Mwenyekiti  wa  Good News For all Ministry  Askofu Dk Charles  Gadi
Mwenyekiti  wa  Good News For all Ministry  Askofu Dk Charles  Gadi

Askofu afanya maombi ya kuleta mvua

MWENYEKITI  wa  Good News For all Ministry  Askofu Dk Charles  Gadi  amefanya maombi maalum kwa ajili ya kuliombea taifa ili kuondokana hali ya ukame ulioanza  kuyakumba baadhi ya maeneo hapa nchini, anaandika Faki Sosi.

Askofu Gadi amefanya maombi hayo leo jijini Dar es Salaam baada ya kuguswa na uatabiri wa hali ya hewa uliotolewa na Mamlaka ya Utabiri wa Hali ya Hewa (TMA).

Ameeleza kuwa miaka yote wamekuwa wakifanya vizuri katika kuomba na kwamba maombi ya leo  yataleta majibu kwa muda wa masaa 24.

 

MWENYEKITI  wa  Good News For all Ministry  Askofu Dk Charles  Gadi  amefanya maombi maalum kwa ajili ya kuliombea taifa ili kuondokana hali ya ukame ulioanza  kuyakumba baadhi ya maeneo hapa nchini, anaandika Faki Sosi. Askofu Gadi amefanya maombi hayo leo jijini Dar es Salaam baada ya kuguswa na uatabiri wa hali ya hewa uliotolewa na Mamlaka ya Utabiri wa Hali ya Hewa (TMA). Ameeleza kuwa miaka yote wamekuwa wakifanya vizuri katika kuomba na kwamba maombi ya leo  yataleta majibu kwa muda wa masaa 24.  

Review Overview

User Rating: 0.65 ( 1 votes)
0

About Faki Sosi

Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On Youtube