Daily Archives: October 9, 2020

Lissu kurejea jukwaani leo

TUNDU Antiphas Lissu, mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) leo Jumamosi tarehe 10 Oktoba 2020 ataanza tena kampeni za kuwania urais wa nchi hiyo. Anaripoti ...

Read More »

IGP Sirro atoa onyo Z’bar ‘tusikubali kutumiwa’

INSPEKTA Jenerali wa Polisi (IGP) nchini Tanzania, Simon Sirro, amewataka Wazanzibar kufuata taratibu za upigaji kura zilizowekwa na Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) ili kuepusha kuingia matatani. Anaripoti Mwandishi Wetu, ...

Read More »

Taifa Stars, Burundi kuchimbika

NAHODHA wa timu ya Taifa ya Burundi Sadio Berahino amesema wako tayari kuwakabiri timu ya Tanzania ‘Taifa Stars’ kwenye mchezo wa kirafiki utakaopigwa siku ya Jumapili 11 Oktoba, 2020 huku ...

Read More »

Mgombea ubunge Ubungo abadili mbinu za kampeni

KABENDERA Eugene, Mgombea wa Ubunge wa Ubungo kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma), amefanya kampeni ya aina yake kupitia mkutano na waandishi wa habari akiwa ofisini kwake. Anaripoti Hamis ...

Read More »

Kubenea atikisa kambi ya Tarimba

MGOMBEA Ubunge wa Kinondoni kupitia ACT-Wazalendo, Saed Kubenea, amefanya kampeni ya nyumba kwa nyumba katika Kata ya Hananasif, Wilaya Kinondoni jijini Dar es Salaam. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam…(endelea). ...

Read More »
error: Content is protected !!