Daily Archives: November 4, 2020

Simba yaipiga Kagera Sugar, yatuma salamu Jangwani

MABINGWA watetezi wa ligi kuu ya Vodacom Tanzania Bara, Simba imeibuka na ushindi wa 2-0 dhidi ya Kagera Sugar. Anaripoti Kelvin Mwaipunga, Dar es Salaam…(endelea). Simba imeibuka na ushindi huo ...

Read More »

Uchaguzi Marekani: Trump kukimbilia mahakamani

DONALD Trump, Rais wa Marekani amesema, uchaguzi mkuu nchini humo uliofanyika jana Jumanne tarehe 3 Novemba 2020 umekubwa na udanganyifu na kupanga kwenda Mahakama ya Juu nchini humo. Rais Trump ...

Read More »

Petroli yapanda, dizeli yashuka

MAMLAKA ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Ewura) nchini Tanzania, imetangaza ongezeko la bei ya rejareja ya petroli kwa Sh.25 na Sh.12 kwa Mafuta ya Taa kuanzia leo Jumatano ...

Read More »

Simba kuivaa Kagera, Yanga yarejea Dar

KLABU ya Simba leo Jumatano tarehe 4 Novemba 2020 itashuka dimbani kwenye mchezo wa Ligi Kuu soka Tanzania Bara 2020/21 dhidi ya Kagera Sugar katika Uwanja wa Uhuru, Dar es ...

Read More »

Dk. Magufuli kuapishwa kesho, mataifa 17 kuhudhulia

SERIKALI ya Tanzania imesema, viongozi wa ngazi za juu na wawakilishi wa nchi zaidi ya 17 wamethibitisha kuhudhulia sherehe ya kumwapisha Dk. John Pombe Magufuli kuwa Rais wa Jamhuri ya ...

Read More »

Rais Mwinyi aanza kuunda serikali. ateua AG

RAIS wa Zanzibar, Dk. Hussein Ali Mwinyi ameanza kuisuka Serikali anayoiongoza kwa kumteua Dk. Mwinyi Twalib Haji kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG). Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Dk. Mwinyi amefanya uteuzi ...

Read More »
error: Content is protected !!