Saturday , 20 April 2024

Month: September 2020

Habari za Siasa

Magufuli aahidi kusimamia sekta ya madini

JOHN Magufuli, Mgombea Urais wa Tanzania katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Jumatano tarehe 28 Oktoba 2020 kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), ameahidi kuimarisha mifumo...

Habari za Siasa

Bodi 100 taasisi za kisiasa, dini njiapanda 

WAKALA wa Usajili Ufilisi na Udhamini (RITA) nchini Tanzania, imezitaka Bodi za Wadhamini wa Taasisi 100 ambazo hazijafanya marejesho ya wadhamini kufanya hivyo...

Habari za Siasa

Wanasiasa wanaodhalilisha wanawake wawajibishwe

WANAMTANDAO wa Katiba, Uchaguzi na Uongozi ambao ni watetezi wa haki za wanawake na wasichana, wamelaani kauli za udhalilishaji zilizoanza kutolewa na baadhi...

Kimataifa

Jeshi la Israel lajikoroga

DUNIA imelaani hatua ya mwanajeshi wa Jeshi la Israel, kumkandamiza kwa kifuti cha mguu kwenye shingo ya muandamanaji wa Palestina. Inaripoti Shirika la Utangazaji...

Habari za Siasa

Kikwete awafariji wagombea CCM

JAKAYA Mrisho Kikwete, Rais mstaafu wa Tanzania, amewataka wagombea wa Chama cha Mapinduzi (CCM) katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Jumatano wa tarehe 28 Oktoba...

Habari Mchanganyiko

Kampeni uwajibikaji inavyowafikia wenye ulemavu

SHIRIKA linaloshughulikia vijana na ulemavu la Raleigh Tanzania mkoani Morogoro, limewafikia watu 90 wanaoishi na ulemavu katika mikoa mitatu. Anaripoti Christina Haule, Morogoro … (endelea)...

Habari za Siasa

Rungwe: Nikiwa rais, nitauza ndege za Magufuli

HASHIMU Rungwe, mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chaumma amesema, iwapo atachaguliwa kuwa rais wa nchi hiyo, atauza ndege zilizonunuliwa...

Habari za Siasa

Lowassa amnadi mwanae Monduli, amtumia ujumbe Magufuli

EDWARD Lowassa, Waziri Mkuu wa zamani nchini Tanzania, amemtumia ujumbe mgombea urais wan chi hiyo kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais John Magufuli...

Afya

Milioni 18 wapona corona dunia

MAAMBUKIZO ya virusi vya corona (COVID-19) duniani yamefikia milioni 26.18, waliopona milioni 18.44 na waliofariki kutokana na ugonjwa huo ni 867,370. Inaripoti Mitandao...

Habari Mchanganyiko

Watumishi Chadema wahusishwa uchomaji ofisi yao Arusha

JESHI la Polisi Mkoa wa Arusha nchini Tanzania, limewakamata watu watatu wakituhumiwa kuchoma moto ofisi za chama kikuu cha upinzani nchini humo Chadema,...

Habari za Siasa

ACT-Wazalendo waja 50 kwa 50

CHAMA cha ACT-Wazalendo nchini Tanzania kimesema, endapo kitaingia madarakani baada ya Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Jumatano tarehe 28 Oktoba 20200, kitaweka usawa wa kijinsia...

Habari za Siasa

Membe awataka wananchi kumuuliza Magufuli maswali 4

BERNARD Membe, Mgombea Urais wa Tanzania kupitia ACT-Wazalendo, amewataka wananchi wa Kilwa Mkoa wa Lindi, kuumuuliza maswali manne, mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi...

Habari za SiasaTangulizi

Lissu amwachia swali Magufuli 

TUNDU Lissu, Mgombea Urais wa Tanzania kwenye Uchaguzi Mkuu wa Jumatano tarehe 28 Oktoba 2020 kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), amemtaka...

Habari za Siasa

Mbowe: CCM hawajiamini, akumbushia mil 50 kila kijiji

FREEMAN Mbowe, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) amesema, Chama Cha Mapinduzi (CCM), hakijiamini na kimejaa hofu dhidi ya chama hicho....

Habari za Siasa

Alicia Lissu: Sitakwenda Ikulu kupika uji

ALICIA Magabe, mke wa mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu amesema, atakapokwenda Ikulu hatobaki kuangalia tamthilia...

Habari za Siasa

Jaji Mkuu: Kesi za uchaguzi zisicheleweshwe

MAJAJI wa Mahakama ya Rufani Tanzania wametakuwa kutochelewesha kutoa uamuzi wa kesi za kisiasa pasipo na sababu za msingi kwa kuwa, huwa na mvuto kwa...

Habari Mchanganyiko

Kitabu cha kumpata mke/mme bora chazinduliwa

KATIBU Tawala Wilaya ya Kinondoni, Stella Msofe amezindua Kitabu cha ‘Jinsi ya Kumpata Mpezi Bora wa Maisha’ kilichotungwa na Mchungaji wa Kanisa la...

Habari za Siasa

Magufuli nusura awatumbue DED, DC mkutanoni

JOHN Mwaipopo, Mkuu wa Wilaya ya Igunga (DC) na Revocatus Kuuli, Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya wilaya hiyo (DED) mkoani Tabora, nusura watumbuliwe....

Habari za Siasa

CUF wakosoa kauli ya Maalim Seif

KAULI ya Maalim Seif Sharif Hamad, mgombea urais wa Zanzibar kupitia Chama cha ACT-Wazalendo kwamba ‘vijana wawe tayari,’ imekosolewa vikali. Anaripoti Mwandishi Wetu, Zanzibar...

Habari Mchanganyiko

Dawasa yawafikisha kortini wadaiwa sugu

MAMLAKA ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (Dawasa) nchini Tanzania, imeanza kuwachukulia hatua za kisheria wateja wake wanaoshindwa kulipa bili...

Habari za Siasa

NEC yaunda kamati kuchunguza pingamizi, malalamiko

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imeunda Kamati za Maadili ili kushughulikia pingamizi na malalamiko ya wagombea kuhusu ukiukwaji wa maadili ya uchaguzi...

Habari za SiasaTangulizi

Membe ataja mambo 4 yaliyomfukuzisha CCM

BERNARD Membe, mgombea urais wa Tanzania kupitia ACT-Wazalendo, ameweka hadharani mambo manne yaliyosababisha kufukuzwa Chama Cha Mapindu (CCM). Anaripoti Faki Sosi, Lindi (endelea)....

Habari za Siasa

Zitto aichongea CCM kwa wananchi

ZITTO Kabwe, Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo amewataka Watanzania wasikipigie kura Chama Chama Mapinduzi  (CCM) kwani kimeshindwa kutekeza ahadi walizoahidi kwenye Kampeni za...

Habari za Siasa

Maalim Seif: CCM ijiandae kuondoka itake isitake

MAALIM Seif Sharif Hamad, Mwenyekiti wa Chama cha ACT-Wazalendo amesema, chama hicho kimejiandaa kushika dola na Chama Cha Mapinduzi (CCM) kijiandae kuondoka ‘taka...

Habari za Siasa

Mwigulu amponda Lissu, Nyalandu mbele ya JPM 

DAKTARI Mwigulu Nchemba, mgombea ubunge Iramba Mashariki Mkoa wa Singida kupitia CCM, ameanza kumchokonoa Tundu Lissu, mgombea urais kupitia Chadema na Lazaro Nyalandu,...

Habari Mchanganyiko

Dawasa: Wananchi msipotoshwe kipindi cha uchaguzi, maji yanakuja

MAMLAKA ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (Dawasa), imewataka wakazi wa maeneo ya Goba, Tegeta, Madale, Mivumoni na Salasala kutosikiliza...

Habari za Siasa

Mgombea udiwani CUF aangua kilio kwenye kampeni

SALUM Mwinyikheri, mgombea udiwani katika Kata ya Mumbaka, Masasi mkoani Mtwara, ameangua kilio mbele ya wananchi wakati akiomba kura. Anaripoti Mwandishi Wetu, Masasi …...

Habari za Siasa

Rais Magufuli: Hakuna kuzaa kwa mpango

DAKTARI John Magufuli, Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), amesema hakuna haja ya watu kuzaa kwa mpango kwa kuwa Serikali...

Habari za Siasa

Lissu: Nitafuta sheria hizi nikiingia Ikulu

TUNDU Lissu, mbombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), ameahidi kufuta sheria zote kandamizi. Anaripoti Mwandishi Wetu, Arusha…(endelea). Ametoa ahadi...

Habari za Siasa

Magufuli: Miaka 5 ilikuwa onjaonja

MGOMBEA urais wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais John Magufuli amesema, iwapo atapewa ridhaa na wananchi kuongoza Tanzani kwa awamu ya...

Habari za SiasaTangulizi

Kinana ahofia CCM kuanguka

ABDULRAHMAN Kinana, Katibu Mkuu Mstaafu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), ameonesha hofu ya kuanguka kwa chama hicho endapo wanachama wake watapuuza kupiga kura. Anaripoti...

Elimu

Wizara ya Elimu Tanzania yatoa maagizo vyuo vya maendeleo 

WIZARA ya Elimu, Sayansi na Teknolojia nchini Tanzania, imevitaka Vyuo vya Maendeleo ya Wananchi (FDCs) kujikita kutoa mafunzo ya fani zinazopendwa na zinazotoa...

Habari Mchanganyiko

Watumishi waliogombea ubunge wakashindwa warejeshwa kazini, waonywa

WATUMISHI wote wa umma waliokuwa wametangaza nia kugombea ubunge na kushindwa katika kura za maoni, wametakiwa kurudi kazini kuanzia kesho Jumanne tarehe 1...

error: Content is protected !!