Saturday , 20 April 2024

Day: October 22, 2020

Michezo

Kaze: kupata matokeo ndani ya siku tano sio kitu rahisi

BAADA ya kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Polisi Tanzania kocha wa klabu ya Yanga, Cedric Kaze amesema kupata matokeo ndani...

Habari za Siasa

Maalim Seif atunukiwa keki jukwaani, Lissu amfuata

TAREHE 22 Oktoba 1943, ndio siku aliyozaliwa Maalim Seif Sharif Hamad, mgombea urais visiwani Zanzibar kupitia Chama cha ACT-Wazalendo. Anaripoti Mwandishi Wetu, Pemba...

Habari za Siasa

Ushirikiano: Msimamo mpya wa Lissu

TUNDU Lissu, mgombea urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), amesema palipo na mgombea wa Chama cha ACT-Wazalendo, wafuasi wa Chadema wamchague....

Habari za SiasaTangulizi

JPM aeleza alivyoteswa na Mbowe

MGOMBEA urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli, ameeleza namna Mbunge wa Hai, Freeman Mbowe alivyomtesa. Anaripoti Mwandishi Wetu, Kilimanjaro …...

Habari za Siasa

Maalim Seif atoa sharti kukubali kushindwa Z’bar

MGOMBEA urais Zanzibar kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Maalim Seif Sharif Hamad amesema, ili akubali kushindwa katika uchaguzi mkuu utakaofanyika tarehe 27 na 28...

Habari za Siasa

Mwambe, Katani wazungumzia maisha ya upinzani

WAGOMBEA ubunge wawili wa Mkoa wa Mtwara waliotoka vyama vya upinzani na kuhamia Chama Cha Mapinduzi (CCM), wameeleza machungu waliyokuwa wakikumbana nayo wakati...

Habari za Siasa

Magufuli ahuisha ndoto ya Mwalimu Nyerere 1978

KIWANDA cha kutengeneza bidhaa za ngozi, kilichoanzishwa na Mwalimu Julius Kambarahe Nyerere mwaka 1978 na kisha kuzorota, kimefufuliwa. Anaripoti Mwandishi Wetu, Kilimanjaro …...

error: Content is protected !!