Author Archives: Benedict Kimbache

Kubenea kurudi tena Ubungo

Saed Kubenea, Mbunge wa Ubungo (mwenye miwani) akiwa katika moja ya ziara zake katika jimbo lake

MBUNGE wa Ubungo (Chadema), Saed Kubenea, ataendelea na ziara yake ya kikazi – kiserikali – ndani ya jimbo lake, kuanzia Jumatatu ya tarehe 6 Machi hadi tarehe 12 Machi 2017, ...

Read More »

Polisi na Mahakama Kilwa watesa wafuasi wa UKAWA

VIJANA watano wafuasi wa UKAWA wilayani Kilwa kwa wiki tatu sasa wanasota mahabusu kwa sababu ya kunyimwa dhamana kutokana na tuhuma za kufanya kosa la uporaji kwa kutumia silaha. Anaandika ...

Read More »

Nguvu ya mtazamo chanya hubadilisha maisha

ILIKUWA ni mshangao kwa wazazi wangu waliposikia kuwa watazaa mtoto asiyekuwa na mikono, Nick Vujicic anasema. “Nilipozaliwa madaktari waliponiona walisema tunasikitika kuwa hatuna chakusema ni nini kimetokea, haya ni maajabu.’’ ...

Read More »

Kubenea atia maguu jimbo la Ubungo

Mkurugenzi wa Hali Halisi Publishers, Saed Kubenea (kulia) akiwa na Mhariri wa Mwanahalisi, Jabir Idrissa

SAED Kubenea, ameamua kuvunja ukimya baada ya uvumi kuenea kuwa alikuwa na nia ya kugombea ubunge katika jimbo la Mafia mkoa wa Pwani baada ya kuchukua fomu rasmi kugombea ubunge ...

Read More »

Uchaguzi Mkuu Burundi wafanyika kimabavu

Maofisa wa Uchaguzi Burundi wakiwa tayari na vifaa vyao

HATIMAYE uchaguzi mkuu wa Burundi uliopingwa sio tu na wananchi bali nchi mbalimbali, umefanyika siku ya Jumatatu. Uchaguzi huu una utata kwani haukupata baraka za kimataifa, Umoja wa Afrika (AU), ...

Read More »

Ya Tundu Lissu yatimia

Jaji Augustino Ramadhani (kushoto) alipowasili mjini Dodoma kuchukua fomu ya kuwania urais

ILE kauli kuwa, Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinavuruga katiba ya nchi kwa kuteua makada wake kutumikia serikali kinyume na Katiba ya nchi imetimia. Anaandika Benedict Kibache … (endelea).  Katika Bunge ...

Read More »

Upasuaji wa aina yake, upandikizwaji kichwa

Dk. Sergio Canavero akiwa na uhakika wa kufanikisha upandikizaji kichwa

HUENDA kwa mara ya kwanza tangu Dunia iumbwe historia ya kupandikiza kichwa (head anastomosis), itaandikwa miaka miwili ijayo 2017. Upasuaji huo utakaofanya na madaktari na wauguzi 150 utagharimu dola za ...

Read More »

Uhuru Kenyata aitaka Afrika kuachana na misaada

Rais Uhuru Kenyatta

Rais wa Kenya Uhuru Kenyata amezitaka nchi za Afrika kuacha kutegemea misaada ya nchi za nje, akiamini kuwa misaada hiyo sio msingi wa maendeleo. “Utegemezi unaodhaniwa kuwa ni fadhila nilazima ...

Read More »

Wanamichezo 10 wenye mkwanja mrefu duniani

Bondia Floyd Mayweather akionesha jeuri ya fedha

IMEDHIHIRISHA Floyd Mayweather Jr. ‘May Money’, hajapewa jina hilo kwa makosa. Anaandika Benedict Kimbache … (endelea). Kwa mujibu wa taarifa zilizotolewa na jarida la Forbes kwa mwaka 2015 juu ya ...

Read More »

Chama cha Cameron chashinda tena Uingereza

Waziri Mkuu wa Uingereza, David Cameron

DAVID Cameron, ataendelea kuwa Waziri Mkuu wa Uingereza baada ya chama chake cha Conservative (Tory) kupata ushindi mkubwa katika uchaguzi uliofanyika tarehe 7 mwaka huu, katika ushindi ambao haukutarajiwa. Ushindi ...

Read More »

Boti ya Tanzania yanaswa na unga Scotland

Boti ya Hamal Zanzibar ikiwa chini ya ulinzi na meli ya ulinzi ya Scotland baada ya kukutwa na dawa za kulevya

BOTI yenye usajili wa Tanzania, imekamatwa kwenye Bahari ya Kaskazini na baada ya kupekuliwa katika bandari ya Arberdeen huko Scotland, imekutwa na shehena ya dawa zakulevya. Anaandika Benedict Kimbache … ...

Read More »

Maleria bado tishio Afrika

Mbu wanaoeneza maleria

Leo tarehe 25 Aprili 2015 Tanzania inaungana na mataifa mengine  dunia kuazimisha Siku ya Malaria Duniani. Siku hii imeanzishwa na Shirika la Afya Duniani (WHO) ili kutoa nafasi kwa wadau ...

Read More »

‘ACT-Wazalendo wanamhadaa Nyerere’

Zitto Kabwe, Kiongozi Mkuu wa ACT-Wazalendo,  akihutubia mkutano mjini Kahama.

CHAMA kipya cha Alliance for Change and Transparency (ACT-Wazalendo), kimeasisi kauli mbiu ya “kufuata falsafa ya Mwalimu Nyerere. Miongoni mwa wanachama wake waliojiunga hivi karibuni pamoja na Zitto Zuberi Kabwe ...

Read More »

Muhammad Buhari Nigeria, Maalim Seif Zanzibar

Maalim Seif Shariff Hamad, Katibu Mkuu wa CUF

RAI wa Nigeria wameamua kwa kura zao, kuchangua mgombea urais wanayemtaka. Tume ya Taifa ya Uchaguzi nayo imesimamia na kuthibitisha maamuzi ya wananchi na kumtangaza mshindi halali wa uchaguzi wa ...

Read More »

Makampuni 500 ya China kuwekeza Tanzania

Wafanyakazi kutoka Shirika la Mafuta la China wakikagua bomba la gesi-Mtwara Tanzania

MAHUSIANO ya kibiashara kati ya Tanzania na China yamechukua muelekeo mpya, ambapo makampuni 500 ya China yakitarajiwa kuanzishwa ndani ya miaka 5. Anaandika Benedict Kimbache … (endelea). Chini ya mpango huu, ...

Read More »

Waziri Mkuu wa Uingereza agoma kurudi Ikulu

Waziri Mkuu wa Uingereza, David Cameron

WAZIRI Mkuu wa Uingereza David Cameron amesema hatawania muhula wa tatu kwa nafasi ya uwaziri mkuu endapo chama chake cha Conservative kitashinda uchaguzi mkuu wa mwaka huu. Katika mahojiano na ...

Read More »

Ndege inayotumia nguvu za jua yazinduliwa

Ndege inayotumia nguvu ya jua (Solar Impulse 2) kabla ya kuanza kuruka

HISTORIA ya urushaji wa ndege inayotumia nguvu ya jua kwa kuzunguka Dunia imeandikwa. Anaandika Benedict Kimbache kwa msaada wa mashirika ya Habari. Ndege hii iliyopewa jina Solar Impulse-2 (SI2) ilianza ...

Read More »

Huyu ndiye Rais Pohamba mshindi wa tuzo ya Mo Ibrahim

RAIS anayeondoka madarakani nchini Namibia, Hifikepunye Pohamba

RAIS anayeondoka madarakani nchini Namibia, Hifikepunye Pohamba (79), ameingia kwenye historia ya washindi wa tuzo ya dola milioni tano ya Mo Ibrahimu ya uongozi wa Afrika. Rais huyo ambaye anatarajiwa ...

Read More »

Walinzi wa Rais Mugabe wasimamishwa kazi

Rais wa Zimbabwe, Robert Mugabe akianguka jukwaani

KUANGUKA kwa Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe kumepelekea maafisa usalama 27 kusimamishwa kazi wakatii uchunguzi ukiendelea. Maafisa hao wamekabidhiwa barua za kusimamishwa  siku ya Ijumaa. Mmoja wa maafisa alisema kuwa ...

Read More »

Nigeria yahairisha Uchaguzi Mkuu

Rais wa Nigeria, Goodluck Jonathan

Nigeria imesitisha uchaguzi mkuu wa Rais na Wabunge mpaka Machi 28 mwaka huu. Uamuzi huu umefikiwa kutokana na sababu za kiusalama kwani mapambano yanayoendelea kati ya majeshi ya serikali na ...

Read More »

Kinyesi kutoa maji safi, salama

Bill Gates akijiandaa kunywa maji yaliyotengenezwa kutoka kwenye kinyesi

KINYESHI cha binadamu hutumika sana kama mbolea katika bustani na mashambani, lakini kwa teknolojia mpya sasa kitaweza kuchujwa na kutoa maji safi na salama ya kunywa. Teknolojia hiyo mpya inatarajiwa ...

Read More »

Ohio wasitisha dawa ya kunyongea

Kitanda cha kunyongea watuhumiwa kwa njia ya sindano ya sumu

MAMLAKA ya Jimbo la Ohio imesitisha matumizi ya dawa mbili mchanganyiko kwa ajili ya kunyonga watu baada ya kusababisha kizaazaa wakati wa kumnyonga Dennis McGuire, Januari 2014. Dawa zilizopigwa marufuku ...

Read More »

Majaribio ya dawa ya Ebola yaendelea Liberia

Mmoja wa wagonjwa wa Ebola huko Afrika ya Magharibi

WATAALAMU wa tiba wameanza rasmi majaribio ya matumizi ya dawa ya kutibu ugonjwa wa ebola kwenye vituo vya afya vya mjini Monrovia. Lengo la majaribio hayo ni kubaini kama dawa ...

Read More »

Kifo cha Fidel Odinga, madaktari kutoa majibu wiki sita zijazo

Rais wa Kenya, Uhuru Kenyetta (katikati) akisaini kitabu cha maombelezo cha msiba wa mtoto wa Waziri Mkuu wa zamani wa Kenya, Raila Odinga, Fidel Odinga. wanaoshuhudia ni Odinga (kushoto) na mke wake, Ida Odinga

UPDATE 16:58 WAKENYA pamoja na familia ya Waziri Mkuu wa zamani, Raila Odinga wanapaswa kusubiri kwa wiki sita ili kupata matokeo ya uchunguzi wa kinachoweza kusababisha kifo cha Fidel Odinga, ...

Read More »

Namna ya kutengeneza mlo kamili

Makundi matano ya chakula-Mlo kamili

BINADAMU wote wanahitaji chakula lakini walio wengi wanakula zaidi kwa mazoea bila ya kujali wanachokula na wanapata nini katika chakula wanachokula. Mazingira tunayoishi na tunayofanyia kazi mara nyingi yanatufanya kuishi ...

Read More »

Wahamiaji watuma mabilioni ya dola kwao

Fedha za kigeni

WAHAMIAJI (Diaspora) ni muhimu kama chanzo cha biashara, teknolojia na ujuzi kwa nchi zao na kwa nchi walizohamia. Kila mwaka wahamiaji hutuma mabilioni ya fedha kwenye nchi zao za asili ...

Read More »

Basi linalotumia kinyesi laonekana mitaani

Basi linalotumia kinyesi badala ya mafuta

UINGEREZA yashuhudia kwa mara ya kwanza katika miji ya Bath na Bristol basi linaloendeshwa kwa nguvu ya gesi inayotokana na kinyesi cha binaadamu pamoja na masalia ya chakula. Mwishoni mwa ...

Read More »

Fahamu Shinikizo la Damu (2)

Mchoro unaonyesha madaraja ya shinikizo la damu

Aina za vipimo vya presha KATIKA toleo la kwanza la safuu hii wiki iliyopita nilieleza aina mbili za shinikizo la damu. Nilisema aina ya kwanza ni shinikizo la damu la ...

Read More »

Fahamu athari za Shinikizo la Damu

Mchoro wa Shinikizo la Damu

KUNA aina mbili za shinikizo la damu. Kwanza ni shinikizo la damu la juu (hypertension)  na pili ni shinikizo la damu la chini (hyportension). Makala hii itajadili aina ya kwanza. ...

Read More »
Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On Youtube