Thursday , 25 April 2024

Day: October 16, 2020

Michezo

Epl yalejea Arsenal, Liverpool, Man City vitani

BAADA ya kupoteza kwa mchezo kwa mabao 7-2 klabu ya Liverpool kesho watakuwa ugenini kwenye Uwanja wa Goodson Park kujiuliza dhidi ya majirani...

Habari za SiasaTangulizi

Zitto: Nitampigia kura Lissu, ubunge…

ZITTO Zuberi Kabwe, Kiongozi wa ACT-Wazalendo, ametangaza kumpigia kura Tundu Lissu, mgombea urais wa Tanzania kupitia Chadema katika Uchaguzi Mkuu wa 28 Oktoba...

Michezo

Pitso Mosimane katika mtihani wa kwanza kwa Al Ahly

KOCHA mpya wa klabu ya Al Ahly, Pitso Mosimane atakuwa na kibarua kigumu kesho kwenye mchezo wa nusu fainali ya kombe la klabu...

Michezo

Kaze: Nimekuja kurudisha ukubwa, heshima Yanga

KOCHA mpya wa Klabu ya Yanga, Cedric Kaze amesema, amekuja nchini Tanzania kuwatumikia mabingwa hao wa kihistoria nchini humo na kuirudishia hadhi na...

Habari za Siasa

Lissu: Nitakuwa kama Nyerere

TUNDU Lissu, mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), ameahidi kufuata nyayo za Mwalim Julius Kambarage Nyerere, Rais wa...

Habari za Siasa

Askofu Shoo ahofia kutoweka amani

DAKTARI Frederick Shoo, Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), amekemea mamlaka na viongozi wa dini kupendelea chama kimoja cha kisiasa....

Habari za Siasa

Karatasi za kupigia kura hizi hapa

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) nchini Tanzania, imetoa mfano wa karatasi ya kupigia kura kwa nafasi ya urais na makamu wa rais....

Habari za Siasa

Vipaumbele 20 Chadema ikiingia Ikulu 

SIKU 11 zimebaki kabla ya kufanyika kwa Uchaguzi Mkuu Jumatano tarehe 28 Oktoba 2020 wa Rais, Wabunge na Madiwani nchini Tanzania. Anaripoti Mwandishi...

Habari za SiasaTangulizi

NEC yapigwa ‘stop’ kufanya haya

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) nchini Tanzania haipaswi kufanya mambo makuu manne wakati wa mchakato wa Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Jumatano tarehe 28...

error: Content is protected !!