Friday , 19 April 2024

Day: November 19, 2020

Habari Mchanganyiko

Vigogo kampuni ya vinywaji kortini tuhuma za utakatishaji Bil.1.6

TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) nchini Tanzania, imewafikisha Mahakama ya Kisutu jijini Dar es Salaam watuhumiwa watatu kati ya wanne...

Michezo

FCC yaikana Simba, kuifanyia uchunguzi

TUME ya Taifa ya Ushindani (FCC) imeleza kuwa haihusiki na kucheleshwa kwa mfumo wa mabadiliko wa uendeshaji wa klabu ya Simba bali kuchelewa...

Habari za Siasa

Mauaji Z’bar: IGP Sirro, Zitto wavutana

TAKWIMU za Jeshi la Polisi na Chama cha ACT – Wazalendo kuhusu mauaji yaliyotokea Zanzibar wakati wa uchaguzi mkuu wa tarehe 28 Oktoba...

Habari za Siasa

IGP Sirro: Walipanga nchi isitawalike

MKUU wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simon Sirro ameeleza kuwa, kuna watu walipanga wakati wa Uchaguzi Mkuu, nchi isitawalike. Anaripoti Regina Mkonde,...

Habari za Siasa

Dk. Mwinyi amsubiri Maalim Seif Ikulu

RAIS wa Zanzibar, Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema, anasuburi uamuzi wa Maalim Seif Sharif Hamad na chama chake cha ACT – Wazalendo katika...

Habari za Siasa

Baraza la Mawaziri la Dk. Mwinyi hili hapa

DAKTARI Hussein Ali Mwinyi, Rais wa Zanzibar ametangaza Baraza la Mawaziri huku wizara mbili na nafasi ya manaibu waziri akiziweka kiporo. Anaripoti Mwandishi...

Michezo

Rais Hussein Mwinyi: Nipo tayari kukaa na wadau wa michezo Z’bar

RAIS wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Dk. Hussein Alli Mwinyi amesema kuwa kuwa yupo tayari kukaa na wadau wa michezo visiwani humo...

Habari za SiasaTangulizi

IGP Sirro awaita Lissu, Lema

INSPEKTA Jenerali wa Polisi (IGP) nchini Tanzania, Simon Sirro amewataka wanasiasa waliokimbia nje ya nchi kwa madai ya kutishiwa usalama wa maisha yao...

error: Content is protected !!