Friday , 29 March 2024

Month: September 2020

Habari za Siasa

Muro wa NCCR-Mageuzi aahidi kuibadili Kinondoni

MUSTAFA Muro, Mgombea Ubunge wa Kinondoni jijini Dar es Salaam kupitia NCCR-Mageuzi, ameahidi kuboresha maisha ya wananchi wa jimbo hilo, endapo watamchagua katika...

Habari za SiasaTangulizi

Maalim Seif awekewa pingamizi, 16 wateuliwa

TUME ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) imeshindwa kumteua Maalim Seif Sharif Hamad kugombea urais wa Zanzibar kupitia chama cha ACT-Wazalendo baada ya kuwekewa pingamizi....

Habari za Siasa

Mbatia atoa wosia kwa Watanzania kuelekea 28 Oktoba

JAMES Mbatia, Mwenyekiti wa Chama cha NCCR-Mageuzi nchini Tanzania, amewataka Watanzania kutumia kura zao vizuri katika Uchaguzi Mkuu wa tarehe 28 Oktoba 2020,...

Habari za SiasaTangulizi

19 warejeshwa kugombea ubunge, 26 udiwani

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) nchini Tanzania, imewarejesha wagombea ubunge 19 baada ya kuzifanyia kazi rufaa 22. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma …...

Habari za SiasaTangulizi

Lissu atikiswa, chopa yake yagomewa

HELKOPTA (chopa) iliyotarajiwa kumbeba Tundu Lissu, mgombea urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kuelekea Bagamoyo mkoani Pwani, imegomewa kuruka. Anaripoti Regina...

Michezo

Samatta njia panda Aston Villa

NAHODHA wa timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ Mbwana Samatta anayekipiga kwenye klabu ya Astorn Villa huenda akauzwa katika dirisha hili kubwa...

Michezo

TFF yadai wasifu wa makocha

SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imezitaka klabu zinazoshiriki Ligi Kuu Tanzania Bara kuwasilisha wasifu na vyeti vya makocha wao waliowaajili kuvinoa...

Habari za Siasa

Waliotafuna fedha za korosho matatani 

MAMA Samia Suluhu Hassan, Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), ameagiza Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) iwashughulikie...

Kimataifa

Milioni 20 wapona corona duniani

WAGONJWA milioni 20.1 waliokuwa wameambukizwa virusi vya corona (COVID-19) duniani wamepona. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa … (endelea). Mtandao wa  worldometer umeripoti leo Alhamisi...

Habari za Siasa

Lissu: Safari hii tutafanya kama CCM

TUNDU Lissu, mgombea urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), amesema wataweka kituo cha kuhesabu kura zao kama Chama Cha Mapinduzi (CCM). Anaripoti...

Habari za SiasaTangulizi

Wewe umetumwa na mabeberu? Swali lililomchefua Lissu

TUNDU Lissu, mgombea urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), ameeleza kukerwa na fikra za ‘ubeberu’ zinazopandwa kwake. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es...

Habari za SiasaTangulizi

13 washinda rufaa za ubunge, 21 watoswa

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) nchini Tanzania imechambua rufaa zingine 34 za ubunge kati ya hizo, 13 imewarejesha kugombea ubunge, 21 imezikataa....

Habari za Siasa

Maalim Seif ahofia ‘kukatwa’ urais Z’bar

MAALIM Seif Sharif Hamad, mgombea urais Zanzibar katika Uchaguzi Mkuu wa 2020 kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, ameonesha wasiwasi wa kukwamishwa katika kinyang’anyiro hicho. Anaripoti...

Habari za Siasa

Lissu: Hatujidanganyi, uchaguzi huu mgumu

TUNDU Lissu, mgombea urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), amesema uchaguzi wa mwaka huu ni mgumu. Anaripoti Faki Sosi, Dar es Salaaam…(endelea)....

Habari Mchanganyiko

Askofu ahusisha ujenzi wa kanisa na maisha ya jamii

ASKOFU wa Kanisa la Power of God Fire, Dankton Rweikila amesema unapojenga nyumba ya Mungu ni mbegu ambayo inapandwa ndani ya jamii na...

Habari Mchanganyiko

Wananchi waonywa matukio moto hifadhi za misitu

WANANCHI waishio pembezoni mwa hidhafi ya msitu wa shamba la miti la Saohill wameonywa kuacha uvamizi mpya wa maeneo ya hifadhi ambao husababisha...

Habari za SiasaTangulizi

NEC yaweka wazi rufaa 55  

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) nchini Tanzani, imeweka wazi rufaa 55 zilizowasilishwa na wagombea ubunge katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Jumatano tarehe 28...

Habari za Siasa

Maalim Seif awakaribisha wanaotaka kumweka pingamizi

MAALIM Seif Sharif Hamad, Mgombea Urais Zanzibar kupitia ACT- Wazalendo amewakaribisha wale wote ambao wanataka kumwekea pingamizi Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) kufanya...

Habari Mchanganyiko

Wachungaji Marekani, Rwanda waombea corona wakiwa Tanzania

WACHUNGAJI kutoka nchi za Marekani na Rwanda wameahidi kuombea nchi zao na nyingine kuondokana na janga la Ugonjwa wa Corona kupitia Tanzania kwa...

Habari Mchanganyiko

TMA yatabiri mvua hafifu mikoa 16 Tanzania

MAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), imetangaza mikoa 16 itakayopata mvua za vuli chini ya wastani hali itakayosababisha ukame katika maeneo hayo....

Habari za SiasaTangulizi

15 warejeshwa kugombea ubunge, 15 watupwa

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) nchini Tanzani, imekubali rufaa 15 kati ya 55 za wagombea ubunge katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Jumatano tarehe...

Habari Mchanganyiko

Utaratibu kuomba ajira za walimu watolewa

OFISI ya Rais- Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi) imetoa tangazo la nafasi za walimu wa shule za msingi na sekondari...

Michezo

Magoli 14 yafungwa ligi kuu, KMC yaongoza

MICHEZO ya raundi ya kwanza ya Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara 2020/21 imemalizika huku ikishuhudia magoli 14 yakifungwa katika mechi kumi. Anaripoti...

Habari za Siasa

Magufuli atoa siri Tizeba, Lugola kukatwa

MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) nchini Tanzania, Rais John Pombe Magufuli, ameeleza mchakato wa kuwapata wagombea ubunge wa Buchosa jijini Mwanza na...

Habari za SiasaTangulizi

‘Dili’ la Membe, Lissu, Maalim Seif hadharani

KAULI kwamba ‘tutashirikiana’ kati ya Chama cha ACT-Wazalendo na Chama  cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), imeanza kudhihiri kwa vitendo. Anaripoti Mwandishi Wetu, Unguja...

Michezo

KMC yaanza kwa kishindo ligi kuu, Kagera yapigwa

TIMU ya KMC FC ya Kinondoni jijini Dar es Salaam imeanza kwa kushindo Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara 2020/21 kwa kuifunga Mbeya...

Habari Mchanganyiko

Sh. 90,000 zamfikisha kortini mwalimu Tabora

TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) itamfikisha mahakamani mwalimu, Kondwani Masata akituhumiwa kutoa rushwa ya Sh.90,000 kama kishawishi kwa Katibu Tawala...

Habari za Siasa

Mgombea ubunge CCM kuwarejesha nyumbani wana Mufundi

MGOMBEA Ubunge wa Mufindi Kusini Mkoa wa Iringa kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), David Kihenzile amesema, vijana na wasomi wote wanaoishi nje ya...

Habari MchanganyikoHabari za SiasaTangulizi

Wagombea 62 ACT-Wazalendo wang’olewa

JUMLA ya wagombea 62 wa Chama cha ACT-Wazalendo, wameng’olewa kwenye kinyang’anyoro cha ubunge Tanzania Bara na visiwani Zanzibar. Anaripoti Faki Sosi, Dar es...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

JPM: Shukrani ya punda, mateke

DAKTARI John Magufuli, mgombea urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) amesema, licha ya kufanya kazi kubwa ya kuleta maendeleo Tanzania, bado kuna watu...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Gwajima aliamsha dude Kawe, ‘sina njaa’

ASKOFU Josephat Gwajima, mgombea ubunge katika Jimbo la Kawe kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), amesema alianza kuitumikia Kawe siku nyingi. Anaripoti Mwandishi Wetu,...

Habari za Siasa

Majaliwa: Bilioni 577 zatekeleza miradi Arusha, mchagueni Magufuli

MJUMBE wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambaye ni Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema Serikali ya awamu ya tano...

Habari za Siasa

Maganja wa NCCR-Mageuzi abainisha vipaumbele 10 ikiingia Ikulu

CHAMA cha NCCR-Mageuzi nchini Tanzania leo Jumamosi tarehe 5 Septemba 2020 kimezindua rasmi kampeni zake za Urais wa Tanzania katika Uchaguzi Mkuu wa...

Habari za Siasa

Mbatia atoa siri upinzani kutoungana uchaguzi mkuu 2020

JAMES Mbatia, Mwenyekiti wa Chama cha NCCR-Mageuzi nchini Tanzania, amesema ukosefu wa uaminifu ndiyo sababu vyama vya siasa vya upinzani kutofikia mwafaka wa...

Michezo

Barbara amrithi Senzo Simba

MABINGWA wa soka Tanzania Bara, Simba imemtangaza Barbara Gonzalez Kuwa Afisa Mtendaji Mkuu (CEO) mpya. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam…(endeleaa) Barbara ametangazwa...

Habari za Siasa

NCCR-Mageuzi wamkosoa IGP Sirro

CHAMA cha NCCR-Mageuzi nchini Tanzania kimeoneshwa kusikitishwa na kauli ya Inspekta Jenerali wa Polisi (IGP) Simon Sirro aliyesema ataweka kambi visiwani Zanzibar, kwa...

Habari za Siasa

NCCR-Mageuzi wazindua Ilani ya Mwafaka wa Kitaifa

CHAMA cha NCCR-Mageuzi nchini Tanzania kimezindua Ilani yake ya Uchaguzi Mkuu wa Jumatano tarehe 28 Oktoba 2020, waliyoipa jina la ‘Ilani ya Mwafaka...

Habari za SiasaTangulizi

Kanisa Katoliki latoa tamko uchaguzi mkuu Tanzania

KANISA Katoliki nchini Tanzania, limevitaka vyombo vyote vinavyosimamia Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Jumatano tarehe 28 Oktoba 2020 kutenda haki ili kutoivuruga amani iliyopo. Anaripoti...

Habari za Siasa

Polisi yawadaka wagombea wanaofuatilia rufaa NEC

JESHI la Polisi Mkoa wa Dodoma limewakamata wagombea ubunge na udiwani kutoka Chama cha Demokraaia na Maendeleo (Chadema) waliokuwa wanakwenda Ofisi ya Tume...

Habari za Siasa

Chadema yaanza safari kutafuta uongozi Kinondoni

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Jimbo la Kinondoni, Dar es Salaam, kimeanza safari ya kusaka uongozi kata na jimbo hilo, katika Uchaguzi...

Habari za SiasaTangulizi

Mnyika: NEC turudishieni wagombea ili tupimane ubavu

JOHN Mnyika, Katibu Mkuu wa chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania Chadema, ameitaka Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kuwarejesha wagombea wao wa...

Habari za Siasa

Alicia: Nilivutiwa na Lissu, nilidengua dengue kwanza

ALICIA Magabe, mke wa mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu, ameeleza jinsi walivyokutana na kukubaliana kisha...

Habari za Siasa

Profesa Mkumbo: Tutajenga ukumbi wa michezo wa kisasa

MGOMBEA ubunge wa Ubungo, Dar es Salaam kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Profesa Kitila Mkumbo amesema, akichagulia atahakikisha anaishaiwi Serikali kujengwa ukumbi wa...

Habari za Siasa

Profesa Mkumbo aanika vipaumbele 10

PROFESA Kitila Mkumbo, mgombea ubunge wa Ubungo, Dar es Salaam kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), amebainisha vipaumbele kumi atakavyokwenda kuvifanyia kazi endapo atachaguliwa...

Habari za Siasa

Chadema, TBC wamaliza tofauti zao

MGOGORO baina ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), umemalizika baada ya Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF)...

Habari za SiasaTangulizi

Lissu: Utawala huu umenifikisha hapa

TUNDU Lissu, mgombea urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), ameeleza kwamba, utawala wa awamu ya tano chini ya Rais John Magufuli,...

Kimataifa

Neymar, wenzake wakumbwa na corona

NEYMAR de Santos, mshambuliaji wa timu ya Paris Saint-Germain (PSG) ya nchini Ufaransa na wachezaji watatu wa timu hiyo, amekutwa na virusi vya...

Habari za SiasaTangulizi

JPM aitibua Chadema, ‘Sisi waongo, matapeli?’

JOHN Mnyika, Katibu Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), ameeleza kukerwa na kauli kwamba ‘wapinzani waongo, matapeli.’ Anaripoti Mwandishi Wetu, Tabora…(endelea)....

Habari za SiasaTangulizi

JPM: Nataka niwe kama Kikwete

DAKTARI John Magufuli, mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), amesema anataka kukaa Ikulu kwa miaka 10 kama Rais Mstaafu, Jakaya...

Habari za Siasa

Membe awafariji wahanga wa mafuriko

MGOMBEA Urais wa Tanzania kupitia ACT-Wazalendo, Bernard Membe amewafafiji wahanga wa mafuriko Kata ya Njinjo wilayani Kilwa mkoani Lindi. Anaripoti Faki Sosi, Lindi...

error: Content is protected !!