Daily Archives: November 6, 2020

Tundu Lissu aomba hifadhi Ujerumani

ALIYEKUWA mgombea urais wa Chadema, katika uchaguzi mkuu uliyopita nchini Tanzania, Tundu Antipas Lissu, amekimbilia nyumbani kwa balozi wa Ujerumani, jijini Dar es Salaam, “kuomba hifadhi ya maisha yake.” Anaripoti ...

Read More »

ACT-Wazalendo kujadili uundwaji Serikali Z’bar 

CHAMA cha siasa cha upinzani nchini Tanzania, ACT-Wazalendo kimesema, kitafanya vikao kwa ajili ya kujadili  kama kitashiriki katika uundwaji wa Serikali ya Umoja wa Kitaifa visiwani Zanzibar au hakitashiriki. Anaripoti ...

Read More »

Waziri wa zamani kuzikwa J’nne Moshi 

MWILI wa waziri wa zamani wa Serikali ya Tanzania, Dk. Cyril Chami utazikwa Jumanne tarehe 10 Novemba 2020 kijijini kwao Kibosho, Moshi Mkoa wa Kilimanjaro. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … ...

Read More »

Nahodha Yanga: Tupo tayari

LAMINE Moro, Nahodha wa klabu ya Yanga amesema kuwa wako tayari kwa ajili ya kuwakabili klabu ya Simba kwenye mchezo wa kesho ikiwa ni muendelezo wa michezo ya Ligi Kuu ...

Read More »

Bocco: Kuifunga Yanga ni kazi ngumu

KUELEKEA mchezo wa kesho Jumamosi dhidi ya Yanga, Nahodha wa klabu ya Simba, John Bocco amesema wamejipanga vizuri kwa ajili ya mchezo huo, huku akikiri mchezo huo utakuwa mgumu kuibuka ...

Read More »

Chama, Kagere, Niyonzima Carlinhos waikosa Yanga vs Simba  

MABINGWA watetesi wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, Simba imesema katika mchezo wa kesho Jumamosi dhidi ya watani zao Yanga watakosa huduma ya kiungo wao, wao Clatous Chama, Bernard ...

Read More »
error: Content is protected !!