Daily Archives: October 8, 2020

Bocco awekwa nje kikosi cha Taifa Stars

KOCHA wa timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ Etiene Ndayilagije amemuweka nje ya kikosi mshambuliaji wa klabu ya Simba John Bocco kutokana na kusumbuliwa na majeruhi na hivyo kumpa ...

Read More »

Lissu atinga Mlimani City

TUNDU Lissu, mgombea urais wa Tanzania kupitia Chadema ametembelea Mlimani City jijini Dar es Salaam na kufanya manunuzi mbalimbali katika moja ya maduka. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … ...

Read More »

Salum Mwalimu ampigia kampeni Ado wa ACT-Wazalendo

USHIRIKIANO kati ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na ACT-Wazalendo katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika tarehe 28 Oktoba 2020 umeanza kushika kasi. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Viongozi wa vyama hivyo katika ...

Read More »

Magufuli awageuzia kibao wakandarasi, RC Dar ‘badilika’

RAIS wa Tanzania, John Pombe Magufulki ameagiza kampuni iliyopewa zabuni ya kujenga Kituo Kikuu cha Mabasi ya Mikoani Mbezi-Luis jijini Dar es Salaam, kukatwa fedha kama adhabu ya kuchelewa kukamilisha ...

Read More »

KMC yaipeleka Yanga CCM Kirumba

TIMU ya KMC inayoshiriki Ligi Kuu Tanzania Bara imehamishia mchezo wake wa nyumbani dhidi ya klabu ya Yanga kwenye Uwanja wa CCM Kirumba, jijini Mwanza kama walivyopendekeza baada ya mabadiliko ...

Read More »
error: Content is protected !!