Daily Archives: October 1, 2020

IGP Sirro amwonya Lissu, amtaka kuripoti Polisi

INSPEKTA Jenerali wa Polisi Tanzania (IGP), Simon Sirro amemtaka Tundu Lissu, mgombea urais wa nchi hiyo kupitia Chadema katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Jumatano tarehe 28 Oktoba 2020 kuripoti Kituo cha ...

Read More »

Lissu azuiwa Same

WANANCHI wa Hedaru, Same mkoani Kilimanjaro, wamezuia msafara wa Tundu Lissu, mgombea urasi wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema). Anaripoti Mwandishi Wetu, Kilimanjaro…(endelea). Taarifa kutoka eneo hilo ...

Read More »

Kubenea: Wabunge CCM wanajali matumbo, chama chao

SAED Kubenea, mgombea ubunge wa Jimbo la Kinondoni kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, amesema Abbas Tarimba, mgombea ubunge katika jimbo hilo kupitia CCM, ana tabia zile zile walizonazo wabunge wanaotokana na ...

Read More »

Papa Francis ‘amtimua’ Pompeo

MIKE Pompeo, Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani amegomewa kukutana na Papa Francis, Kiongozi Mkuu wa Kanisa Katoliki Dunani. Inaripoti Shirika la Habari la Uingereza (BBC)…endelea. Hatua hiyo inatokana ...

Read More »

Wazee waja juu, wamkingia kifua Lissu

HATUA ya Jeshi la Polisi nchini Tanzania kumzuia Tundu Lissu, mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kuzungumza na wananchi akiwa njiani, imepingwa na Baraza la ...

Read More »

Tamwa yazindua ‘wanawake wanaweza’

CHAMA cha Wanahabari Wanawake Tanzania (Tamwa) kimeanza utekelezaji wa mradi wa ‘Wanawake Wanaweza’ uliofadhiliwa na Shirika la Umoja wa Mataifa linalohudumia Wanawake (UN-Women). Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam…(endelea) Lengo ...

Read More »
error: Content is protected !!