Daily Archives: November 21, 2020

Simba yaipiga Coastal 7-0, Azam yapigwa kimoja

MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL), Simba imetoa kipigo cha ‘mbwa koko’ cha 7-0 dhidi ya Coastal Union. Anaripoti Kelvin Mwaipungu … (endelea) Ushindi huo, umewafanya ...

Read More »

Shule kumi bora, 10 za mwisho darasa la 7

BARAZA la Mitihani la Tanzania (Necta), limetangaza matokeo ya kumaliza elimu ya msingi uliofanyika tarehe 7 na 8 Oktoba 2020. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam. Katika matokeo hayo yaliyotangazwa ...

Read More »

Wanafunzi kumi  bora darasa la 7

BARAZA la Mitihani la Tanzania (Necta), limetangaza watahiniwa kumi bora Kitaifa katika matokeo ya kumaliza elimu ya msingi uliofanyika tarehe 7 na 8 Oktoba 2020. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es ...

Read More »

Jaji Warioba avinyooshea kidole vyombo vya habari  

WAZIRI Mkuu Mstaafu wa Tanzania, Joseph Warioba, amekosoa utendaji wa vyombo vya habari nchini humo akisema vinasuasua kutoa habari zinazohusu masuala ya wananchi na kujikita kutoa habari zinazohusu uongozi. Anaripoti ...

Read More »

Matokeo Darasa la saba 2020 haya hapa  

BARAZA la Mitihani la Taifa (Necta) Jumamosi tarehe 21 Novemba 2020, limetangaza matokeo ya mtihani wa darasa la saba 2020. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). Kuangalia matokeo ...

Read More »

Kigwangalla aomba suruhu kwa MO Dewji

ALIYEKUWA Waziri wa Maliasili na Utalii kwenye Serikali ya awamu ya Tano, Dk. Hamis Kigwangallah ameomba kumaliza tofauti zake na mfanyabiashara maarufu nchini Mohammed Dewji ‘MO’ mara baada ya wawili ...

Read More »

Tanzania, Msumbiji mguu sawa kudhibiti ugaidi

JESHI la Polisi Tanzania na Msumbiji,  yametangaza operesheni ya kusaka kundi linalofanya uhalifu katika mpaka wa mataifa hayo mawili. Anaripoti Mwandishi Wetu, Mtwara … (endelea). Hayo yamesemwa jana  Ijumaa tarehe ...

Read More »
error: Content is protected !!