Daily Archives: November 13, 2020

Magufuli: Nitaendelea kuwaamini wanawake 

RAIS wa Tanzania, John Magufuli amesema, Serikali anayoiongoza itaendelea kuwaamini wanawake katika nafasi mbalimbali za uongozi. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea). Rais Magufuli ametoa kauli hiyo leo Ijumaa tarehe ...

Read More »

UEFA yapanga makundi Euro 2021

SHIRIKISHO la soka Barani Ulaya UEFA imeendesha droo kwa timu 24 ili kupata makundi kwa ajili ya michuano ya kombe la EURO ambayo inatarajiwa kuchezwa mapema mwakani 2021. Anaripoti Kelvin ...

Read More »

JPM: Utumbuaji utaendelea

RAIS wa Tanzania, John Magufuli amesema, utumbuaji kwa watumishi wa umma wazembe, wala rushwa, wezi na wabadhirifu, utaendelea katika miaka mitano ijayo. Anaripoti Kelvin Mwaipungu…(endelea).   Akizungumza kwenye Uzinduzi wa Bunge la ...

Read More »

Magufuli kuitengea fedha Taifa Stars, aitakia heri dhidi ya Tunisia

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Magufuli amesema katika kipindi cha miaka mitano ijayo serikali itajitahidi kutenga kiasi cha fedha kwa ajili ya Timu za Taifa za Tanzania ...

Read More »

Magufuli ‘aziita’ mezani sekta binafsi

RAIS wa Tanzania, John Magufuli amesema, amefungua milango kwa sekta binafsi kuwekeza nchini huku akiahidi kuwashughulikia watendaji watakaokwamisha wawekezaji hao. Anaripoti Kelvin Mwaipungu, Dar es Salaam … (endelea). Kauli hiyo ameitoa leo ...

Read More »

‘2020-2025 ajira mil 8, ndege tano, meli nane’

RAIS wa Tanzania, John Magufuli amesema, mpaka kufikia mwaka 2025, atahakikisha amenunua ndege tano ikiwemo ya mizigo, meli nane za uvuvi pamoja na kupatikana ajira za watu milioni nane. Anaripoti Mwandishi ...

Read More »

Magufuli: Vitambulisho vya machinga kuboreshwa 

JOHN Magufuli, Rais wa Tanzania amesema, vitambulisho vya wajasirimali ‘machinga’ vitaboreshwa zaidi ili kuwawezesha kupata mikopo benki. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea). Rais Magufuli amesema hayo wakati akihutubia na ...

Read More »

Rais Magufuli: Hakuna demokrasia isiyo na mipaka

RAIS wa Tanzania, John Pombe Magufuli amesema, lengo la demokrasia sio kusababisha vurugu na kwamba, hakuna demokrasia isiyo na mipaka. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea). Akizungumza wakati wa Uzinduzi wa Bunge la ...

Read More »

Rais Magufuli ateua mawaziri wawili

RAIS wa Tanzania, John Pombe Magufuli, ameanza kuunda baraza lake la mawaziri kwa kuteua mawaziri mawaziri. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea). Walioteuliwa ni; Profesa Palamagamba Kabudi kuwa Waziri wa ...

Read More »
error: Content is protected !!