Saturday , 20 April 2024

Month: October 2020

Habari za Siasa

Mbowe kufikishwa kwa msajili

VYAMA nane vya siasa nchini Tanzania, vimelaani kauli iliyotolewa na Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa Chadema kuvituhumu kwamba vinatumika kurudisha nyuma mapambano ya kupigania...

Habari za Siasa

TLS yajitosa kumtetea Fatma Karume

CHAMA cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kimejitosa kumtetea Fatma Amani Karume aliyehukumiwa na kamati ya Maadili ya Mawakili kuondolewa jina lake (namba 848) kwenye...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Magufuli amfariji Zitto

RAIS John Magufuli amempa pole Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe aliyepata ajali ya gari jana tarehe 6 Oktoba 2020. Anaripoti Regina...

Michezo

Simba na Yanga yaota Mbaya, sasa kupigwa Novemba 7

BODI ya Ligi imehailisha mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara, kati ya Yanga dhidi ya Simba uliokuwa uchezwe 18 Oktaba, 2020 na sasa...

Habari Mchanganyiko

Magufuli awapigia simu walimu ‘puuzeni tangazo hilo, limetolewa na wabaya wetu’

RAIS wa Tanzania, John Pombe Magufuli amefuta maboresho yaliyotangazwa na wizara ya elimu nchini humo ya mtaala wa ualimu wa ngazi ya cheti...

Habari za Siasa

Watumishi wa Bunge watakiwa kuwa na uelewa mpana

WATUMISHI wa Ofisi ya Bunge na Waziri Mkuu wameshauriwa kuwa na uelewa mpana kuhusu nafasi yao katika mchakato na mipango mbalimbali ili sera...

Habari za SiasaTangulizi

Lissu abadilishiwa majukumu, NEC kufikishwa kortini

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimesema, kitambadilishia majukumu Tundu Lissu, Mgombea wake wa Urais wa Tanzania wakati akiitumikia adhabu ya kutofanya kampeni...

Habari Mchanganyiko

Mafunzo ya Ualimu Tanzania yaboreshwa, cheti chafutwa

WIZARA ya Elimu, Sayansi na Teknolojia nchini Tanzania imeufuta mtaala wa ualimu wa ngazi ya cheti kwa elimu ya awali na msingi na...

Habari Mchanganyiko

Ajali yaua watano, yajeruhi wanane Dar

MAGARI matatu likiwemo la abiria (daladala) yamegongana katika taa za barabara eneo la Serengeti – Chang’ombe jijini Dar es Salaam na kusababisha vifo...

Habari za Siasa

Chadema yamuunga mkono Maalim Seif, kuachiana majimbo na kata

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimetangaza kumuunga mkono Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Maalim Seif Sharif Hamad, pamoja na...

Habari za Siasa

Kubenea ataja kinachoitesa CCM

SAED Kubenea, Mgombea Ubunge kinondoni kupitia Chama cha ACT-Wazalendo ametaja masuala yanayokitesa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwenye kampeni za Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Jumatano...

Habari za Siasa

Kambaya kujenga kituo cha biashara, mabasi mbagala

MGOMBEA Ubunge wa Mbagala jijini Dar es Salaam kupitia Chama Cha Wananchi (CUF), Abdul Kambaya amewaomba wananchi wa jimbo hilo kumpa fursa awatumikie...

Habari za Siasa

NEC yamuonya Lissu

KAMATI ya Maadili ya Kitaifa ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) nchini Tanzania imemuonya Tundu Lissu, mgombea urais kupitia Chadema kutekeleza adhabu...

Habari za SiasaTangulizi

Maalim Seif: Lissu atakuwa Rais wa Tanzania

MAALIM Seif Sharif Hamad, mgombea urais wa Zanizbar kupitia ACT-Wazalendo amesema, ana matumaini Tundu Lissu ataibuka mshindi wa urais wa Tanzania kupitia Chadema...

Habari za Siasa

lMajaliwa: Hatuwezi kuwaacha wasanii

MJUMBE wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kassim Majaliwa amesema, Serikali ijayo ya chama hicho itaendelea kuwaunga mkono na kuwaendeleza wajasiriamali...

Habari Mchanganyiko

Treni ya abiria Dar-Arusha yazinduliwa

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam (RC),Aboubakar Kunenge amezindua safari ya kwanza ya treni ya abiria kutoka Dar es salaam kwenda Mkoani...

Habari za Siasa

Lissu atoa msimamo, kamati kuu Chadema yaitwa

TUNDU Antiphas Lissu, mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) amesema, uamuzi uliofanywa na Kamati ya Maadili ya Tume...

Habari Mchanganyiko

Tamwa yajitosa rushwa ngono vyombo vya habari

CHAMA cha Wanahabri Wanawake Tanzania (Tamwa) kimezindua mradi wa ‘rushwa ya ngono miongoni wanahabari wanawake katika vyombo vya habari’ kwa kuangalia tatizo hilo...

Habari za SiasaTangulizi

NEC yamshusha Lissu jukwaani siku 7

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imemsimamisha Tundu Lissu, mgombea urais kupitia Chadema kufanya kampeni kwa siku saba kuanzia kesho Jumamosi hadi 9...

Habari Mchanganyiko

RC Moro akumbushwa wazazi kuchangia maendeleo

LOATA Ole Sanare, Mkuu wa Mkoa wa Morogoro amewataka wazazi kufanyia kazi kwa vitendo maazimio mbalimbali yanayotolewa katika vikao vya kamati za shule...

Kimataifa

Rais Trump, mkewe waambukizwa corona 

RAIS wa Marekani, Donald Trump na mkewe Melania Trump, sasa wapo karantini baada ya kukumbwa na virusi vya corona (COVID-19). Inaripoti BBC … (endelea). Kabla...

Habari za SiasaTangulizi

Polisi ‘waitikia’ msimamo wa Lissu

HATUA ya Jeshi la Polisi kufuta wito uliomtaka Tundu Lissu, mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kujipeleka katika...

Habari za Siasa

Magufuli: Mkiniletea wale, hampati maji

MGOMBEA urais wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli amesema, wananchi wa Tunduma, Mkoa wa Songwe wakichagua mgombea nje ya...

Habari za SiasaTangulizi

Marekani yamkana Lissu, JPM

LICHA ya Dk. John Magufuli, mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM na Tundu Lissu, mgombea urais kupitia Chadema kutawala siasa ngazi ya urais,...

Habari

IGP Sirro amwonya Lissu, amtaka kuripoti Polisi

INSPEKTA Jenerali wa Polisi Tanzania (IGP), Simon Sirro amemtaka Tundu Lissu, mgombea urais wa nchi hiyo kupitia Chadema katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Jumatano...

Habari za Siasa

Lissu azuiwa Same

WANANCHI wa Hedaru, Same mkoani Kilimanjaro, wamezuia msafara wa Tundu Lissu, mgombea urasi wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema). Anaripoti...

Habari za Siasa

Kubenea: Wabunge CCM wanajali matumbo, chama chao

SAED Kubenea, mgombea ubunge wa Jimbo la Kinondoni kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, amesema Abbas Tarimba, mgombea ubunge katika jimbo hilo kupitia CCM, ana...

Habari

Papa Francis ‘amtimua’ Pompeo

MIKE Pompeo, Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani amegomewa kukutana na Papa Francis, Kiongozi Mkuu wa Kanisa Katoliki Dunani. Inaripoti Shirika la...

Habari za Siasa

Wazee waja juu, wamkingia kifua Lissu

HATUA ya Jeshi la Polisi nchini Tanzania kumzuia Tundu Lissu, mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kuzungumza na...

Habari Mchanganyiko

Tamwa yazindua ‘wanawake wanaweza’

CHAMA cha Wanahabari Wanawake Tanzania (Tamwa) kimeanza utekelezaji wa mradi wa ‘Wanawake Wanaweza’ uliofadhiliwa na Shirika la Umoja wa Mataifa linalohudumia Wanawake (UN-Women)....

error: Content is protected !!