Daily Archives: September 15, 2020

Membe: Tumekimbiwa

BERNARD Membe, mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha ACT-Wazalendo amesema, mazingira magumu ya siasa kwa sasa, yamesababisha marafiki na wafanyabiashara kushindwa kuwasaidia. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam … (endelea). ...

Read More »

ZFF yamlilia ‘Mr White’

SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Zanzibar (ZFF) kupitia rais wake Seif Kombo Pandu imetoa pole na kutuma salamu za rambi rambi kufuatia kifo cha Salim Abdullah Turky ‘Mr White’ ambaye ...

Read More »

Yanga kujipima ubavu kwa Mlandege

TIMU Yanga kesho itacheza mchezo wa kujipima nguvu dhidi mabingwa wa Ligi Kuu visiwani Zanzibar, Mlandege katika kujiweka sawa kuwakabili Kagera Sugar kwenye mchezo ujao. Anaripoti Kelvin Mwaipungu, Dar es ...

Read More »

Mpango wa amani Afghanstan wapita pagumu

ZALMAY Khalilzad, mjumbe wa Marekani katika kutafuta amani nchini Afghanstan, bado anatetea uamuzi wa kuwachia huru maelfu ya wafungwa wa Talban, ingawa bado “hafurahii na utekelezaji wa makubalino yaliyofikiwa. Anaripoti ...

Read More »

Dk. Magufuli: Wana Muleba msirudie makosa

DAKTARI John Magufuli, Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), amewataka wananchi wa Kata ya Kasharunga wilayani Muleba, Bukoba kutorudia kosa la kuchagua wagombea wa upinzani. Anaripoti Mwandishi ...

Read More »

Dk. Bashiru alia wapinzani kuiumiza CCM

KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Bashiru Ally amelalamikia vyama vya upinzani kukichafua chama hicho. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). Amesema, kampeni za mwaka huu ...

Read More »

NEC: Tutaanza kuchukua hatua kali kwa…

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) nchini Tanzania, imewataka wagombea ubunge na udiwani waliokata rufaa kuwa na subra  wakati rufaa hizo zikishughulikiwa. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea).  ...

Read More »

Jino kwa jino CCM vs Chadema

NI jino kwa jino, ndivyo unavyoweza kusema baada ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Chama cha Demokrasia na Maendeleo kwa pamoja kupiga yole la kuhujumiana. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). ...

Read More »

Mgombea Ubunge CCM afariki dunia

SALIM Abdullah Turky (57), mbunge anayemaliza muda wake katika jimbo la Mpendae, Unguja, kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), amefariki dunia. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Turky ambaye afahamika kwa jina maarufu la ...

Read More »
error: Content is protected !!