Saturday , 20 April 2024

Day: September 25, 2020

Habari Mchanganyiko

Nyamapori kuanza kuuzwa buchani, TAWA wapunguza bei

WIZARA ya Maliasili na Utalii imepunguza bei za wanyama wa mbegu kwa asilimia 90 ili wananchi waweze kumudu gharama za ufugaji wanyamapori katika...

Habari za SiasaTangulizi

Lissu: 28 Oktoba siku ya ukombozi, tutashinda kwa kimbunga

TUNDU Lissu, mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) amewaomba Watanzania kujitokeza kwa wingi Jumatano tarehe 28 Oktoba 2020...

Habari Mchanganyiko

Sakata la Fatma Karume lamuibua Kijo-Bisimba

HELLEN Kijo-Bisimba, Mkurugenzi Mtendaji Mstaafu wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu Tanzania (LHRC), amewashauri wadau wa Tasnia ya Sheria kupaza sauti...

Michezo

Samatta: Nawashukuru Aston Villa, nimetimiza ndoto zangu

NAHODHA wa timu ya soka ya Tanzania ‘Taifa stars’ Mbwana Samatta ameishukuru timu ya Aston Villa kwa kumwezesha kutimiza ndoto zake za kucheza...

Habari za Siasa

Polepole: Vitambulisho vya machinga havitafutwa

HUMPHREY Polepole, Katibu wa Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), nchini Tanzania amesema, Serikali ya chama hicho haitaviondoa vitambulisho vya mjasiriamali ‘machinga’ kwa...

Michezo

Mbwana Samatta ajiunga Fenerbahce ya Uturuki

NAHODHA wa timu ya soka la Tanzania ‘Taifa stars’ Mbwana Samatta amejiunga na Fenerbahce ya Uturuki kwa mkataba wa miaka minne kutoka Aston...

Habari za Siasa

Majaliwa: Kiti cha urais siyo mchezo

MJUMBE wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Kassim Majaliwa amesema kiti cha urais siyo cha mchezo, kinahitaji mtu makini. Anaripoti Mwandishi...

Habari za SiasaTangulizi

Vyama, wagombea waonywa kutofanya haya

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) nchini Tanzania imebainisha mambo mbalimbali ambayo hayapaswi kufanywa na vyama vya siasa na wagombea katika kipindi cha...

error: Content is protected !!