Mwenyekiti wa UVCCM Taifa, Sadifa Juma Hamis
Mwenyekiti wa UVCCM Taifa, Sadifa Juma Hamis

Aliyekuwa bosi wa UVCCM apata dhamana

Share on FacebookShare on Google+Tweet about this on TwitterShare on LinkedIn

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Dodoma imemwachia kwa dhamana aliyekuwa Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM), Sadifa Juma Khamis (Mbunge) anayekabiliwa na mashtaka ya kutoa rushwa wakati wa uchaguzi mkuu wa viongozi wa UVCCM Taifa, anaandika Hamisi Mguta.

Sadifa ameachiwa leo Desemba 19, 2017 baada ya mahakama kutupilia mbali pingamizi la upande wa mashtaka ambao waliliwasilisha mahakamani hapo kuweka zuio la kupewa dhamana.

Mtuhumiwa huyo ametakiwa kudhaminiwa na watu watatu pamoja na kusaini bondi ya Sh. milioni moja huku akipewa masharti ya kutosafiri nje ya nchi.

Share on FacebookShare on Google+Tweet about this on TwitterShare on LinkedIn
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Dodoma imemwachia kwa dhamana aliyekuwa Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM), Sadifa Juma Khamis (Mbunge) anayekabiliwa na mashtaka ya kutoa rushwa wakati wa uchaguzi mkuu wa viongozi wa UVCCM Taifa, anaandika Hamisi Mguta. Sadifa ameachiwa leo Desemba 19, 2017 baada ya mahakama kutupilia mbali pingamizi la upande wa mashtaka ambao waliliwasilisha mahakamani hapo kuweka zuio la kupewa dhamana. Mtuhumiwa huyo ametakiwa kudhaminiwa na watu watatu pamoja na kusaini bondi ya Sh. milioni moja huku akipewa masharti ya kutosafiri nje ya nchi.

Review Overview

User Rating: Be the first one !
0

About Hamisi Mguta

Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On Youtube