WATANZANIA wametakiwa kujitokeza kupima afya zao mara kwa mara ili kudhibiti magonjwa mbalimbali ikiwemo kisukari ambao hadi sasa umeathiri zaidi ya watu milioni...
By Mwandishi WetuNovember 16, 2020RAIS wa Tanzania, John Pombe Magufuli amesema, mtu atakayerithi mikoba yake baada kutoka madarakani mwaka 2025, hatakuwa na umri mkubwa zaidi yake. Anaripoti...
By Mwandishi WetuNovember 16, 2020RAIS wa Taznania, John Pombe Magufuli ameeleza namna ‘alivyokoshwa’ na utendaji wa Prof. Palamagamba Kabudi, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikian wa...
By Mwandishi WetuNovember 16, 2020KATIBU Mkuu wa Shirikisho la mpira wa miguu Tanzania, (TFF) Wilfred Kidao amesema, haki za matangazo ya Televisheni ndio iliyosababisha mchezo kati ya...
By Kelvin MwaipunguNovember 16, 2020JOHN Pombe Magufuli, Rais wa Tanzania amemtahadharisha, Waziri Mkuu wa nchi hiyo, Kassim Majaliwa kuwa endapo atashindwa kutekeleza wajibu wake ipasavyo atamwondoa. Anaripoti...
By Regina MkondeNovember 16, 2020RAIS wa Tanzania, John Pombe Magufuli amesema, atachelewa kuunda Baraza la Mawaziri, ili apate muda wa kuchagua mawaziri wenye sifa watakaomsaidia kutekeleza Ilani...
By Mwandishi WetuNovember 16, 2020KASSIM Majaliwa, Waziri Mkuu wa Tanzania, ameagiza maofisa wa wizara yake na wakuu wa mikoa kwenda katika viwanda vya uzalishaji saruji, kujua sababu...
By Mwandishi WetuNovember 16, 2020DAKTARI Phillip Mpango, Waziri wa Fedha na Mipango wa Tanzania ameahidi kutumia vyema rasilimali zilizopo nchini kupunguza umasikini, badala ya kutegemea fedha za...
By Regina MkondeNovember 16, 2020RAIS wa Tanzania, John Pombe Magufuli amemuapisha, Kassim Majaliwa kuwa Waziri Mkuu wa nchi hiyo. Anaripoti Regina Mkonde…(endelea). Majaliwa ameapishwa leo Jumatatu tarehe...
By Regina MkondeNovember 16, 2020