Daily Archives: November 10, 2020

Lissu aondoka Tanzania, aacha ujumbe

TUNDU Antipas Lissu, aliyekuwa mgombea urais wa Tanzania, katika uchaguzi mkuu uliyopita, kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), ameondoka nchini kwenda Ubeljiji. Anaripoti Hamis Mguta, Dar es Salaam … ...

Read More »

CUF yakengeuka, yameza matapishi yake

CHAMA cha Wananchi (CUF), kimebariki wabunge wake wawili waliotangazwa kuwa washindi katika katika uchaguzi mkuu uliyopita nchini Tanzania, kuhudhuria vikao vya Bunge. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). ...

Read More »

Mwakinyo amtangazia vita Muargentina

BONDIA mtanzania Hassani Mwakinyo anatarajia kushuka ulingoni 13 Novemba, 2020 kutetea mianda wake wa chama cha WBF dhidi ya bondia Raia wa Argentina, Jose Carlos katika pambani la uzito wa ...

Read More »

Stars, Tunisia mashabiki ruksa

SHIRIKISHO la mpira wa miguu barani Afrika (CAF) limeruhusu mashabiki kuingia uwanjani kwenye mchezo kati ya timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) dhidi ya Tunisia utakaopigwa kwenye Uwanja wa ...

Read More »

Ndugai awaonya wabunge CCM, ataka Bunge ‘live’  

SPIKA wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai, amewataka wabunge wa chama tawala- Chama Cha Mapinduzi (CCM) kutokukaa kimya bungeni na watakaofanya hivyo “umeliwa na utakuwa umejimaliza.” Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma ...

Read More »

Ndugai achaguliwa Spika wa Bunge 

JOB Ndugai, amechaguliwa kuwa Spika wa Bunge la 12 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea) Uchaguzi wa Spika, umefanyika leo Jumanne tarehe 10 Novemba ...

Read More »

Kambi ya upinzani bungeni yatoweka rasmi

JOB Ndugai, mgombea Uspika wa Bunge la 12 la Tanzania amesema, ofisi ya Bunge itatoka haki sawa kwa wabunge wote ikiwemo wa upinzani ambao hawatokuwa na Kambi Rasmi ya upinzani ...

Read More »
error: Content is protected !!