Daily Archives: November 9, 2020

Klabu Bingwa Afrika, Simba kuivaa Plateau United ya Nigeria

MABINGWA wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Simba itaivaa klabu ya Plateau United kutoka nchini Nigeria kwenye michezo ya awali ya michuano ya klabu bingwa barani Afrika inayotarajiwa kuchezwa Decemba mwaka ...

Read More »

Lema aachiwa Kenya

MAMLAKA nchini Kenya, zimemwachia huru, Godbless Lema, aliyekuwa mbunge wa Arusha Mjini kupitia Chadema. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). Lema ameachiwa leo Jumatatu tarehe 9 Novemba 2020 ...

Read More »

Sakata la Mazrui lachukua sura mpya: ACT-Wazalendo waishitaki Polisi

CHAMA cha siasa cha ACT- Wazalendo, nchini Tanzania, kimengua shauri Mahakama Kuu ya Zanzibar, kutaka mahakama hiyo, kutoa amri ya kufikishwa mahakamani au kuachiwa huru kwa mmoja wa vigogo wandamizi ...

Read More »

DC aeleza kilichomponza Nyalandu mpakani Namanga

MKUU wa Wilaya ya Longido (DC), Mkoa wa Arusha, Frank Mwaisumbe, ametoa sababu zilizomfanya Lazaro Nyalandu, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Kanda Kati kushindwa kuvuka mpaka wa ...

Read More »

Ushindi wa Biden: Korea, China ‘zakuna  vichwa’

WAKATI dunia ikidhani imepumua baada ya Donald Trump, Rais wa Marekani (2016-2020) kuangushwa, China na Korea Kaskazini zinaweza ‘kukasirishwa’ na uamuzi wa raia wa Marekani. Inaripoti Shirika la Utangazaji la BBC ...

Read More »

RC Kunenge atangaza fursa za biashara Dar

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam (RC), Aboubakar Kunenge amewataka wafanyabishara kuchangamkia fursa ya baishara katika Kituo cha Kimataifa cha Mabasi Mbezi Lius jijini humo. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Kituo ...

Read More »

Lema njia panda ukimbizini Kenya     

SHIRIKA la kimataifa la kupigania haki za binadamu (Amnest Internatioanal), limeitaka Mamlaka ya Kenya kutofikiria kumrejesha kwa nguvu nchini Godbless Lema, aliyekuwa Mbunge wa Arusha Mjini kupitia Chadema. Anaripoti Mwa ndishi Wetu, Dar es Salaam ...

Read More »

Magufuli azungumzia uteuzi wa mawaziri

JOHN Magufuli, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amesema, baraza lake la mawaziri atakaloliunda, linatarajiwa kuwa na mabadiliko “wapo watakaorudi na wapo ambao hawatarudi.” Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … ...

Read More »

Magufuli, Spika Ndugai wampa pole AG Kilangi

JOHN Magufuli, Rais wa Tanzania, amempa pole Mwanasheria Mkuu wa Serikali nchini humo (AG), Profesa Adelardus Kilangi kwa majukumu mazito yaliyo mbele yake. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea). Pia, ...

Read More »

Mpinzani wa Simba Klabu Bingwa Afrika kujulikana leo

SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Afrika (CAF), leo 9 Novemba 2020, linatarajia kupanga droo ya michezo ya awali ya michuano ya Klabu Bingwa na Kombe la Shirikisho Afrika huku mwakilishi ...

Read More »

Magufuli: Sina mpango kubadilisha Ma RC, DC, DED na…

RAIS wa Tanzania, John Magufuli, amewatoa wasiwasi wateule wake wa nafasi mbalimbali za uongozi kwamba hana mpango wa kubadilisha “nilioanza nao nitamaliza nao.” Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam … ...

Read More »
error: Content is protected !!