Daily Archives: October 13, 2020

Maalim Seif ‘akusanya’ kijiji Pemba

MAALIM Seif Sharif Hamad, mgombea urais wa Zanzibar kupitia ACT-Wazalendo, amekusanya wananchi wa Pemba na kusikiliza kero zao. Anaripoti Mwandishi Wetu, Pemba … (endelea). Badala ya kupanda jukwaani na kuhutubia, ...

Read More »

Kubenea: Hii ndiyo kazi ya kwanza nitaifanya bungeni

MGOMBEA Ubunge wa Kinondoni kupitia ACT-Wazalendo, Saed Kubenea amesema, akishinda ubunge kipaumbele chake cha kwanza ni kuhakikisha waliovunjiwa nyumba zao mabondenu wanalipwa fidia. Anaripoti Hamis Mguta, Dar es Salaam…(endelea). Kubenea ...

Read More »

Bosi GSM kuongoza kamati ya ushindi Taifa Stars

RAIS wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wallace Karia amemteuwa Ghalib Said Mohammed kuwa Mwenyekiti wa kamati ya ushindi ya Timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ kuelekea ...

Read More »

Lissu akumbana na kikwazo Chato

TUNDU Lissu, mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), amekumbana na kituko cha kwanza Chato mkoani Geita. Anaripoti Mwandishi Wetu, Chato … (endelea). Taarifa kutoka Chato ...

Read More »

Sikuhonga kupata urais – JPM

DAKTARI John Pombe Magufuli, mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) amesema, hakuhonga kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Anaripoti Brightness Boaz, Dar es Salaam … ...

Read More »
error: Content is protected !!