Friday , 19 April 2024

Day: October 15, 2020

Habari za SiasaTangulizi

Maalim Seif afungiwa kufanya kampeni

KAMATI ya Maadili ya Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), imemfungia siku tano kutofanya kampeni, Maalim Seif Sharif Hamad, mgombea urais wa Zanzibar kuanzia...

Habari za SiasaTangulizi

Maalim Seif: Wanataka kuni – Lissu

MAALIM Seif Sharif Hamadi, mgombea urais visiwani Zanzibar amesema, Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) inataka kumfungia kama Tundu Lissu, mgombea urais Tanzania kupitia...

Habari Mchanganyiko

Mvua Dar: Tahadhari yatolewa

WAKAZI wa Dar es Salaam na Mkoa wa Pwani, wametakiwa kuchukua tahadhari ya magonjwa ya mlipuko kutokana na mvua  zinazoendelea kunyesha. Anaripoti Hamis Mguta,...

Habari za SiasaTangulizi

Maalim Seif: Vijana wapo tayari

MAALIM Seif Shariff Hamad, mgombea urais visiwani Zanzibar kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, amesema safari hii vijana wapo tayari. Anaripoti Mwandishi Wetu, Zanzibar…(endelea). “Tunapambana na...

Habari za Siasa

Mkakati wa Kubenea TFF huu hapa

SAED Kubenea, mgombea ubunge Kinondoni, jijini Dar es Salaam  kupitia Chama cha ACT-Wazalendo amesema, miongoni mwa mambo atakayosimamia ni kuhakikisha linaundwa Shirikisho la Mpira...

Habari Mchanganyiko

Mvua Dar: 12 wapoteza maisha

WATU 12 wamefariki dunia jijini Dar es Salaam kutokana na mafuriko yaliyosababishwa na mvua kubwa  iliyonyesha tarehe 13 Oktoba 2020. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es...

Michezo

Azam Fc, Mwadui Dimbani leo

LIGI kuu Tanzania Bara itaendelea tena leo kwa jumla ya michezo miwili kupigwa kwenye viwanja tofauti ambapo klabu ya Azam Fc itashuka dimbani...

error: Content is protected !!