Friday , 29 March 2024
Home Habari Mchanganyiko Msiba mwingine Clouds; Ephraim Kibonde afariki
Habari MchanganyikoTangulizi

Msiba mwingine Clouds; Ephraim Kibonde afariki

Spread the love

SIKU tatu baada ya kufariki Ruge Mutahana, aliyekuwa Mkurugenzi wa Vipindi na Uzalishaji wa Clouds Media Group (CMG), Ruge Mutahaba, leo tarehe 7 Machi 2019, mtangazaji na Mahiri wa Clouds FM kupitia kipindi cha Jahazi, Ephrahim Kibonde amefariki dunia. Anaripoti Bupe Mwakitelekeko…(endelea).

Taarifa za msiba huo tayari zimedhibitishwa na Clouds Media. John Mongella, Mkuu wa Mkoa wa Mwanza amethibitisha kufariki kwa Kibonde.

“Mtangazaji wa Clouds FM Kibonde amefariki dunia hapa Mwanza, alianza kusumbuliwa na presha alipokuwa Bukoba kwenye msiba wa marehemu Ruge Mutahaba na kuhamishiwa Mwanza,” amesema Mongella.

Taarifa zaidi zitawajiwa hapa MwanaHALISI ONLINE

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Habari Mchanganyiko

Puma Energy Tz: Watanzania tudumishe amani kuvutia uwekezaji

Spread the loveKAMPUNI ya Mafuta ya Puma Tanzania imewakutanisha wadau mbalimbali katika...

Habari Mchanganyiko

DAWASA waanza utekelezaji agizo la Samia

Spread the loveMamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam...

Habari MchanganyikoKimataifa

Zuma akataliwa kugombea urais

Spread the loveTUME Huru ya Uchaguzi Afrika Kusini (IEC) imemwondoa rais wa...

KimataifaTangulizi

Zuma akataliwa kugombea urais

Spread the love  TUME Huru ya Uchaguzi Afrika Kusini (IEC) imemwondoa rais...

error: Content is protected !!