Author Archives: Aisha Amran

Mchungaji Nyaga atoa Sh. 10 mil. kwa masikini

PETER Nyaga, Mchungaji wa Kanisa la RGC Tabata Chang’ombe, ametoa misaada inayogharimu kiasi cha Sh. 10 milioni kwa watu wasiojiweza na wanaoishi katika lindi la umasikini, anaandika Aisha Amran. Mchungaji ...

Read More »

Mahakama yabariki Mbowe kufukuzwa

MAHAKAMA Kuu ya Tanzania, Kitengo cha Ardhi imetupilia mbali maombi ya mfanyabiashara na mwanasiasa, Freeman Mbowe kutaka kurudishwa katika jengo la Bilicanas kwa madai kuwa aliondolewa bila ya utaratibu wa ...

Read More »

Profesa ataka viongozi wafunzwe maadili kumuenzi Nyerere

PROFESA Shadrack Mwakalila, Mkuu wa Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere ameitaka serikali kuwapeleka viongozi wake kusomea mafunzo ya maadili na uongozi katika chuo hicho ili kupata uelewa wa jinsi ...

Read More »

Ndugai aendeleza panga pangua Kamati za Bunge

JOB Yustino Ndugai, Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ameteuwa wajumbe wapya 16 wa Kamati ya Bunge ya Masuala ya Ukimwi, anaandika Aisha Amran. Uteuzi huo umetokana na ...

Read More »

ACT Wazalendo yamuangukia Magufuli

CHAMA cha ACT Wazalendo, kimemuomba Rais John Magufuli kuunda timu ya wataalamu ili kuipitia upya Rasimu ya Katiba ya Jaji Joseph Warioba na kuitisha Mkutano Mkuu wa Kikatiba ili kuijadili, ...

Read More »

Ocean Road yaandaa matembezi kuikabili saratani ya matiti

TAASISI ya Saratani ya Ocean Road kwa kushirikiana na wadau mbalimbali, imeandaa matembezi ya hisani yenye lengo la kuhamasisha uchangiaji wa matibabu ya saratani ya matiti, anaandika Aisha Amran. Julius Mwaiselage, ...

Read More »

Mwongozo mpya kuboresha taarifa za serikali  waandaliwa 

WAKALA ya Serikali Mtandao umeandaa mwongozo unaolenga kutoa utaratibu wa kufuatwa na kuzingatiwa katika kusimamia na kuendesha tovuti za serikali, anaandika Aisha Amran. Muongozo huo pia utatumika kutatua changamoto  na kuziwezesha taasisi ...

Read More »

NECTA yajivunia mafanikio

BARAZA la Mitihani la Tanzania (NECTA) limejigamba kufanikiwa kudhibiti wizi wa mitihani ya Taifa na ngazi mbalimbali za elimu nchini, anaandika Aisha Amran. Na kwamba, mafanikio hayo ni zao la ushirikiano ...

Read More »

Twaweza ‘wambeba’ tena Magufuli

RIPOTI ya utafiti mpya wa taasisi ya Twaweza imeeleza kuwa watanzania wengi wanaunga mkono, hatua ya Rais John Magufuli kupiga marufuku mikutano na maandamano ya kisiasa hapa nchini, anaandika Aisha Amran. ...

Read More »

Polisi ‘wajitosa’ sarakasi za CUF

JESHI la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam, linadai kuwakamata watuhumiwa 22, waliojitambuulisha kama wanachama wa Chama cha Wananchi (CUF), wakiwa na zana za kufanyia uhalifu ikiwemo mapanaga na visu, anandika ...

Read More »

Udhamini wa Makonda waingia doa

WANANCHI waliojitokeza katika zoezi la kupima afya zao lililoanza Jumamosi na Jumapili wiki iliyopita jijini Dar es Salaam, wamelalamikia mpango mbovu wa huduma hiyo, anaandika Aisha Amran. Wamesema, huduma hiyo imekuwa ...

Read More »

Wabunge wa Simba na Yanga vitani

WABUNGE wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania ambao ni mashabiki wa klabu za Simba na Yanga, wanatarajia kucheza mchezo maalum wa mpira wa miguu wenye lengo la kukusanya ...

Read More »

Watanzania watekwa nchini Kongo

WATANZANIA 12 jana wametekwa katika eneo la Namoyo, Jimbo la Kivu Kusini nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ( DRC) na kikundi cha waasi cha Maimai, anaandika Aisha Amran. Taarifa kutoka ...

Read More »

Waichongea CRDB kwa Rais Magufuli

WANACHAMA wa kikundi cha wakulima wa tumbaku (Tumaini Itave Association) cha Urambo, Tabora  wamemtaka Rais John Magufuli kuingilia kati mgogoro uliopo kati yao na benki ya CRDB, Anaandika Aisha Amran. ...

Read More »

Bakwata: Eid el Hajj Septemba 12

BARAZA Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) limetangaza rasmi kuwa, tarehe 12 Septemba mwaka huu ni siku ya Sikukuu ya Eid el Hajj, anaandika Aisha Amran. Akizungumza kwa niaba ya Katibu ...

Read More »

Profesa Lipumba, 10 wakatwa CUF

CHAMA cha Wananchi (CUF) kimemsimamisha uanachama aliyekuwa mwenyekiti wake wa taifa, Profesa Ibrahim Lipumba kwa tuhuma za kuwa kinara wa vurugu zilizosababisha mkutano mkuu maalum wa chama hicho kuvunjika., anaandika ...

Read More »

Kiwanda cha mafuta matatani, wafanyakazi walia

UONGOZI wa kiwanda cha mafuta cha Tanzania Murzah Oil Mill unalalamikiwa kugoma kulipa mafao ya waliokuwa wafanyakazi wa kiwanda hicho baada ya kubinafsishwa kwake, jambo linalozidi kuchochea mgogoro baina ya ...

Read More »

Sheikh Jalala: Funga hii iwe darsa kwetu

WAISLAM wameyakiwa kuifanya funga ya mwezi huu Mtukufu wa Ramadhan kuwa ni darasa kubwa la huruma na mabadiliko ambalo yataleta amani na utulivu ndani ya nchi, anaandika Aisha Amran. Haya yamesemwa ...

Read More »

LHRC wamshughulikia Naibu Spika

KITENDO cha Bunge kusimamisha wabunge saba wa upinzani kuhudhuria vikao vyake kimepingwa vikali na Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), anaandika Aisha Amran. Pia LHRC wamelaani hatua ya ...

Read More »

Siri wana-UDOM kutimuliwa hadharani

SABABU za wanafunzi 7,800 wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kutimuliwa sasa zipo hadharani,ananadika Aisha Amran. Ni kutokana na kuwepo kwa mgogoro kati ya chuo hicho na wafanyakazi wake ambao ...

Read More »

Dk. Shein, Maalim Seif wamyumbisha Mrema

AGUSTINO Mrema, Mwenyekiti wa Chama cha Tanzania Labour Party (TLP) ‘amerusha mkuki msituni,’ ni baada ya kulalamikia wanasiasa wanaochochea uvunjifu wa amani visiwani Zanzibar bila kutaja majina yao, anaandika Aisha ...

Read More »

Elimu ya juu waanza kulipa mikopo

JUMLA ya wadaiwa wapya 21,721 wa mikopo ya elimu ya juu wamejitokeza kwa lengo la kuanza kulipa madeni yao kufuatia agizo la siku 60 lililotolewa na Bodi ya Mikopo ya ...

Read More »

TPDC yatengewa Bil 1.5

JUMLA ya Sh 1.5 bilioni zimetengwa kwa ajili ya   maendeleo ya Shirika  la Maendeleo ya Petrori Tanzania(TPDC) kwa mwaka wa fedha 2016/17, anaandika Aisha Amran. Kati ya fedha hizo, fedha ...

Read More »

Serikali yasulubiwa bungeni

KILE kinachonekana kuwa ni uamuzi wa kukurupuka, ndicho kinachoitoa jasho Serikali ya Rais John Magufuli bungeni leo, anaandika Aisha Amran. Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni imeanza kuishinikiza Serikali ya Chama ...

Read More »

Matusi ya CCM yakera wadau

KAULI chafu zilizotolea na wabunge kutoka Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndani ya bunge hivi karibuni, zimechefua wengi, anaandika Aisha Amran. Miongoni mwao ni Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP) ambao umeeleza ...

Read More »

Master Card yaweka wazi mikakati ya ushindi

WATANZANIA wametakiwa kujitokeza kwa wingi kushiriki shindano la kuongeza kipato lijulikanalo kama ‘Scaling Competition’ ili kuongeza na kuimarisha upatikanaji wa fedha vijijini Tanzania, anaandika Aisha Amran. Rai hiyo imetolewa na Gabriel ...

Read More »

Majeshi Zanzibar matatani 

KAMBI rasmi ya upinzani Bungeni inalaani kitendo cha serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kutumia nguvu za kijeshi kutisha wananchi wa Zanzibar na kutumia mwanya huo kuchakachua mchakato wa ...

Read More »

BoT yafafanua kuhusu dhamana kukuza uchumi

BENKI kuu ya Tanzania (BOT) imewataka wananchi kununua dhamana za serikali ili kuchangia katika kukuza uchumi wa taifa, anaandika Aisha Amran. Haya yamesemwa leo na Alexander Ngwinamila Mkurugenzi wa Masoko ya ...

Read More »

IFM yagomea tuhuma zake

CHUO cha Usimamizi wa Fedha (IFM) kimeeleza kufadhaishwa na habari zilizochapishwa na gazeti la Rai la tarehe 5 Mei mwaka huu Toleo la 1249 kuhusu utafunwaji wa mamilioni ya fedha kwenye ...

Read More »

Hapa Kazi tu yamkera Lissu

KAULI mbiu ya serikali ya Rais John Magufuli ya hapa kazi tu imedaiwa kuwa imeongeza vitendo vya kikandamizaji kila mahali nchini. anaandika Aisha Amran. Tundu Lissu, Mbunge wa Singida Mashariki na ...

Read More »

ACT-Wazalendo yabisha hodi kwa CAG

CHAMA Cha ACT-Wazalendo jana kimewasilisha rasmi hesabu zake katika Ofisi ya Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), ikiwa ni utekelezaji wa matakwa ya sheria kwa chama hicho, ...

Read More »

CAG akamata taasisi 13

RIPOTI ya Prof. Mussa Juma Assad, Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), imebaini taasisi 13 za serikali zilizofanya matumizi nje ya bajeti iliyopangwa,anaripoti Aisha Amran. Kwa mujibu ...

Read More »

Bomoabomoa Kibamba yaliza wananchi

WANANCHI kadhaa waliojenga eneo la Iloganzila Jimbo la Kibamba leo wamefikwa na majonzi baada ya nyumba zaidi 400 kukumbwa na mbomoamboa, anaandika Aisha Amran.  Taarifa zinasema, zoezi la bomoabomoa hiyo ...

Read More »

Bilioni 15 zatengwa kuwaongezea ujuzi vijana

SERIKALI kupitia Wizara ya Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Ajira, Kazi, Vijana na Walemavu) imetenga zaidi ya Sh. 15 Bilioni katika bajeti yake ya 2016/17 kwa ajili ya kuwaongezea vijana ujuzi unaohitajika kwenye ...

Read More »

Katiba yawasumbua mpira wa mikono

CHAMA cha mpira wa mikono Tanzania (TAHA) kimetakiwa kufuata sheria na taratibu za usajili wa katiba wanayoitaka kama walivyoagizwa na Msajili wa vyama vya michezo nchini, anaandika Aisha Amran. Rai ...

Read More »

70% ya Watanzania hawafanyi shughuli za kiuchumi

ASILIMIA 70.9 ya muda wa watu wenye umri kuanzia miaka 15 na kuendelea hutumika kwenye shughuli zisizo za uzalishaji ikilinganishwa na asilimia 18.5 inayotumika kwenye shughuli za kiuchumi…anaandika Aisha Amran. ...

Read More »

Bunge lachefua waandishi

CHAMA cha Waandishi wa Habari wa Kupiga Vita Matumizi ya Dawa za Kulevya na Uhalifu (OJADACT), kimetoa mtako la kupinga vikali kitendo cha waandishi wa habari kuzuiwa kuingia bungeni kufanya ...

Read More »

TRA yapoteza Bil 1

MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imepoteza zaidi ya shilingi bilioni moja kutokana na wauzaji wa kanda za muziki na filamu kutobandika stempu halasi za kodi, anaandika Aisha Amran. Richard Kayombo, ...

Read More »

Operesheni Dar yakamata SMG mbili

JESHI la Polisi limefanikiwa kukamata silaha mbili aina ya SMG zilizokuwa zimefichwa maeneo ya Yombo Relini, jijini Dar es Salaam, anaandika Aisha Amran. Silaha hizo zimepatikana baada ya oparesheni endelevu ...

Read More »

Kamanda Sirro aonya wazazi, walezi

JESHI la Polisi limewataka wazazi na walezi kutoruhusu watoto wao kucheza kwenye madimbwi na maji yanayotembea katika kipindi hiki cha mvua za masiki zinazoendelea, anaandika Aisha Amran. Rai hiyo imetolewa ...

Read More »

Dk. Rutengwe alalamikiwa ‘kutesa’

WAKAZI wa Mtaa wa Mjimpya Kata ya Saranga, Kinondoni, Dar es Salaam wamemlalamikia Dk. Rajab Rutengwe, aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Morogoro kwa kuwapa mateso, anaandika Aisha Amran. Wakazi hao ...

Read More »

Ulawiti wampeleka jela maisha

OMARY Hamisi mkazi wa Gongo la Mboto jijini Dar es Saalam amehukumiwa kifungo cha maisha jela baada ya kupatikana na na hatia ya kumlawiti mtoto wa miaka tisa ambaye ni ...

Read More »

Ukawa wamwandama Rais Magufuli

RAIS John Magufuli anaandamwa, sasa anatakiwa kuwachukulia hatua wakurugenzi, watendaji na makatibu tawala wa mikoa waliosababisha kuwepo kwa watumishi hewa, anaandika Aisha Amran. Wabunge na viongozi wa vyama vinavyounda Umoja ...

Read More »

AFD kuongeza ufadhili zaidi Tanzania

  SHIRIKA la Maendeleo la Ufaransa (AFD) limetoa jumla ya Euro milioni 321 kuanzia mwaka 2009 mpaka sasa kwa ajili ya shughuli za maendeleo nchini,anaandika Aisha Amran. Shirika hilo limeeleza ...

Read More »

Sita wanaswa wakiiba maji Dawasco

SHIRIKA la Majisafi na Majitaka jijini Dar es Salaam (Dawasco) linawashikilia mama ntilie sita kwa madai ya kutumia huduma ya maji kinyume cha utaratibu,anaandika Eunice Laurian. Mama hao wanadaiwa kujiunganisha ...

Read More »

Nape kuzindua Miss Tanzania 2016

NAPE Nnauye, Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo anatarajia kuwa mgeni rasmi katika shindano la urembo la Miss Tanzania 2016 katika Hoteli ya Ramada Resort jijini Dar es Salaam, ...

Read More »

Daladala walalamikia polisi, Halmashauri Kionondoni

HATUA ya Halmashauri ya Wilaya ya Kinondoni kushindwa kukamilisha ujenzi wa barabara zinazoingia kwenye Vituo vya Daladala Mawasiliano na Makumbusho jijini Dar es Salaam imendelea kulalamikiwa, anaandika Aisha Amran. Pia ...

Read More »

Serikali yasisitiza pensheni kulipwa

SERIKALI imedhamiria  kusimamia na kuhakikisha michango ya pensheni kwa wafanyakazi wa taasisi zinazopokea ruzuku kutoka serikalini inalipwa kwa wakati, anaandika Eunice Laurian. Lengo linalokusudiwa ni kuwezesha mifuko ya hifadhi ya ...

Read More »

Serikali, Benki ya Dunia kujenga miundombinu Temeke

SERIKALI kwa kushirikiana na Benki ya Dunia katika siku za karibuni imepanga kuanza ukarabati wa miundombinu mibovu hususan mitaro kwa kuwa inachangia kusababisha maafa wilayani Temeke, Dar es Salaam, anaandika ...

Read More »

‘Tatizo la ajira ni sera’

TATIZO la ukosefu wa ajira kwa vijana nchini linasababishwa na sera ambazo serikali imezianzisha na kusimamia utekelezaji wake katika sekta ya elimu. Anaandika Eunice Laurian. Hayo yameleezwa leo jijini Dar es ...

Read More »
Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On Youtube