Daily Archives: November 7, 2020

Kocha Simba: Yanga walikuwa wanazuia

KOCHA wa Simba, Sven Vandebroeck amesema “kuLikuwa  na timu moja inacheza mpira na nyingine inazuia, nawapongeza wachezaji wangu kwa kucheza vizuri na ninafuraha kwa kile walichokionesha.” Anaripoti Kelvin Mwaipungu, Dar ...

Read More »

Kocha Yanga:Matokeo yametuachia kitu cha kujutia

BAADA ya kutoka sare ya bao 1-1 dhidi ya Simba kocha wa klabu ya Yanga, Cedric Kaze amesema kuwa matokeo haya yamewaachia kitu cha kujutia. Anaripoti Kelvin Mwaipungu, Dar es ...

Read More »

Wabunge wateule waitwa Dodoma

WABUNGE wateule wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, wametakiwa kufika Dodoma kwa ajili ya usajili unaoanza leo Jumamosi hadi tarehe 9 Novemba 2020. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … ...

Read More »

CCM yawapitisha Ndugai, Dk. Tulia kuwania Uspika

CHAMA tawala nchini Tanzania- Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimeteua majina mawili ya wanachama wake, watakaogombea Uspika na Naibu Spika wa Bunge la 12 la Tanzania. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … ...

Read More »

Viti Maalum vya Ubunge, mtihani mwingine Chadema

CHAMA Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) nchini Tanzania, kinakabiliwa na mtihani mwingine mzito juu ya hatma ya nafazi zake za wabunge wake wa Viti Maalum. Anaripoti Hamisi Mguta, Dar es ...

Read More »
error: Content is protected !!