wajumbe wa Kamati Kuu wanakutana leo tarehe 30 Machi 2019 kujali hali ya kisiasa nchini. Anaripoti Bupe Mwakiteleko…(endelea). ...

Read More »

JPM: Sikutaka fedheha, atoa zawadi ya karne kwa Taifa Stars

RAIS John Magufuli amekutana na Timu ya Soka ya Taifa-Taifa Stars- leo tarehe 25 Machi 2019 ambapo amewaeleza, alishindwa kwenda uwanjani kuangalia mechi kwa kuogopa fedheha. Anaripoti Bupe Mwakiteleko…(endelea). “Niliogopa fedheha, ...

Read More »

Zitto ala kiapo mbele ya Wapemba

ACT-WAZALENDO hakujapoa. Ndivyo unavyoweza kusema kutokana na amsha amsha ya ‘ShushaTangaPandishaTanga Safari iendelee’ inavyotekelezwa visiwani Zanzibar. Anaripoti Bupe Mwakiteleko…(endelea). Ni kauli mbiu iliyoasisiwa baada ya Maalim Seif Shariff Hamad, aliyekuwa Katibu ...

Read More »

Zitto akabidhiwa mzigo wa Prof. Lipumba  

MAMBO yanzidi kwenda kombo ndani ya Chama cha Wananchi (CUF) ambapo Zitto Kabwe, Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo alikabidhiwa lundo la kadi na bendera ili amrejeshee Prof. Ibrahim Lipumba. ...

Read More »

Maalim Seif aondoka na ‘kijiji’ CUF

HATUA ya Maalim Seif Shariff Hamad kundoka katika Chama cha Wananchi (CUF) na kuhamia Chama cha ATC-Wazalendo imeathiri chama chake cha awali. Anaripoti Bupe Mwakiteleko …(endelea). Maeneo mbalimbali nchini yaliyokuwa na ...

Read More »

Spika Ndugai: Muulizeni Tundu Lissu swali hili  

HATUA ya Tundu Lissu, Mbunge wa Singida Mashariki (Chadema) kuandika taarifa ya kusitishiwa mshahara na stahiki zingine na Ofisi ya Bunge, imemsukuma Job Ndugai, Spika wa Bunge la Jamhuri kuibuka ...

Read More »

Prof. Lipumba atwaa uenyekiti CUF

PROFESA Ibrahim Lipumba ametwaa nafasi ya uenyekiti wa chama hicho kwa mara nyingine. Anaripoti Bupe Mwakiteleko … (endelea). Miongoni mwa majukumu ya leo katika Mkutano Mkuu wa CUF ni pamoja ...

Read More »

MO ahofia yatima wa Kibonde, Kikwete: Jahazi litaendeleaje?

WAKATI maandalizi ya kuupumzisha mwili wa aliyekuwa mtagazaji wa Redio ya Clouds,Ephraim Kibonde baada ya kufariki dunia jana asubuhi tarehe 7 Machi 2019 yakiendelea, mfanyabiashara bilionea nchini Mohamed Dewj (MO) ...

Read More »

Kibonde kuzikwa Jumamosi

MAZISHI ya aliyekiwa mtangazaji wa Kituo cha Redio Clouds, Ephrahim Kibonde atazikwa Jumamosi wiki hii. Anaripoti Bupe Mwakiteleko … (endelea). Mwili wa Kibonde unatarajiwa kuwasili jijini Dar es Salaam leo ...

Read More »

Katoliki washusha waraka ‘Ujumbe wa Kwaresma’

KANISA Katoliki Tanzania limetoa waraka uliobeba ujumbe wa Kwaresima, huku likiangazia changamoto zinazokabili familia na visababishi vya changamoto hizo. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Waraka huo uliotolewa jana na Baraza la Maaskofu Katoliki ...

Read More »

Namna Kibonde alivyoanza safari ya kifo chake

SAFARI ya mwisho ya Ephrahim Kibonde, mtangazaji na Mahiri wa  Clouds FM aliyekuwa akitangaza kipindi cha Jahazi,  ilishika kasi siku ya mazishi ya Ruge Mutahaba yaliyofanyika katika Kijiji  cha Kiziru, ...

Read More »

Msiba mwingine Clouds; Ephraim Kibonde afariki

SIKU tatu baada ya kufariki Ruge Mutahana, aliyekuwa Mkurugenzi wa Vipindi na Uzalishaji wa Clouds Media Group (CMG), Ruge Mutahaba, leo tarehe 7 Machi 2019, mtangazaji na Mahiri wa Clouds ...

Read More »

Mauaji ya watoto; IGP Sirro anasa waganga wa kienyeji 65

JESHI la Polisi limekamata maganga 65 katika Mkoa wa Simiyu na Njombe kwa tuhuma za kuhusika na mauwaji ya watoto yaliyotokea Januari 2019. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Waganga 20 wamekamatwa katika Mkoa ...

Read More »

Dk. Mashinji: Lowassa anajua anachokifanya, Prof. Lipumba acheeeka

HATUA ya Waziri Mkuu aliyejiuzulu, Edward Ngoyai Lowassa kutangaza kurejea katika Chama Cha Mapinduzi (CCM) jana tarehe  Mosi Machi 2019, kumeibua mjadala mpana uliobeba hisia tofauti. Anaripoti Bupe Mwakiteleko … (endelea). Akizungumza ...

Read More »

Lukuvi alilia wasaidizi wake waliofariki Ifakara

WILLIAM Lukuvi, Waziri wa Ardhi, Nyumba na Makazi amewapa pole ndugu na jamaa waliofiwa kwenye ajali iliyotokea jana tarehe 23 Februari 2019 Ifakara na kuua wafanyakazi tisa. Anaripoti Bupe Mwakiteleko ...

Read More »

JPM atuma salamu za rambirambi vifo vya watu 19 Songwe

RAIS John Magufuli ametuma salamu za rambirambi kwa familia zilizopoteza ndugu na jamaa zao katika ajali ya barabara iliyotokea wilayani Mbozi mkoa wa Songwe jana tarehe 21 Februari 2019.Anaripoti Bupe ...

Read More »

Sugu achomoka kwa dhamana, kutinga polisi leo

MBUNGE wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi (Sugu)-Chadema jana jioni alifanikiwa kupata dhamana baada ya kukamatwa na Jeshi la Polisi mkoani Mbeya asubuhi ya siku hiyo kwa madai ya uchochezi. Anaripoti Bupe ...

Read More »

Uteuzi wa Rais Magufuli leo hii

RAIS John Magufuli amemteua Dk. Michael Ng’umbi kuwa Mkurugenzi wa Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima (TEWW).Anaripoti Bupe Mwakiteleko…(endelea). Taarifa ya uteuzi huo imetolewa leo tarehe 20 Februari 2019 na ...

Read More »

‘Bao la Mkono’ lamtoa chozi Nape 

NAPE Nnauye, Mbunge wa Jimbo la Mtama mkoani Lindi sasa anajutia kauli yake ‘bao la mkono’ aliyoitoa miaka minne iliyopita. Anaripoti Bupe Mwakiteleko … (endelea).  Akizungumza na kituo kimoja cha ...

Read More »

Masikini Mwigulu! Bado yupo kitandani

MWIGULU Nchemba, Mbunge wa Iramba Magharibi bado yupo kitandani katika Hospitali ya Benjamin Mkapa jijini Dodoma akitibiwa baada ya kupata ajali ya gari. Anaripoti Bupe Mwakiteleko … (endelea). Ajali hiyo ilitokea ...

Read More »

Mwendokasi kubadili maisha Mbagala

ENEO la Mbagala na viunga vyake linatarajiwa kunufaika na mradi wa mabasi yaendayo haraka (mwendokasi) unaotarajiwa kuanza muda wowote kuanzia sasa. Anaripoti Bupe Mwakiteleko…(endelea). Matumaini ya kuanza kwa ujenzi huo yametolewa ...

Read More »

Mwendokasi kubadili maisha Mbagala

ENEO la Mbagala na viunga vyake linatarajiwa kunufaika na mradi wa mabasi yaendayo haraka (mwendokasi) unaotarajiwa kuanza muda wowote kuanzia sasa. Anaripoti Bupe Mwakiteleko … (endelea). Matumaini ya kuanza kwa ujenzi ...

Read More »

Mvumbuzi Tanzanite afariki Dunia

MZEE Jumanne Ngoma, mvumbuzi wa Tanzanite amefariki dunia. Anaripoti Bupe Mwakiteleko … (endelea). Taarifa ya familia yake inaeleza kuwa Mzee Ngoma alifariki dunia wakati akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Taifa ...

Read More »

Makunga ajiuzulu, TEF waridhia

JUKWAA la Wahariri Tanzania (TEF) limeridhia kujiuzuru kwa Mwenyekiti wake Theophil Makunga aliyeomba kujiuzulu. Anaripoti Angel Willium … (endelea). Makunga aliomba kujiuzulu jana Ijumaa kwa kuuandikia uongozi wa jukwaa hilo. ...

Read More »

Mengi awapa ‘dili’ vijana katika hali ngumu

MWENYEKITI wa Tanzania Private Sector Foundation (TPSF) Reginald Mengi, amewaomba vijana kuchangamkia fursa za kibiashara zinazojitokeza wasipotoshwe na msemo wa hali ngumu, wakati huo kuna wageni wanakuja kutoka nje ya ...

Read More »

Waziri wa fedha atoa onyo, Watanzania wakiongezeka

WAZIRI wa Fedha na Mipango, Dk. Philip Mpango, ametoa onyo kwa mashirika mbalimbali kutotoa taarifa za makadirio ya takwimu za Watanzania na kuzichapisha bila ya kushirikisha ofisi ya Taifa ya ...

Read More »

Tanzania kujitangaza kibiashara soko la EAC

BALOZI wa Tanzania nchini Kenya, Pindi Chana imeiomba sekta binafsi kujitokeza ili kushiriki maadimisho ya biashara hapa nchini yatakayofanyika Aprili 26 mwaka huu kwa lengo la kukuza uchumi wa viwanda. ...

Read More »

Mawakala wa elimu watoa ufafanuzi wa udhamini

KAMPUNI ya Mawakala wa Elimu Solution Ltd, imetoa ufafanuzi jinsi wanavyo wadhamini wanafunzi wa vyuo vikuu, wajasiliamali, na wafanyakazi kwenda kusoma nchini China, Japan na Kusini Korea na wanavyonufaika katika ...

Read More »

Polisi wainua mikono kupigwa risasi Lissu

JESHI  la Polisi limefunga mwaka huku likishindwa kutoa majibu kuhusu watu waliohusika kumpiga risasi zaidi ya 38, Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu (Chadema), anaandika Angel Willium. Mkurugezi wa Upelezi ...

Read More »

Sumatra yatangaza vita kwa wamiliki mabasi

BARAZA la Ushauri la Watumiaji wa Huduma za Nchi Kavu na Majini (SUMATRA), limetoa wito kwa abiria waendao mikoani kipindi hiki cha sikukuu za mwisho wa mwaka, kutokata tiketi kiholela ...

Read More »

Watalaam ugonjwa wa Ini kujifua India

HOSPITALI ya Taifa Muhimbili inatarajia kuwapeleka nchini India watalaam mbalimbali katika sekta ya afya kwa ajili ya mafunzo ya ugonjwa wa Ini, anaandika Angel Willium. Watalaam hao ni pamoja na madakatari ...

Read More »

Lukuvi atangaza kubadilisha hati za ardhi 2018

WAZIRI wa Ardhi ,Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi amemtaka Mkurugenzi wa Tehama katika wizara hiyo, ifikapo 2018, mradi wa mfumo unganishi wa taarifa za ardhi katika mtandao uwe ...

Read More »
error: Content is protected !!