Daily Archives: November 3, 2020

Mbowe, Zitto, Lema waachiwa 

MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, Kiongozi wa ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe na wenzao wameachiwa kwa dhamana na Jeshi la Polisi. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam ...

Read More »

NCCR-Mageuzi yamkana mgombea wake wa urais

CHAMA cha NCCR-Mageuzi kimekana kuutambua msimamo wa aliyekuwa Mgombea wake wa urais wa Tanzania, Yeremia Maganja wa kukubali matokeo ya Uchaguzi Mkuu uliofanyika Jumatano tarehe 28 Oktoba 2020. Anaripoti Regina ...

Read More »

Ndugai, Dk. Tulia wajitosa Uspika

JOB Yustino Ndugai, Mbunge mteule wa Kongwa kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) amejitosa kuchukua fomu ya kuomba ridhaa ya chama hicho kugombea Uspika wa Bunge la 12 la Jamhuri ya ...

Read More »

Zitto akamatwa, Mdee…

JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam nchini Tanzania, limemkamata Kiongozi wa ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe akiwa Kituo cha Polisi Osterbay jijini humo. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam ...

Read More »

Lissu afikishwa kwa AG, Zitto na Mdee wasakwa

JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam nchini Tanzania, limepeleka jalada la kesi inayomkabili Tundu Lissu, aliyekuwa mgombea urais wa Tanzania kupitia Chadema katika Uchaguzi Mkuu uliofanyika 28 ...

Read More »

NCCR-Mageuzi yapinga matokeo uchaguzi, yataka meza ya majadiliano

CHAMA cha NCCR-Mageuzi nchini Tanzania, kimetangaza kutoyatambua matokeo ya Uchaguzi Mkuu uliofanyika Jumatano ya tarehe 28 Oktoba 2020 kwa madai miongozo mwa kanuni za uchaguzi huo zilikiukwa. Anaripoti Regina Mkonde, ...

Read More »

Keissy: Viongozi serikalini, CCM wamenihujumu

ALLY Mohamed Keissy, aliyekuwa mbunge wa Nkasi Kaskazini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) nchini Tanzania amesema, kilichomfanya akashindwa kutetea nafasi hiyo ni hujuma zilizofanywa dhidi yake na viongozi wa Serikali ...

Read More »
error: Content is protected !!