Daily Archives: November 18, 2020

Majaliwa azindua uchepushaji maji mto Rufiji, Misri yatangaza fursa

WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amezindua kazi ya uchepushaji maji ya mto Rufiji kwenda handaki ili kupisha ujenzi wa tuta kuu la bwawa la kufua umeme. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). ...

Read More »

Rais Mwinyi awatumbua vigogo 2 Z’bar

RAIS wa Zanzibar, Dk. Hussein Ali Mwinyi ametengua uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu wa Afya wa Wizara ya Afya, Dk. Jamala Adam Taib na Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Rufaa ya ...

Read More »

Milioni 39 wapona corona duniani

MAAMBUKIZO ya virusi vya corona (COVID-19) duniani yamefikia milioni 56.1, waliopona milioni 39.1 na waliofariki kutokana na ugonjwa huo wakiwa milioni 1.3. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Mtandao wa worldometer hadi leo ...

Read More »

Wahamiaji 36 wa Ethiopia, Somalia wadakwa Dar

WAHAMIAJI haramu 36 raia wa Ethiopia na Somalia walioingia nchini Tanzania kinyume na taratibu, wamekamatwa. Anaripoti Mwandishi Wetu Wahamiaji hoa wamekamatwa na vyombo vya ulinzi na usalama Mkoa wa Dar ...

Read More »

Rais Mwinyi kutangza mawaziri kesho

RAIS wa Zanzibar, Dk. Hussein Ali Mwinyi kesho Alhamisi tarehe 19 Novemba 2020, ataweka wazi sura ya baraza lake jipya la mawaziri. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Dk. Mwinyi ambaye pia ni ...

Read More »

Klabu ya Udasa yafungwa

JUKWAA la wakufunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (Udasa) nchini Tanzania, limekana madai kuwa limefunga shughuli zake. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). Akizungumza na MwanaHALISI ...

Read More »

Kigogo Yanga asimamishwa kazi

KAMATI ya Utendaji ya klabu ya Yanga imemsimamisha kazi Kaimu Katibu Kkuu wa klabu hiyo, Wakili Simon Patrick ambaye pia alikuwa mkurugenzi wa sheria na wanachama ili kupisha uchunguzi wa ...

Read More »

CCM yapata msiba Z’bar

KADA maarufu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Visiwani Zanzibar, Zawadi Salehe Makame, amefariki dunia. Anaripoti Mwandishi Wetu, Zanzibar … (endelea). Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Radio ya Serikali ya ...

Read More »

CCM yalia kuibiwa kura

ZAIDI ya wanachama 1,100 wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kata ya Mwakizega, Uvinza mkoani Kigoma, wamerejesha kadi za chama hicho wakidai, mgombea wa chama cha DP aliiba kura za mgombea ...

Read More »

Tunisia yachungulia fainali za AFCON, Stars njia panda

TIMU ya Taifa wa Tunisia imejiweka pazuri kueleka katika Fainali za Mataifa Afrika (AFCON) baada ya kutoka sare katika mchezo wake wa ugenini dhidi ya Taifa Stars katika mchezo uliochezwa ...

Read More »
error: Content is protected !!