Daily Archives: November 17, 2020

Polisi Z’bar wamwachia Mazrui

JESHI la Polisi Visiwani Zanzibar leo Jumanne tarehe 17 Novemba 2020, limemwachia kwa dhamana Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo, Nassor Ahmed Mazrui pamoja na mwanachama wa chama hicho, ...

Read More »

CECAFA vijana kupigwa 22 Novemba

MICHUANO ya Baraza la mashirikisho ya soka Afrika mashariki na kati ‘CECAFA’ kwa vijana chini ya umri wa miaka 20 yatafanyika 22 Novemba 2020, ambayo yatafanyika nchini Tanzania huku nchi ...

Read More »

Kigogo wa Polisi afariki dunia

DHAHIR Kidavashari (56), Aliyekuwa kaimu Kamishna wa fedha na lojistiki wa Jeshi la Polisi Tanzania amefariki dunia usiku wa kuamkia leo tarehe 17 Novemba 2020. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … ...

Read More »

Mkurugenzi Jamii Forum ahukumiwa

MAXENCE Melo, Mkurugenzi wa Mtandao wa Jamii Forums,  amehukumiwa kutotenda kosa la kuzuia Jeshi la Polisi kutekeleza wajibu wao kwa mwaka mmoja. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam…(endelea). Hukumu hiyo imetolewa leo ...

Read More »

Kiongozi wa waasi, wenzake 18 wahukumiwa kifo

SOULEYMAN Keita, kiongozi wa kundi la waasi la Ansar Dine la Iyad Ag Ghali nchini Mali na wenzake 18, mwishoni mwa wiki wamehukumiwa  kifo baada ya kukutwa na hatia ya ugaidi. Inaripoti ...

Read More »

Mauaji ya diwani mteule CCM, tisa washikiliwa                             

WATU tisa wanashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Pwani kwa madai ya kuhusika katika mauaji ya Fatuma Ngozi, aliyekuwa diwani mteule wa Kata ya Kikongo, Pwani kupitia Chama Cha Mapinduzi ...

Read More »
error: Content is protected !!