Daily Archives: November 20, 2020

Simba yajibu mapigo FCC, yatoa ufafanuzi wa Bil. 20

KLABU ya soka ya Simba imetolea ufafanuzi taarifa iliyotolewa na Tume ya Ushindani ya Kibiashara (FCC) na kueleza mwekezaji wao, Mohammed Dewji (MO) alisema kuwa mchakato wa mabadiliko wa klabu ...

Read More »

NEEC, GGML yawajengea uwezo wajasiriamali 500 Geita

WAJASIRIAMALI 500 Mkoa wa Geita ili wawe na fursa bora ya kufanya biashara na taasisi mbalimbali nchini Tanzania. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Mafunzo hayo yametolewa jana Alhamisi tarehe 19 Novemba 2020 ...

Read More »

Wananchi waombwa kushiriki miradi ya maji, afya na mazingira

MKUU wa Wilaya ya Mufindi mkoani Iringa, Jamhuri William ametoa wito kwa wadau waliopo mkoani humo na halmashauri ya wilaya ya Mufindi kuendelea kushirikiana katika miradi ya maji, afya na ...

Read More »

Yanga waliamsha tena sakata la Morrison

MAKAMU Mwenyekiti wa klabu ya Yanga, Frederick Mwakalebela ameibuka tena na sakata la mchezaji Bernard Morrison katika kesi walizowasilisha mbele ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF). Anaripoti Kelvin ...

Read More »

Majaliwa atoa siku 15 hospitali ya Uhuru ikamilike

WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa, ametoa siku 15 kwa uongozi ya Wilaya ya Chamwino, Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) na Suma JKT wahakikishe ujenzi wa hospitali ya Uhuru Wilaya ...

Read More »

Sakata la Tz Ulaya: Balozi amvaa Zitto

SERIKALI ya Tanzania imesema, haijawekewa vikwazo na kunyimwa misaada na Jumuiya ya Umoja wa Ulaya (EU), kama inavyodaiwa na baadhi ya wanasiasa na wanaharakati nchini humo. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar ...

Read More »

Lissu, Zitto ‘kumwaga mboga’ Ulaya

TUNDU Lissu, Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na Zitto Kabwe, Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo wamepanga kuieleza dunia hali ya kisiasa ilivyo Tanzania. Anaripoti Mwandishi Wetu, ...

Read More »

Umeya, Uenyekiti: La mgambo limelia CCM

HALMASHAURI Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (NEC-CCM), imefanya uteuzi wa wagombea nafasi za Meya wa Jiji, wenyeviti wa Halmashauri za Wilaya na Miji. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … ...

Read More »

Ugaidi: IGP Sirro kukutana na IGP wa Msumbiji

MKUU wa Jeshi la Polisi nchini Tanzania, IGP Simon Sirro anatarajiwa kufanya mazungumzo na Kamanda Mkuu wa Jeshi la Polisi Msumbiji, Bernadino Rafael kuhusu hali ya usalama wa mataifa hayo ...

Read More »

Maalim Seif amjibu Dk. Mwinyi

MAALIM Seif Shariff Hamad, aliyekuwa mgombea urais visiwani Zanzibar kupitia Chama cha ACT – Wazalendo, amesema ‘chama hakijaamua’ kuingia kwenye Serikali ya Umoja wa Kitaifa (SUK). Anaripoti Mwandishi Wetu, Zanzibar ...

Read More »
error: Content is protected !!